Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Mimi nilivurugika jpili na j3 baada ya kutoonekana kanisani nikahisi kuna jambo, Nashukuru Mungu alinipa ujasiri wa kuwa tayari kwa lolote.
Kuna mtu kanichukia kwakuwa sijapokea wala kujibu msg zake karibu wiki sasa, kwasababu nilikuwa najiandaa kisaikolojia, sikujuwa ntalichukuliaje hili suala likithibitishwa, hasa baada ya kuona Rais wa SMZ akiahirisha shughuli za kiserikali. Kila nikiona wadau wakiweka miradi yake, kwa kweli nilizidi kuumia nikijuwa, wanamuemzi.Moyo unaniuma mm jamaniiii, siwezi kulala kabisa wacha nikeshe tu nimeumia sana sana japo naamini kifo ni haki yetu sisi wanadamu lakini why Magufuli why??

