Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanga port
Ewr_FFJXIAIwSdT


Ewr_F76WEAckW3U


Ewr_HcCXEAgdSwg









MY TAKE

Nangoja Lamu port iwe na oil facilities na rail! Ikumbukwe Hiyo oil storage hapo juu haihusiani na ya EACOP ambao watajenga a complete new terminal for crude pipeline!

CC: Tony254
 
Kitu inayofanya Nigeria kuwa superpower hapa Africa ni their big internal market. Kwa sababu ya population kubwa wameweza kuwa na big internal market. Watu karibu 200 million na wote lazima wanunue chalula kila siku, wote lazima wanunue nguo, wote lazima wanunue madawa wakiwa wagonjwa, 60% wamenunua simu (120 million). 30% wana smartphones (60 million). So Gdp tunahesabu value of goods and services produced in a year. Kama ni goods, imagine unahitaji kilo ngapi za mchele kila mwaka kulisha population ya Nigeria kila mwaka. Kwenye services, imagine Nigeria ina wafanyabiashara wangapi wanaoprovide services ya kuuza chakula? Nigeria ina vinyozi wangapi wanaoprovide services za kunyoa watu? Au wasusi wangapi wanaoprovide services za kusuka wamama nywele? So yaani kama ni value of goods or serives ambayo Nigeria inaproduce, Nigeria lazima iwe inaproduce kwa wingi kwa sababu wana watu wengi wa kupatia hio service. Wana midomo nyingi za kulisha. Wana miili nyingi za kuvisha nguo. Hii ndio maana Mhindi mmoja ni masikini lakini ukichukua nchi nzima ya watu 1 billion unakuta kwamba wana Gdp kubwa inayotoshana na ya Africa. Ilhali India ni ndogo sana geographically ukilinganisha na Africa.
Umeeleza vizuri
 
Hahahahhaha mambo mengine mpaka yanaleta laha badala ya rahaa
Siku itarudi 94-97 rudi tena u post, hyo tunajua ni vita ya kibiashara..walipoteza mafuta kusudi ndio wajilete kw njia ya kwamba wameyapata kw gharama kubwa ili bei ipande..
Kwan yatapanda milele, waache wale mida yao hii wapigaji
 
USA Haijakamilika bila L.A. bro ....nje ya New York ni L.A.
Kwani unaongelea maghorofa au mambo mengine? Kwa maghorofa, Los Angeles haina majengo marefu mengi na karibu yote yako downtown. Lakini LA ni mji mzuri sana...very iconic. Physical features kama Beaches, desert, snow capped mountains zipo karibu. Ni Entertainment capital ya dunia (think about Hollywood, Disneyland, universal studios etc) , outstanding neighborhoods ( L.A and Southern California in general are home to some of the most affluent suburbs in America..Beverly Hills, Malibu, Orange County etc) na bila kusahau hali ya hewa...Los Angeles ina Mediterranean climate, climate ambayo ipo maeneo manne tu duniani ambapo mengine ni Spain, Greece na Italy ( no wonder Southern California has a high population.... many Americans prefer areas with a sunny climate). Pia the Los Angeles metro area is one of the wealthiest in the world based on GDP. Kitu negative kuhusu LA ni gharama ya maisha. It’s very expensive! Yaani ukiona nyumba ya $1,000,000 L.A imekaa kama kibanda 😂😂 ila kwenye miji kama Houston, TX hiyo hela utanunua mansion kabisa.
 
Back
Top Bottom