Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ignorance kills. The grandson of Kinjeketile Ngwale is no more because.
Bwana mapesa umerudi tena
Screenshot_20210301-143519.jpg
 
Ukimfuatilia utagundua kama kuna kitu anachofanya behind the curtain, yaani Mimi namuona kama si mtu mzuri saaana
Huu ndio ukweli achana na hao mataga yaliyokuwa yanafaidika na ukandamizaji na wizi

Yule mtu keshasepa na Mama kashika hatamu sasa tunasubiri kujua utumbo wooote waliokuwa wanatumia nguvu kuuficha, uzuri yataongea msiba ukiisha
 
Endelea kujipa matumaini hewa. There is an operating system behind mama Samia. Hivyo usidhani atakuwa anajiamlia anavyotaka tu. By the way kama upo upinzni ni bora umshauri Tundu arudi ili apate mapokezi anayostahili.
Ajiamlie kwani yeye ni Jiwe? Genge la chato lote litafyekwa na ataweka system yake na washauri wake

Wewe kwa akili yako finyu unadhani mama atakuwa kama the late Jiwe? Hata hotuba leo hujaona tuu tofauti?

Si mlikuwa mnaota ndoto mara ooh baada ya Magu sijui atakuja kenge gani,mzee imetoka hiyo hadi 2030 tafuteni Kazi nyingine za kufanya
 
Katika marais wastaafu ninao waheshimu ni watatu tu, Nyerere (RIP), Mzee Mwinyi na Mkapa (RIP). Kikwete ni mnafiki na ana roho mbaya sana japo huwa anajichekesha chekesha lakini ana roho ya kwanini kwelikweli na hana msimamo! Kwangu binafsi hajawahi na hatawahi kuwa mojwawpo ya marais bora hapa Tanzania!
Katika Marais ninao waheshimu ni JK Nyerere na JK Kikwete lakini wale marehemu waliobakia nitawakumbuka kwa ukatili na kufukarisha watu nothing else
 
Ana kicheko cha kinafiki,siku ile ya mazishi ya mkapa,wenzake akina mwinyi wanahuzunika ye anachekacheka tu
President Kikwete ni kitengo sio kama hao wa kuja ,na wewe jinunishe na kulia Lia ufurahishe upande uliko

Wewe umewahi kumuona wapi JK anaimba mapambio kama wengine?

Jk ni moja ya Marais wastaafu wachache aliyemnanga Magu live bila chenga
 
Huyu Kikwete hana la maana sana zaidi ya kutaka Ridhwan na Mama Salma wafikiriwe unaibu waziri kwenye serikali anayoingoza mama Samia. Amebakia kuwa opportunist tu kama ilivyo ID ya fala mmoja kwenye huu uzi .But this won't be that easy !
Unatapatapa yeye ni deep system wewe ni muimba pambio,kunywa maji usije mfuata kiongozi wa malaika
 
Ajiamlie kwani yeye ni Jiwe? Genge la chato lote litafyekwa na ataweka system yake na washauri wake

Wewe kwa akili yako finyu unadhani mama atakuwa kama the late Jiwe? Hata hotuba leo hujaona tuu tofauti?

Si mlikuwa mnaota ndoto mara ooh baada ya Magu sijui atakuja kenge gani,mzee imetoka hiyo hadi 2030 tafuteni Kazi nyingine za kufanya
You are too low to argue with me. Pimbi we! Period.
 
Huyu ndo rais kipenzi cha watu.
 
hakuna taifa la ajabu kama kenya.. wana mambo yanayowahasibu ila wanachagua kufatilia yetu..
  • nimeona wanalalamika kwann tunamuita mama samia badala ya rais samia
  • wao ndo wamepost picha nying ya mama samia leo kuliko watanzania
  • sisi rais wao akiapichwa, ni media tu ndo zitareport lkn sio raia.. ila wao sasa, both media na raia wanamuongelea rais wetu
 
Back
Top Bottom