Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu hapa naomba twende kwenye reality, ukweli ni kwamba kule bungeni wanaenda watu wanaotusaidia kutunga sheria ss km hao wanaoenda kutunga sheria na hawana confidence ya kusimama na kuongea vitu sensitive ni wa nn ss? Mana it's proven kwmb wabunge ambao ni darasa la saba wengi huwa hawaongei na hata wakipata nafasi ya kuongea huwa tunaziona pumba za kina babu Tale na Msukuma may be uniambie hapa ni mbunge gn darasa la saba wa kizazi hiki amewahi kuongea point.

Na hii yote ni kutokana na ukweli kwamba wana loose confidence kutokana na ufinyu wa elimu walionao, lkn pia ni ukweli ulio wazi haya mambo ya uongozi yanahitaji darasa ila km tutataka kuendeleza siasa hapo sawa, au basi km hyo point yako ya kukwepa classes kwenye jamii basi iwe applicable pia ktk kuchagua Rais, mbn Rais hatujawahi kuchagua ngumbaru? Au Urais unahitaji profession? Profession gn? Na km urais hauko selective ktk profession mbn hatuwapi hawa ngumbaru nafasi ya kuwa maraisi?
Umesoma na kuelewa nilichoandika!?
Hiyo ndiyo reality.
Watu wanamchagua mtu ambaye atawasemea shida zao. Halafu tunapoongelea demokrasia ni kuacha ubaguzi ambao hauana mantiki.

Baadae utaanza kuwabagua walemavu eti wasiweze kuchaguliwa kwa sababu ya ulemavu wao.

Kwa mawazo yako hayo huwezi ukawa kiongozi. Siasa ni jambo pana mno.

Hebu nikuulize jambo kati yako na Msukuma ni nani aliyeelimika!? Msukuma anajua issue za madini, yupo na mabasi. Kabla hata ya kuwa mbunge alikuwa anamilk Helkopita.

Kishimba mbunge wa kahama mjini ameishia darasa la saba. Anamilk viwanda, Dar free Market ni yake, Imalaseko Super market ni yake.

Wapo wabunge wengi tu weishia darasa la saba lakini wamefanya mabadiliko makubwa tu.

Laizer wa Melerani anamilk mgodi wa Tanzanite.

Usimdharau mtu.
 
Ukweli ni kwamba hawa ngumbaru wanatakiwa wasiingie bungeni Mana huwa wanaongea pumba tupu, mtu anakazania darasa la saba darasa la saba as if wasomi hawakereki na hayo maneno yake, lakini km wasomi wangeanza kutukana darasa la saba ndio wanageonekana wanalet classes kwenye jamii ila huyo ngumbaru anayetukana wasomi anaonekana sahihi.
Nimekudharau sana aise. Huwezi ukamwita mtu ngumbaru. Ni utoto wa hali ya juu.
 
Babu Tale ni mtumishi wa umma tunaruhusiwa kumjadili kama tunavyomjadili Rais ila hatuwezi kuijadili familia yako au mtu wako wa karibu sababu hatuhusu, hatupiki majungu hapa. Hakuna nchi ambayo raia hawailaumu serikali wanapoona baadhi ya mambo hayapo sawa.
Kama unadhani ubunge ni kitu kirahisi. Jaribu kugombea hata ukuu wa mtaa tukuone. This is politics. Jifunze kuheshimu wenzako.
Kila mtu atimize wajibu wake. Kuanza kumdharau mwezako ni dalili za kutokuelimika.

Wewe binafsi umefanya nini katika jamii!? Nyie ndio watu msiohudhuria kwenye misiba, kwenye kazi za kijamii.
Wacha watu wachague mtu aliyekaribu nao.

Unataka wawachague wasomi!!!? Ambao hawataki hata kukaa na jamii!!? Watu wanaona jinsi watu hao wanavyoishi na jamii.
 
Mkuu hapa naomba twende kwenye reality, ukweli ni kwamba kule bungeni wanaenda watu wanaotusaidia kutunga sheria ss km hao wanaoenda kutunga sheria na hawana confidence ya kusimama na kuongea vitu sensitive ni wa nn ss? Mana it's proven kwmb wabunge ambao ni darasa la saba wengi huwa hawaongei na hata wakipata nafasi ya kuongea huwa tunaziona pumba za kina babu Tale na Msukuma may be uniambie hapa ni mbunge gn darasa la saba wa kizazi hiki amewahi kuongea point.

Na hii yote ni kutokana na ukweli kwamba wana loose confidence kutokana na ufinyu wa elimu walionao, lkn pia ni ukweli ulio wazi haya mambo ya uongozi yanahitaji darasa ila km tutataka kuendeleza siasa hapo sawa, au basi km hyo point yako ya kukwepa classes kwenye jamii basi iwe applicable pia ktk kuchagua Rais, mbn Rais hatujawahi kuchagua ngumbaru? Au Urais unahitaji profession? Profession gn? Na km urais hauko selective ktk profession mbn hatuwapi hawa ngumbaru nafasi ya kuwa maraisi?
Mkuu,kwa hili nakuunga mkono to some extent,ni kwamba mfano hoja inaletwa bungeni ambayo Inahusu mambo ya kimataifa,sasa huyu darasa la saba atachangia nini?walau ubunge ungeanzia form 6 na kwendelea,japo sio wasomi wote wenye michango ya maana bungeni.
 
Ukweli ni kwamba hawa ngumbaru wanatakiwa wasiingie bungeni Mana huwa wanaongea pumba tupu, mtu anakazania darasa la saba darasa la saba as if wasomi hawakereki na hayo maneno yake, lakini km wasomi wangeanza kutukana darasa la saba ndio wanageonekana wanalet classes kwenye jamii ila huyo ngumbaru anayetukana wasomi anaonekana sahihi.
Kwa ujumla anachomaanisha ni kwamba yeye hajasoma lakini amewazidi wasomi kwa pesa lakini pia mbunge kama wao so hakuna uspecial wowote wa kuwa msomi. Msomi ukisema kama yeye unapewa adhabu umemvunjia heshima mbunge mwenzako. Huyu jamaa pia alishasema bangi ihalalishwe yani hana filter kwenye mdomo wake.
 
Kati yako na Kishimba nani anajua mambo ya kimataifa!?
Kishimba kawekeza Zambia, Malawi na DRC.
Hebu acheni utoto. Tafuteni kuwajua watu msiwe mnaropoka ropoka tu.

Kati yako na Babu Tale nani anajua issue za kimataifa!?
 
Kwa ujumla anachomaanisha ni kwamba yeye hajasoma lakini amewazidi wasomi kwa pesa lakini pia mbunge kama wao so hakuna uspecial wowote wa kuwa msomi. Msomi ukisema kama yeye unapewa adhabu umemvunjia heshima mbunge mwenzako. Huyu jamaa pia alishasema bangi ihalalishwe yani hana filter kwenye mdomo wake.
So what is problem with that!? Kusema bangi ihalalishwe. Kwani hakuna nchi duniani iliyohalalisha bangi!? Je, unajua matumizi ya bangi wewe!?

Hebu nenda shule kwanza.
 
Hii kweli na kwa sasa naona kigezo cha Diploma atleast kinaingia akilini lakini sio la saba. Mtu kama Babu Tale yupo bungeni wakati nikimuangalia mimi hata udiwani tu siwezi kumpa kura yangu. Ni mambo ya aibu kwa kweli kuendelea kuwa na hawa watu kwenye Taasisi nyeti kama Bunge.
Kuongoza watu ni karama sio shule mzee baba.... na mtu kua kiongozi sio lazima kila kitu ajue ndo maana ana wasaidizi wake... nikujua matatizo ya watu wako na kueka jitihada kwenye kusuluisha either by your own au assistance from your co assistants but the leader ndo with the last say... narudia tena uongozi ni KARAMA... unaeza usiwe na kisomi toshelezi lkn ukawa bado ni kiongozi..
 
Kama unadhani ubunge ni kitu kirahisi. Jaribu kugombea hata ukuu wa mtaa tukuone. This is politics. Jifunze kuheshimu wenzako.
Kila mtu atimize wajibu wake. Kuanza kumdharau mwezako ni dalili za kutokuelimika.

Wewe binafsi umefanya nini katika jamii!? Nyie ndio watu msiohudhuria kwenye misiba, kwenye kazi za kijamii.
Wacha watu wachague mtu aliyekaribu nao.

Unataka wawachague wasomi!!!? Ambao hawataki hata kukaa na jamii!!? Watu wanaona jinsi watu hao wanavyoishi na jamii.
Mimi sio mbunge hadi uniulize nimefanya nini? Kazi ya mbunge sio kuhudhuria misiba na sherehe, mbunge kazi zake zipo kwenye katiba. Wewe unaleta hisia kwenye mambo sensitive ya nchi.

Wasomi gani ambao hawataki kukaa na jamii, kaka unaishi miaka ya 60 ndani ya 2021.
 
Sasa kama wewe siyo mbunge unalalama kitu gani!?

Nimekueleza watu wanachagua mtu aliyekaribu nao. Wanachagua mtu anayejua matatizo yao.
Usilazimishe vitu vya kipumbavu ebo.
 
Kuongoza watu ni karama sio shule mzee baba.... na mtu kua kiongozi sio lazima kila kitu ajue ndo maana ana wasaidizi wake... nikujua matatizo ya watu wako na kueka jitihada kwenye kusuluisha either by your own au assistance from your co assistants but the leader ndo with the last say... narudia tena uongozi ni KARAMA... unaeza usiwe na kisomi toshelezi lkn ukawa bado ni kiongozi..
Karama na shule mzee. Dunia haitusubiri sisi kaka. Kuna wasomi wenye karama za uongozi pia, msomi anauwezo ya kuchambua mambo mazito ya dunia ya leo kwa kutumia usomi wake sio karama lakini darasa la saba hatoweza hata kama ana karama. Sasa kama leader ndio last say halafu hajui a wala b ya mambo mazito ya nchi unategemea aje na jibu zuri, si ni rahisi tu kudanganywa.
 
Wewe soma nani amekukataza!?
Lakini siasa mtu yeyote anaingia kufanya.
Shule siyo kila kitu. Nadhani wewe ndio umepata kadigree kako ka kwanza ndio unajiona umesoma.
Utasoma na utaenda kufanya kazi kwenye kampuni ya mtu ambaye hajasoma.

Tafuta pesa acha ujinga.
 
Sasa kama wewe siyo mbunge unalalama kitu gani!?

Nimekueleza watu wanachagua mtu aliyekaribu nao. Wanachagua mtu anayejua matatizo yao.
Usilazimishe vitu vya kipumbavu ebo.
Kwahiyo mbunge tunayemzungumzia hapa ndio aje kulalamika? Mtu alie karibu yao na anaejua matatizo yao ni kweli lakini hoja ni kiwango cha elimu cha mbunge.
 
Wewe soma nani amekukataza!?
Lakini siasa mtu yeyote anaingia kufanya.
Shule siyo kila kitu. Nadhani wewe ndio umepata kadigree kako ka kwanza ndio unajiona umesoma.
Utasoma na utaenda kufanya kazi kwenye kampuni ya mtu ambaye hajasoma.

Tafuta pesa acha ujinga.
No comment.
 
Kwahiyo mbunge tunayemzungumzia hapa ndio aje kulalamika? Mtu alie karibu yao na anaejua matatizo yao ni kweli lakini hoja ni kiwango cha elimu cha mbunge.
Hoja yako haina mashiko.
Umeshindwa kuotetea. Umebaki kupiga kelele tu na kuongelea vyeti. Elimu ni zaidi ya kwenda kuchukua vyeti.
 
Kama unadhani ubunge ni kitu kirahisi. Jaribu kugombea hata ukuu wa mtaa tukuone. This is politics. Jifunze kuheshimu wenzako.
Kila mtu atimize wajibu wake. Kuanza kumdharau mwezako ni dalili za kutokuelimika.

Wewe binafsi umefanya nini katika jamii!? Nyie ndio watu msiohudhuria kwenye misiba, kwenye kazi za kijamii.
Wacha watu wachague mtu aliyekaribu nao.

Unataka wawachague wasomi!!!? Ambao hawataki hata kukaa na jamii!!? Watu wanaona jinsi watu hao wanavyoishi na jamii.
Nimekusaidia bro. Skiliza nondo za mskuma hapa The best 007 👇.
 
Nilijua kuna ng'ombe isiyojielewa itadandia comment hii kama Kawa. Boss, Expressway iko na BRT na sii barabara ya kawaida - ama unaweza nionyesha barabara kama hiyo hapo kwenu?
Excuse me Mr. Knowledgeable, can you tell us a little bit of how your BRT will be operating on the express way?
 
Back
Top Bottom