Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah !!! Kuna mda kuwasha tv unaona kazi. Bora wampuzishe it's very sad . Naona tabu hata kuangalia tv. Apumzike kwa amani chuma. Magufuli kawaasha sana wakenya walikua wanafanya project za kihuni wanaita Chinese class one , mara superhighway yaani magu ni kama wake up call kwa nyang'au. Kawaamsha sana
Mm hata mitandao nmetokea kuichukia, kila sehemu habari ni hyo hyo, yn nakuwa mpweke kweli kweli aisee.
 
Hii corona inayopigiwa debe kila kukicha hii cjui maana yake nini, mbn leo raia tumejimwaga km wote na kuna mda kulikuwa na vurugu za kufa mtu na 90% hatukuwa na barakoa wala nn na hakuna lolote, km ipo sawa lkn haina nguvu hiyo ya kushtusha amini kwamba.

Lkn kingine nilichofurahi nmemuona Magu leo japo nilijikaza sn but nilipokumbuka speech yake bora kabisa aliyoitoa 2015 pale bungeni Dodoma (Mana ni speech ambayo naijua na nmeimeza sn cz since 2015 nmekuwa naisikiliza mpk kesho) kwa kweli nililia kwa uchungu sn.
 
One of the words in that speech were

"....ndiyo maana ndugu zangu napenda mnielewe na nilazima niliseme hili kwani nisipolisema nitakuwa mnafki na mm sitaki kuwa mnafki kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu."

Hiyo speech iliniliza leo nilipomuangalia jembe.
 
"...mimi nataka wananchi hasa wanyonge wafaidike na matunda ya nchi yao Tanzania.... lakini sio kila mahali mtu anapokwenda ni kufukuziwaa lakini saa nyingine chakula wanakila wao, sasa hatuwezi kwenda kwa mtindo huo..... Tanzania ni tajiri, Tanzania ina kila kitu tukisimama kwa pamoja tukamtanguliza Mungu mbele tutashinda."
 
"...mimi nataka wananchi hasa wanyonge wafaidike na matunda ya nchi yao Tanzania.... lakini sio kila mahali mtu anapokwenda ni kufukuziwa tu lakini saa nyingine chakula wanakila wao, sasa hatuwezi kwenda kwa mtindo huo..... Tanzania ni tajiri, Tanzania ina kila kitu tukisimama kwa pamoja tukamtanguliza Mungu mbele tutashinda."
😔😔😔😔😔
 
"... maana pamekuwa na mtindo huo, wakati watu wakitaka kuuza mafuta ya bei ya juu au wakitaka kuuza majenereta yao anatumwa mtu kule ambaye analipwa mshahara anayafunguliwa maji usiku kwahiyo ile level inakuwa haifikii, tuta deal nao na mimi nawaambia nita deal nao kweliii kweliii"

Rest in peace JOHN.
 
Hii corona inayopigiwa debe kila kukicha hii cjui maana yake nini, mbn leo raia tumejimwaga km wote na kuna mda kulikuwa na vurugu za kufa mtu na 90% hatukuwa na barakoa wala nn na hakuna lolote, km ipo sawa lkn haina nguvu hiyo ya kushtusha amini kwamba.

Lkn kingine nilichofurahi nmemuona Magu leo japo nilijikaza sn but nilipokumbuka speech yake bora kabisa aliyoitoa 2015 pale bungeni Dodoma (Mana ni speech ambayo naijua na nmeimeza sn cz since 2015 nmekuwa naisikiliza mpk kesho) kwa kweli nililia kwa uchungu sn.
Kwahyo mkuu unataka madhara ya korona uone ndani ya siku moja?
Umenishangaza sana
 
*Nasikia maumivu makali Sana moyoni, yaani hadi najiona dhaifu aise,dah😭😭😭,Magu!!!, Kama Mungu angeonekana,mm ningemsihi amwache huyu mzee,naumia Haki ya Mungu acha tu😭😭😭
FB_IMG_1616355591111.jpg
 
Kwahyo mkuu unataka madhara ya korona uone ndani ya siku moja?
Umenishangaza sana
Wacheni upumbavu, hyo tulishakubali kuishi nayo km kweli ina madhara hayo mnayoyanadi mitandaoni, watu wamekuwa wakihudhuria mechi hapo kwa Mkapa na kawaida tu au nayo hamuoni?
 
Back
Top Bottom