Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Murdered Magufuli

EwwtypjWgAM7UB9.jpg
 
Baada ya Kifo cha JPM uzalendo kwa nchi yangu umeporomoka kwa 60%.
Sioni wa kumuamini tena, I was Loyal to JPM... Ngoja tuone Samia na Majaliwa kama watarudisha Loyalty yangu😢
Ila mnajua mkate wa Majaliwa utategemea how loyal is he to Samia and based on how closed they work last 5 years no one can be sure! Watu mnaongea kama Majaliwa is assured of that seat! The next 1 year tutaona mengi kwa vile hulka ya binadamu hupenda kuwa na wasaidizi aliochagua mwenyewe ambao ni 100% loyal! Ukiacha Uwaziri Mkuu kuna sehemu nyeti kama Mkuu wa Majeshi na Waziri wa Ulinzi! Sishangai akiwabadili!
 
Baada ya Kifo cha JPM uzalendo kwa nchi yangu umeporomoka kwa 60%.
Sioni wa kumuamini tena, I was Loyal to JPM... Ngoja tuone Samia na Majaliwa kama watarudisha Loyalty yangu😢
Huo ni uzalendo kwa Rais na sio kwa nchi yako na inaonesha hujawahi kuwa mzalendo kwa nchi. Kuwa mzalendo kwa nchi yako ni kwamba haijalishi nani Rais kwa wakati huo wewe mahaba ni kwa nchi tu hata ikibidi kutoelewana na viongozi wa wakati huo kama hawalindi maslahi ya nchi.
 
Hii nchi ina watu zaidi ya mil.55,hakuna ambae anachukiwa na wote au kupendwa na wote

Acha mliompenda mkamuomboleze na sio kila Waliojaa barabarani basi wanasikitika wengine wanaenda kuangalia kinachojiri so hakuna cha kuaibika wala kusifiwa .
Ayo maumivu endelea nayoooo...lakin mtu wa watu kamwe hawezi kufichwa na vichaa km nyie daimaaa na tumejaaa taifaaa sasa
 
Back
Top Bottom