Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukimfuatilia utagundua kama kuna kitu anachofanya behind the curtain, yaani Mimi namuona kama si mtu mzuri saaana
Kikwete ndie fisadi alieshindikana hadi sasa na wafanyabiashara wakubwa wanamtumia kulinda biashara zao against law.
Kuna ghorofa hii barabara ya mwenge moroko lilikua livunjwe nusu, mwenye jengo akamfuata kikwete akampa umiliki wa 3floors aclaim kuwa jengo ni la kikwete tanroads wakashindwa kulibomoa
 
Huu ndio ukweli achana na hao mataga yaliyokuwa yanafaidika na ukandamizaji na wizi

Yule mtu keshasepa na Mama kashika hatamu sasa tunasubiri kujua utumbo wooote waliokuwa wanatumia nguvu kuuficha, uzuri yataongea msiba ukiisha
😀 heart attack inakusubiri mbwiga
 
Ichoboy natumai huyu mama hana chuki na kenya kama marehemu.
Marehemu hakua na chuki ila hakutaka tanzania liwe shamba la bibi kama ilivozoeleka, alaf wenye chuki ni wakenya dhidi ya tanzania hawapendi kuona tanzania ikisonga mbele ila mm nakwambia wembe ni ule ule tena kwa huyu mama nawasiwasi mambo yatakua tight kuliko ilivokua maana watu wanachukulia poa
 
Usiniletee hasira zako tafadhali. Sikuambia Magufuli awe mjinga, ujinga wake ndio umemua sio mtu yeyote.
Sawa bwana mapesa, kwamba

"This is the first and the last time I'm posting my personal life..., Next time if you ask me to show you even my nails I won't show you" yn we jamaa nilicheka sn
Screenshot_20210301-143519.jpg
 
Usiniletee hasira zako tafadhali. Sikuambia Magufuli awe mjinga, ujinga wake ndio umemua sio mtu yeyote.
Na mm nakuambia leo kwamba this is the last time I show you my wealth, and the reason behind posting it is because I want to show you something about me, but next time if you request for it I won't show you even my legs
JamiiForums-1570347969.jpg
 
Back
Top Bottom