Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo kinachomsumbua ni inferiority complex, na ndiyo maana sheria za nchi hii inabd zifanyiwe some adjustments cz huwezi kuwa kiongozi unaenda kupigania haki za wananchi wkt ww mwenyewe haki zako huzijui matokeo yake jamaa usiku kucha ni kuponda elimu na kusifia darasa la saba kisa yeye ni darasa la saba lkn ni mbunge, anashindwa kuelewa kwamba kukosa kwake elimu sio kosa la elimu.

Anatumia kukosa kwake elimu km excuse ya kuendelea kumweka bungeni, ifike mahali hawa wapuuzi wasiwe na mandate ya kuingia bungeni, wasomi wengi nchi hii inakuwaje ngumbaru km huyu aongoze watu na elimu zao?
Hii kweli na kwa sasa naona kigezo cha Diploma atleast kinaingia akilini lakini sio la saba. Mtu kama Babu Tale yupo bungeni wakati nikimuangalia mimi hata udiwani tu siwezi kumpa kura yangu. Ni mambo ya aibu kwa kweli kuendelea kuwa na hawa watu kwenye Taasisi nyeti kama Bunge.
 
Siku itarudi 94-97 rudi tena u post, hyo tunajua ni vita ya kibiashara..walipoteza mafuta kusudi ndio wajilete kw njia ya kwamba wameyapata kw gharama kubwa ili bei ipande..
Kwan yatapanda milele, waache wale mida yao hii wapigaji
😅😅😅😅😅 so kwanini unanililia mm sasa kwan mm ndio nilipandisha au mm ndio niliwaleta wakenya wenzio waje tanzania kununua mafuta

hahahhahaha laumu jubilee😅😅😅😅
 
Kumbe Ghana ni wazimu hivi kwenye interchanges? Wanaosema uchumi wa Ghana ni wa kwenye makaratasi mpo wapi?
Hao mafala Wana vi miji vya hovyo hovyo tuu ila kwenye roads na interchange hawajaremba wamefanya kweli,hawa Wana haki ya kujipiga kifua
 
🍃 💚
7E45D6C2-D7FA-4177-BC4C-C09F1F473060.jpeg
CBDB3F71-B269-4995-B496-BF7970382D90.jpeg
 
Ndomaa kasema katiba inahitaji amendments to cure those defects and suit the needs of this century. Kenya wamemchagua sonko sioni kama huo ni mfano sahihi. Sema kweli akiongea Bashe na Msukuma we utaondoka umemuelewa nani?
Ndio maana nikasema. Mjifunze siasa. Ukitaka wabunge wawe wasomi basi nawanaomchagua mbunge wawe wasomi.
Then matokeo yake ni kuwa na classes kwenye society. Kunakuwa na High class na Low class. Matokeo yale low class watakuwa wanashindana na high class.
Nchi haitaweza kutulia.

Also mbunge ni mwakilishi wa mawazo ya wananchi, mbunge siyo mtaalamu. Kazi ya mbunge ni kufanya siasa na kutoka mawazo ya wananchi. Wataalamu kazi yao ni kuyachambua na kuyaweka katika lugha ya kitaalam.

Sijui professional yako ni ipi but, tukija kwenye industry ya IT ni kwamba mtu anakuletea wazo lake umtengenezee software, so ni wajibu wako mtaalamu kulitafsiri wazo hilo kulingana na Technology.

Utakapokuwa boss utanielewa naongea nini.
 
Hii kweli na kwa sasa naona kigezo cha Diploma atleast kinaingia akilini lakini sio la saba. Mtu kama Babu Tale yupo bungeni wakati nikimuangalia mimi hata udiwani tu siwezi kumpa kura yangu. Ni mambo ya aibu kwa kweli kuendelea kuwa na hawa watu kwenye Taasisi nyeti kama Bunge.
Jifunze siasa na ujue dunia imetoka wapi. Usimdharau mtu aliyeaminiwa na watu wengi. Hii tabia siyo nzuri.
 
Uchumi wako km unayumba huwezi toka na ndinga kali lenye v-shaped cylinders jomba..
Manake mwisho utaumbuka uliache juu ya mawe
Ivi mbna umekuwa mropokaji? Umelewa swali lakin? Mind you ile interchange wametumia usd 90 mil kujenga kiasi kwamba hata rwanda, uganda wanaweza kujenga...je utasema wana utajir mkubwa?
 
Hii kweli na kwa sasa naona kigezo cha Diploma atleast kinaingia akilini lakini sio la saba. Mtu kama Babu Tale yupo bungeni wakati nikimuangalia mimi hata udiwani tu siwezi kumpa kura yangu. Ni mambo ya aibu kwa kweli kuendelea kuwa na hawa watu kwenye Taasisi nyeti kama Bunge.
Halafu tabia ya kulaumu laumu haileti afya. GT hujadili issues hawamjadili mtu. Je, alichokisema kina ukweli au la! Na kama hakuna ukweli je, ni kwa namna gani.
 
Mm inanisikitisha sn wkt mwingine, hiki kigezo cha kila mtu ana haki ya kuchaguliwa sioni kama kina tija wkt tuna lundo la wasomi wenye uwezo wa kulifanyia makubwa taifa hili.
 
Expressway ni barabara ya kawaida sana ndugu yangu.
Sisi tunaufumua mji wa Dar.
BRT is a system.
Nilijua kuna ng'ombe isiyojielewa itadandia comment hii kama Kawa. Boss, Expressway iko na BRT na sii barabara ya kawaida - ama unaweza nionyesha barabara kama hiyo hapo kwenu?
 
Ndio maana nikasema. Mjifunze siasa. Ukitaka wabunge wawe wasomi basi nawanaomchagua mbunge wawe wasomi.
Then matokeo yake ni kuwa na classes kwenye society. Kunakuwa na High class na Low class. Matokeo yale low class watakuwa wanashindana na high class.
Nchi haitaweza kutulia.

Also mbunge ni mwakilishi wa mawazo ya wananchi, mbunge siyo mtaalamu. Kazi ya mbunge ni kufanya siasa na kutoka mawazo ya wananchi. Wataalamu kazi yao ni kuyachambua na kuyaweka katika lugha ya kitaalam.

Sijui professional yako ni ipi but, tukija kwenye industry ya IT ni kwamba mtu anakuletea wazo lake umtengenezee software, so ni wajibu wako mtaalamu kulitafsiri wazo hilo kulingana na Technology.

Utakapokuwa boss utanielewa naongea nini.
Kwani wabunge wasomi wa Tanzania wamechaguliwa na nani kaka, si na watanzania haohao wanaochagua la saba. Kwa dunia ya sasa mbunge kuwa msomi ni muhimu sana sababu tunahitaji watu wanaoweza kusoma na kuhoji vitu kwa undani sio kuishia kutoa kero za jimboni.
 
Ndio maana nikasema. Mjifunze siasa. Ukitaka wabunge wawe wasomi basi nawanaomchagua mbunge wawe wasomi.
Then matokeo yake ni kuwa na classes kwenye society. Kunakuwa na High class na Low class. Matokeo yale low class watakuwa wanashindana na high class.
Nchi haitaweza kutulia.

Also mbunge ni mwakilishi wa mawazo ya wananchi, mbunge siyo mtaalamu. Kazi ya mbunge ni kufanya siasa na kutoka mawazo ya wananchi. Wataalamu kazi yao ni kuyachambua na kuyaweka katika lugha ya kitaalam.

Sijui professional yako ni ipi but, tukija kwenye industry ya IT ni kwamba mtu anakuletea wazo lake umtengenezee software, so ni wajibu wako mtaalamu kulitafsiri wazo hilo kulingana na Technology.

Utakapokuwa boss utanielewa naongea nini.
Mkuu hapa naomba twende kwenye reality, ukweli ni kwamba kule bungeni wanaenda watu wanaotusaidia kutunga sheria ss km hao wanaoenda kutunga sheria na hawana confidence ya kusimama na kuongea vitu sensitive ni wa nn ss? Mana it's proven kwmb wabunge ambao ni darasa la saba wengi huwa hawaongei na hata wakipata nafasi ya kuongea huwa tunaziona pumba za kina babu Tale na Msukuma may be uniambie hapa ni mbunge gn darasa la saba wa kizazi hiki amewahi kuongea point.

Na hii yote ni kutokana na ukweli kwamba wana loose confidence kutokana na ufinyu wa elimu walionao, lkn pia ni ukweli ulio wazi haya mambo ya uongozi yanahitaji darasa ila km tutataka kuendeleza siasa hapo sawa, au basi km hyo point yako ya kukwepa classes kwenye jamii basi iwe applicable pia ktk kuchagua Rais, mbn Rais hatujawahi kuchagua ngumbaru? Au Urais unahitaji profession? Profession gn? Na km urais hauko selective ktk profession mbn hatuwapi hawa ngumbaru nafasi ya kuwa maraisi?
 
Halafu tabia ya kulaumu laumu haileti afya. GT hujadili issues hawamjadili mtu. Je, alichokisema kina ukweli au la! Na kama hakuna ukweli je, ni kwa namna gani.
Babu Tale ni mtumishi wa umma tunaruhusiwa kumjadili kama tunavyomjadili Rais ila hatuwezi kuijadili familia yako au mtu wako wa karibu sababu hatuhusu, hatupiki majungu hapa. Hakuna nchi ambayo raia hawailaumu serikali wanapoona baadhi ya mambo hayapo sawa.
 
Ukweli ni kwamba hawa ngumbaru wanatakiwa wasiingie bungeni Mana huwa wanaongea pumba tupu, mtu anakazania darasa la saba darasa la saba as if wasomi hawakereki na hayo maneno yake, lakini km wasomi wangeanza kutukana darasa la saba ndio wanageonekana wanalet classes kwenye jamii ila huyo ngumbaru anayetukana wasomi anaonekana sahihi.
 
Back
Top Bottom