Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ota au? Embu kueni serious... mme julia wapi?
Pita hapa

kitu nilichopenda ni kaziamini hospitali za serikali ndan ya nchi, hajataka kupelekwa nje ya nchi!
Magufuli ameonesha njia jinsi gani viongozi wa Afrika wanapaswa wawe naamini huko alipo Mwenyezi Mungu amemuweka panapo stahili japo ana makosa km binadamu lkn naamini alikuwa na mapenzi makubwa dhidi ya wananchi, wiki yote hii nmekuwa naumia moyo wangu ulikuwa unauma sana nilishahisi kuna kitu kibaya kinatuzunguka Watz.

Asante Magufuli, asante Mungu kwa haya yote kwani wewe hukosei na hujawahi kukosea, nimelia lkn hii haiondoi ukweli kwamba Magufuli hatupo naye tena, asante baba kwa zawadi hii uliyotupa na asante pia kwa kila ulilolifanya kwa nchi yetu.

Watanzania naomba tuungane na tujikaze katika kipindi hiki kigumu tusitetereke mana katika kila gumu kuna njia, hakika tusijibishane na mtu yeyote zaidi tu tuseme asante.

Asante Magufuli, Mungu akuweke baba, wewe ni zaidi ya mwamba, miaka yako sita uliyoongoza imetosha kujipambanua kwamba uliletwa duniani kupigania haki, asante sana baba.

Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi Amina.
 
Mbona hata rwanga alipata matatizo ya moyo . Ni ugonjwa wa mda mrefu . Afrika watu wengi wanatembea na magonjwa kwa sababu hatuna utamaduni wa kufanya check up ya mwili mpaka huanze kiuumwa
Kwa hivyo unaamini ni maradhi ya moyo ndio imemuua?
 
Magufuli ameonesha njia jinsi gani viongozi wa Afrika wanapaswa wawe naamini huko alipo Mwenyezi Mungu amemuweka panapo stahili japo ana makosa km binadamu lkn naamini alikuwa na mapenzi makubwa dhidi ya wananchi, wiki yote hii nmekuwa naumia moyo wangu ulikuwa unauma sana nilishahisi kuna kitu kibaya kinatuzunguka Watz.
Mimi siku zote hizi moyo umekuwa ukiniuma sana.
 
Mimi siku zote hizi moyo umekuwa ukiniuma sana.
Mimi nilivurugika jpili na j3 baada ya kutoonekana kanisani nikahisi kuna jambo, Nashukuru Mungu alinipa ujasiri wa kuwa tayari kwa lolote.
Moyo unaniuma mm jamaniiii, siwezi kulala kabisa wacha nikeshe tu nimeumia sana sana japo naamini kifo ni haki yetu sisi wanadamu lakini why Magufuli why??
 
Back
Top Bottom