Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu,kwa hili nakuunga mkono to some extent,ni kwamba mfano hoja inaletwa bungeni ambayo Inahusu mambo ya kimataifa,sasa huyu darasa la saba atachangia nini?walau ubunge ungeanzia form 6 na kwendelea,japo sio wasomi wote wenye michango ya maana bungeni.
Sasa kuna utofauti gani wa watu walio ishia darasa la saba na watu wa formsix kwenye uelewa wa mambo ya kimataifa? Kwa elimu hii ya bongo? Saa nyingine embu tafakarini kabla hamja ongea... uongozi ni experience... you learn through the process. The longer your into it the better
 
Nimekuwa nikiwatch video ya kesi ya Kenya vs Somalia kwenye korti. Natoa predictions mbili. Ya kwanza ni kuwa Somalia itashinda, based on defense mzito sana ambayo wametoa. Pili napredict kwamba Kenya itaipeleka Tanzania katika mahakama hii hii ili kuredraw boundaries kati ya nchi hizi mbili. Hapa hakuna cha urafiki wala nini. Lisilo budi hutendwa. Tukutane mahakamani soon majirani.
 
Mipaka haichorwi kama unachora ramani kwenye ubao na chaki.

Wakenya mpo empty sana kwenye mambo ya kimataifa.
1. Soma mikataba iliyosainiwa kati ya Tanzania na Kenya kuhusu mipaka.

2. Tanzania ilitoa grace period kwa Mwenye malalamiko mwaka 1961 had I 1964.

3. Muulize Nduli Idd Amin Dadaa alipojaribu kuingia kwenye mipaka ya Tanzania.

4. Muulize Kamuzu Banda na Joyce Banda wa Malawi.

Nyie pigeni kelele tu kwenye mitandao but nyie ni wachumba tu.
 
Karama na shule mzee. Dunia haitusubiri sisi kaka. Kuna wasomi wenye karama za uongozi pia, msomi anauwezo ya kuchambua mambo mazito ya dunia ya leo kwa kutumia usomi wake sio karama lakini darasa la saba hatoweza hata kama ana karama. Sasa kama leader ndio last say halafu hajui a wala b ya mambo mazito ya nchi unategemea aje na jibu zuri, si ni rahisi tu kudanganywa.
Nikweli katika uongozi kuna levels... mtu kama raisi wa nchi ni vyema awe na kisomi coz ana deal na mataifa mbali mbali na ata mawaziri coz ndo ma strategizer wa nchi lakn wabunge it's not all dat... wabunge kazi yao nikuwasilisha malalamiko ya wananchi wao bungeni yafanyiwe kazi..na ndo maana wana exist na wapo wanao fanya great things...
 
Nimekuwa nikiwatch video ya kesi ya Kenya vs Somalia kwenye korti. Natoa predictions mbili. Ya kwanza ni kuwa Somalia itashinda, based on defense mzito sana ambayo wametoa. Pili napredict kwamba Kenya itaipeleka Tanzania katika mahakama hii hii ili kuredraw boundaries kati ya nchi hizi mbili. Hapa hakuna cha urafiki wala nini. Lisilo budi hutendwa. Tukutane mahakamani soon majirani.
Halafu unatakiwa ujue nyie ndio MLI extend mpaka.

Mmeshindwa kisiwa cha migingo, mpo na conflict na Ethiopia kwenye triangle.
Ujinga wenu utawapeleka kibra.
 
Umesoma na kuelewa nilichoandika!?
Hiyo ndiyo reality.
Watu wanamchagua mtu ambaye atawasemea shida zao. Halafu tunapoongelea demokrasia ni kuacha ubaguzi ambao hauana mantiki.

Baadae utaanza kuwabagua walemavu eti wasiweze kuchaguliwa kwa sababu ya ulemavu wao.

Kwa mawazo yako hayo huwezi ukawa kiongozi. Siasa ni jambo pana mno.

Hebu nikuulize jambo kati yako na Msukuma ni nani aliyeelimika!? Msukuma anajua issue za madini, yupo na mabasi. Kabla hata ya kuwa mbunge alikuwa anamilk Helkopita.

Kishimba mbunge wa kahama mjini ameishia darasa la saba. Anamilk viwanda, Dar free Market ni yake, Imalaseko Super market ni yake.

Wapo wabunge wengi tu weishia darasa la saba lakini wamefanya mabadiliko makubwa tu.

Laizer wa Melerani anamilk mgodi wa Tanzanite.

Usimdharau mtu.
Hehehehee naona unachanganya kati ya utajiri na uongozi, nikuulize Bakhressa na Magufuli nani ana pesa?
 
Nimekudharau sana aise. Huwezi ukamwita mtu ngumbaru. Ni utoto wa hali ya juu.
Uko too emotional, kunidharau kwako hakunipunguzii wala kuniongezea chochote, hapa tu base kwenye hoja, huyo Msukuma unayemtetea kwmb tusimdharau kisa darasa la saba mbn yeye anadharau elimu kisa hajapata?
 
Kama unadhani ubunge ni kitu kirahisi. Jaribu kugombea hata ukuu wa mtaa tukuone. This is politics. Jifunze kuheshimu wenzako.
Kila mtu atimize wajibu wake. Kuanza kumdharau mwezako ni dalili za kutokuelimika.

Wewe binafsi umefanya nini katika jamii!? Nyie ndio watu msiohudhuria kwenye misiba, kwenye kazi za kijamii.
Wacha watu wachague mtu aliyekaribu nao.

Unataka wawachague wasomi!!!? Ambao hawataki hata kukaa na jamii!!? Watu wanaona jinsi watu hao wanavyoishi na jamii.
Unaweza kuniambia kwnn mpk leo hatujaongozwa na Rais darasa la saba? Au hata waziri darasa la saba?
 
Uko too emotional, kunidharau kwako hakunipunguzii wala kuniongezea chochote, hapa tu base kwenye hoja, huyo Msukuma unayemtetea kwmb tusimdharau kisa darasa la saba mbn yeye anadharau elimu kisa hajapata?
Nimekuambia jifunze masuala ya kisiasa uyaelewe. Nimejaribu kukueleza kwa lugha rahisi. Ungekuwa umeelimika ungenielewa. Sasa hivi nitakufundisha in hard way.
 
Kati yako na Kishimba nani anajua mambo ya kimataifa!?
Kishimba kawekeza Zambia, Malawi na DRC.
Hebu acheni utoto. Tafuteni kuwajua watu msiwe mnaropoka ropoka tu.

Kati yako na Babu Tale nani anajua issue za kimataifa!?
Alafu mbn uko personal sn, wewe una uhakika gani kwamba huyo Spencer hajui mambo ya kimataifa kuliko Babu Tale?
 
So what is problem with that!? Kusema bangi ihalalishwe. Kwani hakuna nchi duniani iliyohalalisha bangi!? Je, unajua matumizi ya bangi wewe!?

Hebu nenda shule kwanza.
Kwahiyo viongozi wa Tz walikuwa hawana akili kuhalamisha bangi?
 
Nikweli katika uongozi kuna levels... mtu kama raisi wa nchi ni vyema awe na kisomi coz ana deal na mataifa mbali mbali na ata mawaziri coz ndo ma strategizer wa nchi lakn wabunge it's not all dat... wabunge kazi yao nikuwasilisha malalamiko ya wananchi wao bungeni yafanyiwe kazi..na ndo maana wana exist na wapo wanao fanya great things...
Hehehe mkuu unasema kazi ya wabunge ni nn? Labda responsibilities za bunge zimeshabadilishwa na sina habari, wabunge ndio wanaotunga sheria za nchi na kuishauri serikali yn kwa kifupi bunge ndiyo mpango mzima.
 
Halafu unatakiwa ujue nyie ndio MLI extend mpaka.

Mmeshindwa kisiwa cha migingo, mpo na conflict na Ethiopia kwenye triangle.
Ujinga wenu utawapeleka kibra.
Umenikumbusha Ilemi triangle! yaani Tanzania tu ndo nchi haina mgogoro wa mpaka na Nyang'au ila naona wanataka kulianzisha! Halafu media yao ya kifala kishenzi eti inadai Somalia itawanyang'anya access to international waters wakati si kweli Kenya itabaki na economic zone plus access to international waters! Kenya imejaribu kuiba economic zone ya Somalia kwa ajili ya tamaa ya vitalu vya mafuta vya Somalia!
 
Uko too emotional, kunidharau kwako hakunipunguzii wala kuniongezea chochote, hapa tu base kwenye hoja, huyo Msukuma unayemtetea kwmb tusimdharau kisa darasa la saba mbn yeye anadharau elimu kisa hajapata?
Swala ni how you articulate things... sio kwamba ana watharau he's just disappointed na some of them ambao wana elimu yakutosha kbsa naya juu lkn elimu yao hai reflect the anticipated result as deemed soo... yani kwa ufupi ana wapa moyo ata wale ambao hawakufanikia ku vuka lasaba kwamba any thing is possible if u put the hard work..
 
Back
Top Bottom