The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ok wacha tuache huu mjadala hauna faida yoyote.Nani aliyechanganya hapo. Tatizo lako unakurupuka tu husomi.
Acha utoto.
Ok wacha tuache huu mjadala hauna faida yoyote.Nani aliyechanganya hapo. Tatizo lako unakurupuka tu husomi.
Acha utoto.
Ok yaishe.Nimekuambia jifunze masuala ya kisiasa uyaelewe. Nimejaribu kukueleza kwa lugha rahisi. Ungekuwa umeelimika ungenielewa. Sasa hivi nitakufundisha in hard way.
Kaka bunge lina kazi nyingi sana(unaweza kuchungulia katiba) na ndio muhimili muhimu kulikomihimili yote. Moja kati ya kazi za bunge ni kuishauri serikali na kutafuta njia za kutatua matatizo ya wananchi sio tu kuleta matatizo ya wananchi. Mbunge pia anaweza kupeleka mswada bungeni na kupitishwa kuwa sheria.Nikweli katika uongozi kuna levels... mtu kama raisi wa nchi ni vyema awe na kisomi coz ana deal na mataifa mbali mbali na ata mawaziri coz ndo ma strategizer wa nchi lakn wabunge it's not all dat... wabunge kazi yao nikuwasilisha malalamiko ya wananchi wao bungeni yafanyiwe kazi..na ndo maana wana exist na wapo wanao fanya great things...
If you have common sense, make sense of this.Excuse me Mr. Knowledgeable, can you tell us a little bit of how your BRT will be operating on the express way?
Duh, Jembe halipo tena.RIP Mr President 😭😭 Truly a sad day for Tanzania 🇹🇿
Ndio hivyo mkuu.Duh, Jembe halipo tena.
Kwani kabla ya corona watu walikua hawafariki. Afrika tunasafari ndefu sana kujitawala kifikraCorona is real!
Wabunge kuwakilisha wanachi wao ni part ya jukumu lao pia... n yah niwatungaji sheria lakn kua muwazi ivi kweli una hitaji degree kutunga sheria? Na si ongelei Tz tu just in general sheria zilipo duniani zinazo usu binadamu unathani kua na degrees ndo ime kua kigezo ya hizo sheria kutungwa? I urge you to think again...Hehehe mkuu unasema kazi ya wabunge ni nn? Labda responsibilities za bunge zimeshabadilishwa na sina habari, wabunge ndio wanaotunga sheria za nchi na kuishauri serikali yn kwa kifupi bunge ndiyo mpango mzima.
is real kwenu kunyaland!!Corona is real!
Ivi ni kweli?Tumekwisha
Yah Chuma kimekwenda.Ivi ni kweli?
Na ota au? Embu kueni serious... mme julia wapi?Yah Chuma kimekwenda.
Muheshimiwa kafundisha viongozi wengi wa afrika kujaribu . He attempt to do a lot things . Apumzike kwa amani mwendo kaumaliza
Tulikuwa tunakufa ila sio Msiba wa kujitakiaKwani kabla ya corona watu walikua hawafariki. Afrika tunasafari ndefu sana kujitawala kifikra