Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimepata Mshtuko sana bro yani usingizi umekara , simba wa africa ametutoka
Pole sana bro! He was a true pan Africanist, ni juzi tu nilikua nikiwaza nakusema Mungu hawezi muacha Magufuli because he boldly glorified Him before the whole world, aliposema yeye ana mwamini Mungu kulinda Tanzania kutokana na janga la corona, hapa nilikubaliana na yeye, na kwa hili jambo bro, ata kama ameaga, Tz iko mahali poa. Ukimsifu Mungu hadharani, na yeye hatakuaibisha. Tz is safe, take it from me. The gentleman honoured God before the whole world, wengine wakamkejeli. Kwa hili mimi namkubali. Tanzania itaishi chini ya baraka za binguni.
 
6C88D48D-CE2F-4D40-BEA8-21838ABCE8CE.jpeg
 
🤝🤝🤝🤝 thanks bro
 
👏👏👏👏👏👏 Shukraan
 
Kumbe na wewe unamuamini Mungu? Nilijua waliokua wakipinga himizo lake la kumtegemea Mungu ni atheists

Sababu kwenye ugonjwa usio na dawa unaoua millions ya wazungu walioweka lock downs, masks, social distances, high level medical care lakini bado wanakufa, nani mwingine wa kumtegemea zaidi ya Mungu?
 
Yeah, I do believe in God.
 
Back
Top Bottom