Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Very true, mzee wetu angepumzishwa tu mapema watu machungu yapungue.
Hizi habari nimezipata saa 8 usiku lakini naona kama ni miaka miwili nyuma na bado nina siku nyingi mbele mpaka azikwe

Naona kama Dunia imeganda, how am going to survive in this total darkness ahead of me 😭😭😭😭
 
Hizi habari nimezipata saa 8 usiku lakini naona kama ni miaka miwili nyuma na bado nina siku nyingi mbele mpaka azikwe

Naona kama Dunia imeganda, how am going to survive in this total darkness ahead of me
Oooh sijui niandike kwa namba gani ambavyo nimejawa na huzuni,machungu hakika huu msiba umenichoma penyewe,sijawahi huzunishwa kwa kiwango hiki kwa msiba wa kitaifa.

Poleni kaka zangu mlioko jukwaa hili Mungu awatie nguvu, najua ni namna gani mlivyoumizwa kwa kuondokewa na raisi wetu mpendwa,hatuna namna zaidi ya kumshuru Mungu kwa yote.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana bro! He was a true pan Africanist, ni juzi tu nilikua nikiwaza nakusema Mungu hawezi muacha Magufuli because he boldly glorified Him before the whole world, aliposema yeye ana mwamini Mungu kulinda Tanzania kutokana na janga la corona, hapa nilikubaliana na yeye, na kwa hili jambo bro, ata kama ameaga, Tz iko mahali poa. Ukimsifu Mungu hadharani, na yeye hatakuaibisha. Tz is safe, take it from me. The gentleman honoured God before the whole world, wengine wakamkejeli. Kwa hili mimi namkubali. Tanzania itaishi chini ya baraka za binguni.
Umeongea vizuri bro
 
Tanzania itakuwa nchi ya kwanza Africa mashariki kuongozwa na mama. Hii ni hatua nzuri sana na inaonyesha wazi kwamba siasa yenu imefikia level nyingine nzuri sana. Yaani hamna taasubi za kiume kama nchi nyingine za kiafrika ambapo mama anaonekana ni kama sio binadamu kamili. Nchi zingine zinafikiri kwamba mwanamke hawezi kuongoza lakini wanawake ni viongozi wazuri sana. Angela Merkel wa Germany ameongoza kwa zaidi ya miaka 15 na ameongoza vizuri bila tatizo lolote. Indira Gandhi naye aliongoza India vizuri bila tatizo lolote. Nafurahi kuona kwamba Africa tunazidi kusonga mbele kwenye masuala ya usawa wa kijinsia.
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
FB_IMG_1616050664439.jpg
 
Naamini kila kitu usemacho mkuu japo inauma 😭😭😭😭😭

Nakumbuka wewe ulipinga kwamba Magu hajapelekwa Nairobi bali yupo Mzena kwa matatizo ya moyo

Nilipoona patriotic kama wewe ambae hujawahi kusema baya lolote kumuhusu Magufuli umekiri Magufuli yupo Mzena ndipo nilipoanza kupoteza nguvu 😭😭😭😭😭
Magu alikua na matatizo ya moyo muda tu na ndio sababu ya kifo chake,kama utakumbuka kipindi cha kampeni kwenye gari aliyokua anatembelea na hata kwenye mikutano kulikua na ventilation karibu yake,hawa pumbavu kunyan wanaodai alifia kwao kwa corona ni wa kupuuzwa
 
Magu alikua na matatizo ya moyo muda tu na ndio sababu ya kifo chake,kama utakumbuka kipindi cha kampeni kwenye gari aliyokua anatembelea na hata kwenye mikutano kulikua na ventilation karibu yake,hawa pumbavu kunyan wanaodai alifia kwao kwa corona ni wa kupuuzwa
Hawajiulizi tiss wampeleke Magu Kenya kwa "matibabu' ya corona kwani Kenya kuna matibabu ya corona?
 
Back
Top Bottom