Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi huwa najaribu Ku validated na Ku verify taarifa ninazozipata.
Mfano:
Screenshot_20210317-195610.png

From air Tanzania
 
Exactly hata mie! Imagine potential PAX wangapi wameacha ku-book Air Tanzania kisa utopolo wa NDINDA !
Mimi huwa najaribu Ku validated na Ku verify taarifa ninazozipata.
Mfano:View attachment 1728154
From air Tanzania
Mnajuaje kama NDINDA anafanya kazi serikalini tena pengine ana access to such documents? Na hataki kuwaambia sources zake kwa sababu habari hii bado haijakuwa official? Msimkashifu sana. Stamp naona ni original, document inakaa ni original.
 
Hebu acha issue kama hizo. Hata kama uwe unafanya kazi serikalini. Kuna ethics. Huwezi kuweka taarifa public amabayo haijawekwa public.

Wapo wasemaji halali wa serikali.
 
. Mwanza is rising too high

Huyu jamaa huwa ananikera sana, sijui ni kwanini huwa anaona sawa kusifia darasa la saba. Ni kama vile anatulazimisha kuamini darasa la saba pia wapo vizuri kushinda maprofesa wakati yeye mwenyewe nje ya kutoa shida za jimboni kwake(haiihitaji uende shule) na kuwaponda upinzani hana chochote cha ziada.
 
Wapo wanaompenda. Na wewe wapo wanaokuchukia. Huwezi kupendwa na kila mtu.
 
Huyu jamaa huwa ananikera sana, sijui ni kwanini huwa anaona sawa kusifia darasa la saba. Ni kama vile anatulazimisha kuamini darasa la saba pia wapo vizuri kushinda maprofesa wakati yeye mwenyewe nje ya kutoa shida za jimboni kwake(haiihitaji uende shule) na kuwaponda upinzani hana chochote cha ziada.
Huyo kinachomsumbua ni inferiority complex, na ndiyo maana sheria za nchi hii inabd zifanyiwe some adjustments cz huwezi kuwa kiongozi unaenda kupigania haki za wananchi wkt ww mwenyewe haki zako huzijui matokeo yake jamaa usiku kucha ni kuponda elimu na kusifia darasa la saba kisa yeye ni darasa la saba lkn ni mbunge, anashindwa kuelewa kwamba kukosa kwake elimu sio kosa la elimu.

Anatumia kukosa kwake elimu km excuse ya kuendelea kumweka bungeni, ifike mahali hawa wapuuzi wasiwe na mandate ya kuingia bungeni, wasomi wengi nchi hii inakuwaje ngumbaru km huyu aongoze watu na elimu zao?
 
Ndugu katiba ya Tanzania inaruhusu kuchagua au kuchaguliwa.
Jifunzeni siasa. Anayo haki ya kuongea hayo. Ndiyo maana nchi yetu inaizidi Kenya kwenye demokrasia.
 
. Mwanza is rising too high

Hapa Sama boy 255 itabidi niwapongeze. Mumechukua hatua nzuri sana kuanzisha kiwanda hiki cha kurefine gold. Hapa sasa mpo sawa sana. Mimi nafurahi kuona maendeleo haya. Sisi Waafrika mambo ya kuexport gold ores in raw form tuwache. Yaani Africa tunazidi kusonga mbele.
Geza Ulole
 
Ndugu katiba ya Tanzania inaruhusu kuchagua au kuchaguliwa.
Jifunzeni siasa. Anayo haki ya kuongea hayo. Ndiyo maana nchi yetu inaizidi Kenya kwenye demokrasia.
Ndomaa kasema katiba inahitaji amendments to cure those defects and suit the needs of this century. Kenya wamemchagua sonko sioni kama huo ni mfano sahihi. Sema kweli akiongea Bashe na Msukuma we utaondoka umemuelewa nani?
 
Back
Top Bottom