Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

in_daressalaam_1615941861933416.jpg
 
Guys acheni mchezo na Shanghai. Inaitwa Mega City. Guys the city is very beautiful. Hakuma mji wowote ulaya unaweza kukaribia.

Internal tourism ya China ni kubwa mno. Europe kwa sasa ikasome. China imewapita kwa everything.

Isikie tu china. But when you visit ndio utajua. Jamaa hawapigi kelele.

Shanghai Balaa, ina CBD 7 sio kama zile za wenzetu kule kaskazini.

Lujiazui My Favorite Kigamboni baadae inatakiwa kufanya mambo kama yake , kuna kieneo along Huaihai Road ni shidaa. World famous luxury Brands stores zinaremba Strip nzima. Sisi siku wakifungua hata duka moja aina hizi nadhani sijui itakua mwaka gani.

IMG_6221.jpg

IMG_6223.jpg
 
Halijasimama mzee hilo jengo linajengwa kwa ustadi na technology ya hali ya juu kuna joint venture za kampuni kutoka ulaya na asia zaidi ya 10, lazma waende hatua kwa hatua
Ujenzi umesimama. Sijui unapingana kwa nini.
 
. Kuifikia hii Egypt ni story nyingine, yo dunia imekimbia sana acha sis tushindane GDP while Some other countries ar investing. Me naona GDP ni uongo tu wa mzungu,hiv tujiulize taifa kama Egypt linazidiwa kitu gani na Nigeria .? Nigeria ambayo kutengeneza Eco Atlanta pekee wameshindwa,kuna kitu hapa Cc ichoboy01 The best 007 Tony254 mnijuze tafadhali other wise Mimi kuanzia leo nadharau taifa lolote linaitwa tajir au Lina maendeleo kushinda lingine kwa fact ya GDP

Wewe Gdp sio uongo. Itakuwa huelewi maana ya neno Gdp. Nigeria ina uchumi mkubwa kushinda Egypt. Egypt wakati mwingine inapita South Africa na wakati mwingine inapitwa na South Africa. Egypt rika yake ni South Africa, wacha wakashindane na South Africa huko. Lakini Egypt haiwezi kuiona Nigeria kwenye ukubwa wa uchumi. Lagos pekee uchumi wake upo karibu kutoshana na Uchumi wa Kenya.

Halafu wewe hujafuatilia miradi za Nigeria kwa ukaribu kama mimi ninavyozifuatilia. Wewe unaona mradi wa Egypt wa mega city yao halafu unadhani kwamba Nigeria hawana miradi mikubwa?
Nigeria wanajenga the biggest oil refinery in Africa and the biggest single-train refinery in the world yenye bei ya zaidi ya $12 billion. Jina la refinery ni Dangote refinery na tayari ipo 80% complete.
Isitoshe Nigeria wanajenga the biggest fertiliser plant in Africa itakayozalisha urea na fertilizer zingine. Jina la hii fertilizer plant ni Dangote fertilizer plant. Bei ni $2.5 billion. Fertilizer plant lenyewe lilikamilika mwezi uliopita na mwezi huu wameshaanza kuexport fertilizer.
Isitoshe Dangote anajenga kiwanda cha plastics ambayo itakuwa inatengeneza plastics kwa mfano polypropylene from oil byproducts.
Nigeria pia top 2 biggest exporter of oil in Africa. Nigeria na Angola huwa wanashindana nani atachukua namba moja. Nigeria pia wanaproduce na kuexport gas. Yaani ukiangalia kila kitu basi utagundua Nigeria wana Gdp kubwa. Tatizo ni kuwa wana watu wengi so Gni per capita yao ipo chini. Mnigeria mmoja ni masikini kushinda Mmisri mmoja. Kuna miradi mingi tu ya Nigeria ambayo inafanya Gdp yao iwe kubwa. Usiangalie Eko atlantic pekee, tunapozungumzia Gdp tunazungumzia miradi yote kwenye nchi. Ikiwemo hata Dangote cement inayoproduce 13 million mt of cement huko Nigeria kila mwaka. Na Dangote sugar inayozalisha sukari kwa wingi huko Nigeria.
Kampuni za mafuta kama Shell zimewekeza mabilioni ya dola kujenga viwanda vikubwa vikubwa vya kuzalisha mafuta huko Nigeria. Hivi viwanda vya mafuta pia vinahesabiwa katika Gdp ya Nigeria. Na Egypt haina viwanda vikubwa vya mafuta.
 
Kampuni za mafuta kama Shell zimewekeza mabilioni ya dola kujenga viwanda vikubwa vikubwa vya kuzalisha mafuta huko Nigeria. Hivi viwanda vya mafuta pia vinahesabiwa katika Gdp ya Nigeria. Na Egypt haina viwanda vikubwa vya mafuta kama vya Nigeria.
Hebu twende serious kidogo. Niambie ni criterias zipi zinatumika kupima GDP!!?
 
Kupima Gdp ni complicated. Kuna njia tatu za kupima Gdp ila zote zitakupa Gdp sawa au zinazokaribiana. Kuna income method, expenditure method na production method.
 
Wewe Gdp sio uongo. Itakuwa huelewi maana ya neno Gdp. Nigeria ina uchumi mkubwa kushinda Egypt. Egypt wakati mwingine inapita South Africa na wakati mwingine inapitwa na South Africa. Egypt rika yake ni South Africa, wacha wakashindane na South Africa huko. Lakini Egypt haiwezi kuiona Nigeria kwenye ukubwa wa uchumi. Lagos pekee uchumi wake upo karibu kutoshana na Uchumi wa Kenya.

Halafu wewe hujafuatilia miradi za Nigeria kwa ukaribu kama mimi ninavyozifuatilia. Wewe unaona mradi wa Egypt wa mega city yao halafu unadhani kwamba Nigeria hawana miradi mikubwa?
Nigeria wanajenga the biggest oil refinery in Africa and the biggest single-train refinery in the world yenye bei ya zaidi ya $12 billion. Jina la refinery ni Dangote refinery na tayari ipo 80% complete.
Isitoshe Nigeria wanajenga the biggest fertiliser plant in Africa itakayozalisha urea na fertilizer zingine. Jina la hii fertilizer plant ni Dangote fertilizer plant. Bei ni $2.5 billion. Fertilizer plant lenyewe lilikamilika mwezi uliopita na mwezi huu wameshaanza kuexport fertilizer.
Isitoshe Dangote anajenga kiwanda cha plastics ambayo itakuwa inatengeneza plastics kwa mfano polypropylene from oil byproducts.
Nigeria pia top 2 biggest exporter of oil in Africa. Nigeria na Angola huwa wanashindana nani atachukua namba moja. Nigeria pia wanaproduce na kuexport gas. Yaani ukiangalia kila kitu basi utagundua Nigeria wana Gdp kubwa. Tatizo ni kuwa wana watu wengi so Gni per capita yao ipo chini. Mnigeria mmoja ni masikini kushinda Mmisri mmoja. Kuna miradi mingi tu ya Nigeria ambayo inafanya Gdp yao iwe kubwa. Usiangalie Eko atlantic pekee, tunapozungumzia Gdp tunazungumzia miradi yote kwenye nchi. Ikiwemo hata Dangote cement inayoproduce 13 million mt of cement huko Nigeria kila mwaka. Na Dangote sugar inayozalisha sukari kwa wingi huko Nigeria.
Kampuni za mafuta kama Shell zimewekeza mabilioni ya dola kujenga viwanda vikubwa vikubwa vya kuzalisha mafuta huko Nigeria. Hivi viwanda vya mafuta pia vinahesabiwa katika Gdp ya Nigeria. Na Egypt haina viwanda vikubwa vya mafuta.
Kwahiyo SA na Egypt hawazalishi cement, sugar, plastic na fertilizer? Hivi unajua some of Nigerian crude is refined in SA? Though Nigeria has oil SA has minerals n very vibrant tourism n Egypt has oil n gas too though little! BTW even SA has little oil! I always doubt Nigeria's GDP just like Kenya's!
 
Kwahiyo SA na Egypt hawazalishi cement, sugar, plastic na fertilizer? Hivi unajua some of Nigerian crude is refined in SA?
Value ya goods na services zinazozalishwa na SA na Egypt ni ndogo kushinda Nigeria. Nigeria inaexport more than 1 million barrels per day (bpd) of crude oil per day. Hata saa zingine wanafikisha 1.5 million barrels per day. Imagine hio EACOP unayoturingia hapa kila siku itasafirisha only 200,000 bpd na tayari mnatuchosha kwa makelele.
Nigeria does not export crude oil only to South Africa but exports to many countries and soon they will start refining their own oil through Dangote refinery. By the way Nigeria bado wana refineries za kiserikali ila zimezeeka so zipo inefficient.
 
Hivi unajua SA's minerals na tourism revenues combined zinaweza pita hiyo oil ya Nigeria in revenue?
 
Hebu twende serious kidogo. Niambie ni criterias zipi zinatumika kupima GDP!!?
In simple terms, GDP is simply the monetary value of goods and services produced in a country in a year.

Back
Top Bottom