Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uongozi wa Magufuli ulitegemea sana wanataaluma (kutoka vyuoni, wizaran, idara za serikali) na uongozi wa Kikwete ulitegemea sana Vigogo/wanasiasa (kupeana uongozi sababu mzee alikuwa kiongozi, waziri au mbunge).. ngoja tuone Mama Samia ataenda kwa njia ipi
 
uongozi wa Magufuli ulitegemea sana wanataaluma (kutoka vyuoni, wizaran, idara za serikali) na uongozi wa Kikwete ulitegemea sana Vigogo/wanasiasa (kupeana uongozi sababu mzee alikuwa kiongozi, waziri au mbunge).. ngoja tuone Mama Samia ataenda kwa njia ipi
yaani mama akijichanganya tu.miaka minee hii itakuwa kama karne kwake.
 
yaani jana asubuhi nimepita eneo nikakuta mama ntilie wanasikikiza redio.wengi hawakupata taarifa usiku ule wa juzi.

wanaongea kuhudumia kwa unyonge sana.
kwakweli roho iliniuma,mpaka nikaanza kumlaumu Mungu tena.

aaaah.
Hvi twitter mnawaona wanavyoandika utumbo yani ata hawajishtukizii daah
 
Mama Samia has worked closely with the late JPM than Kikwete. She now knows and understand what Tanzanians need and are up to. What is so impressing is that JPM through his leadership has set standards for new top government leaders. I don't think that Samia's government will completely divert from the standards she has learnt from the late JPM. After all, the weaker the CCM goverment leadership the stronger opposition takes shape. And I am pretty sure that CCM won't allow this to happen so easily coz they have learned a lesson from Kikwete's weaker leadership!
Iwe closely au apart wewe jua kwamba hii ni new personality anaenda kufyeka genge la Chato na kamwe hataongoza kwa kivuli cha marehemu
 
Ni kweli but lile kundi hslitaoewa nafasi kwa sababu mama Samia anajua kila kitu juu yao na pia serikali tayari ipo.

Wazee wakiona mana Samia anataka kufanya mabadiliko makubwa sana ni lazima watamuita na kuuliza kulikoni.
Mama wasimpe uenyekiti wa ccm taifa.. wasubiri Kwanza mpaka 2023

Kama atazingua 2025 asirudi
 
Kichwa kubwaaa akili sasa
Sie tulijua mapema Sana wakati marehemu anamtuma tuma kuwakilisha wala hata hakuwa anajua kwamba system is working to prepare her for the presidency

Mataga genge yamepigwa na butwaa hata hayaamini kinachotokea,tayari keshakabidhiwa rungu na orodha iko mezani wakenue tena basi
 
Natabiri yafuatayo;
1.Upigaji wa madini hasa kule mererani
2.Kurudi kwa cartels za ccm,madawa ya kulevya,ufisadi Kama wa Escrow nk.
3.Tanzania kurudi kuwa Shamba la bibi.
4.Mikataba ya ufisadi.
5.Siri za serikali kuvuja.
6.Ya kibiti kujirudi.
7.Lissu kusumbua.
8.wananchi wa chini kutosikilizwa na viongozi.
9.Uzembe kujirudia kwa watumishi
10.Viongozi waliokuwa chini wa JPM kuandamwa.
Tumpe muda kidogo mama afu ndo tumjaji
 
Back
Top Bottom