Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio ana kabahari nusu na mwalo wa lamu maana mombasa inaenda Beijing.

Kenyata alikuwa busy kukamata mashamba hakuwa na muda na bahari..sasa wanaongelea blue economy sijui kwa blue ipi? Labda kisumu via lake Victoria.
Mashamba yenye rutuba - Wazungu
Bahari - Somalia
Kipande cha bahari chenye bandari - Mchina
 
Saa zingine wazungu wako na takwimu nyingi lakini groundly hamna kitu,unajua kwann nasema hivyo bro ,ni mda sasa najaribu kufuatilia maendeleo ya nchi kubwa duniani kupitia YouTube lakini kila nnavyotaka kujiridhisha kwamba us ndio baba wa dunia bado napata doubt nyingi sana coz it's seems like vitu kwa ground ni different sana,Mana duh aise sijui hii inakaaje.ukiangalia miji ya china imendelea sana kiasi ambacho baadhi ya miji mikubwa US inaonekana kama ipo third world country. Silaha za kivita ndio kama iyo vid inavyoonekana hapo
Wewe hujui unachozungumzia. Unaona maghorofa marefu ya kisasa na interchanges basi unaona miji ya China imeendelea kuliko ya Marekani! Marekani imeanza Teknolojia ya kujenga maghorofa marefu tangu miaka ya mwanzo ya 1900s! Majengo yao mengi marefu yamejengwa zamani mno! Lakini haimaanishi kuwa wako nyuma! Hata miundombinu yao ya miji waneanza kujenga zamani. Mfano ni New York subway na the Chicago L, metro systems zilizoanza kujengwa tangu miaka ya 1800! Lakini japokuwa miundimbinu hii ni ya zamani bado imefanyiwa upgrade za Kisasa.
 
. .. kwa hali hii ☝️ me naeza kusema USA sio taifa powerful in this world, wanatuaminisha tu na GDP uchwara na misaada ambayo kinyume chake ni dhuluma, China ndio taifa tajir duniani kwa sasa ,anae bisha awete facts. Chinese infrastructures is furistic,no any us city can be compered to China cities ..

Umeshawahi kuona USA ime-expose nuclear arsenal yake hata siku moja? Na ina active nuclear warheads karibu 3800 huku china ina nuclear warheads 350! Matters nyingine ni classified na huwezi kuona marekani imeweka wazi mambo yake ya kijeshi Mara nyingi. Pia Marekani ina jeshi lenye nguvu kubwa zaidi duniani mpaka sasa ninavyozungumza na bajeti yake ya ulinzi inaonyesha kabisa wazi jinsi ambavyo wana nguvu!
 
Saa zingine wazungu wako na takwimu nyingi lakini groundly hamna kitu,unajua kwann nasema hivyo bro ,ni mda sasa najaribu kufuatilia maendeleo ya nchi kubwa duniani kupitia YouTube lakini kila nnavyotaka kujiridhisha kwamba us ndio baba wa dunia bado napata doubt nyingi sana coz it's seems like vitu kwa ground ni different sana,Mana duh aise sijui hii inakaaje.ukiangalia miji ya china imendelea sana kiasi ambacho baadhi ya miji mikubwa US inaonekana kama ipo third world country. Silaha za kivita ndio kama iyo vid inavyoonekana hapo
Silaha za vita US wako mbali sana. Honestly wewe unajua US wana silaha aina gani za vita? Watu hawaiti US superpower kwa mzaha. Bro US sio mchezo. China ina aircraft carriers mbili, US wana 11. Yaani China haiwezi kuifikia US kwenye maswala ya military. Pengine uongee kuhusu mambo ya uchumi.
Vita inategemea technology unayotumia. Nchi za magharibi zilicolonize dunia nzima kwa sababu walikuwa na superior technology. US wana 5th generation stealth fighter jet ambayo radar haiwezi kuiona, ilhali China hawana. Yaani karibu kila eneo la military US wako mbele ya China.
China wameshinda US kwenye mambo fulani fulani ya Uchumi. Kwa mfano China wana longest railway network in the world. Wanagenerate more electricity than any other country. They have more industries than any other country e.t.c
 
Unauhakika gani na je kama kinatumia zaidi ya hapo 😀😀 na kila mkoa viwanda vinajengwa unategemea nn
Kama kila mkoa ina kiwanda cha megawatt tano inayojengwa unategemea itachukua miongo mingapi hadi muweze kutumia 3,000 MW mnayojenga sasa hivi?
 
Wewe hujui unachozungumzia. Unaona maghorofa marefu ya kisasa na interchanges basi unaona miji ya China imeendelea kuliko ya Marekani! Marekani imeanza Teknolojia ya kujenga maghorofa marefu tangu miaka ya mwanzo ya 1900s! Majengo yao mengi marefu yamejengwa zamani mno! Lakini haimaanishi kuwa wako nyuma! Hata miundombinu yao ya miji waneanza kujenga zamani. Mfano ni New York subway na the Chicago L, metro systems zilizoanza kujengwa tangu miaka ya 1800! Lakini japokuwa miundimbinu hii ni ya zamani bado imefanyiwa upgrade za Kisasa.
Walker my bro reasons zako dhaifu sana . Kutangulia kuwa na technology sio suala,suala ni kwamba kwasasa unafanaje au unatumiaje hiyo technology kufanya vitu vikubwa zaidi,maendeleo ni vitu vinavyoonekana wala sio maneno ,nikukumbushe tu technology zilianza ulaya uko especially in Britain ambao walitawala 1/4 ya dunia nzima lakin baadae after WW2 1945 us aka take over,na kwa sasa baada ya miaka 70 ya Uhuru wa china, inafanya vizuri ma 100 ya US . Ngoja nikupe mfano rahisi "mwalimu ndio anafundisha mtoto ambae baadae huwa raisi"llakin wa kwanza kusoma kati yao ni mwalimu ambae baadae amemfundisha mtoto na kua rais
 
Hata media ndogo ndogo za Kenya pia zinamzungumzia Magufuli

Wakenya inabidi muwe na akili hata za kufikiria kidogo,imagine rais wa nchi amekufa au anaugua corona halafu makamu wake anaendelea na ziara za kiserikali bila kuvaa mask!mnataka kutuambua VP wetu nae anarisk maisha yake 😀😀,mungiki jinga sana
 
Silaha za vita US wako mbali sana. Honestly wewe unajua US wana silaha aina gani za vita? Watu hawaiti US superpower kwa mzaha. Bro US sio mchezo. China ina aircraft carriers mbili, US wana 11. Yaani China haiwezi kuifikia US kwenye maswala ya military. Pengine uongee kuhusu mambo ya uchumi.
Vita inategemea technology unayotumia. Nchi za magharibi zilicolonize dunia nzima kwa sababu walikuwa na superior technology. US wana 5th generation stealth fighter jet ambayo radar haiwezi kuiona, ilhali China hawana. Yaani karibu kila eneo la military US wako mbele ya China.
China wameshinda US kwenye mambo fulani fulani ya Uchumi. Kwa mfano China wana longest railway network in the world. Wanagenerate more electricity than any other country. They have more industries than any other country e.t.c
Umenipa sababu za msingi ,lakini ntajiridhisha kuhusu uwezo wao (china) wa kijeshi. Je ni kweli wako vizur au ni propaganda tu .Mana wazungu wa siku hiz ni maneno mingi tu ground hamna kinachosemwa, sio kama babu zao
 
Wazungu ni nyoko siku zote. US anajua kwamba China amemkaribia kiuchumi na pia China soon atampita US kiuchumi. Lakini US hawezi kukubali China kumpita kijeshi. Hio haitawahi kufanyika. Mzungu anaamini sana kuwa na teknolojia ya vita nzuri kushinda ya adui wake. Infact nchi mbili zenye teknolojia nzuri za kivita ni za wazungu na ni Russsia na USA. Russia pia ni wazungu japo ni Eastern Europeans. Wachina bado wapo nyuma in terms of military technology. Lakini endelea kufanya research yako utapata kufahamu mengi
 
Walker my bro reasons zako dhaifu sana . Kutangulia kuwa na technology sio suala,suala ni kwamba kwasasa unafanaje au unatumiaje hiyo technology kufanya vitu vikubwa zaidi,maendeleo ni vitu vinavyoonekana wala sio maneno ,nikukumbushe tu technology zilianza ulaya uko especially in Britain ambao walitawala 1/4 ya dunia nzima lakin baadae after WW2 1945 us aka take over,na kwa sasa baada ya miaka 70 ya Uhuru wa china, inafanya vizuri ma 100 ya US . Ngoja nikupe mfano rahisi "mwalimu ndio anafundisha mtoto ambae baadae huwa raisi"llakin wa kwanza kusoma kati yao ni mwalimu ambae baadae amemfundisha mtoto na kua rais
Kigezo unachotumia kusema kuwa miji ya China imeendelea kuliko ya Marekani ni muonekano wa majengo na miundombinu. Kuwa kisa majengo na miundombunu ya China ina muonekano wa kisasa basi Ndio iko juu zaidi ya Marekani. Kwenye miundombinu ya usafiri, ni reli Pekee Ndio China ipo mbele ya Marekani! China imefanya uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya reli za masafa marefu lakini Marekani haijafanya uwekezaji wa namna hiyo! Ila kwenye miji, China na America wote wana Underground na elevated railways na pia wote wana extensive freeways na interchange. Kitu kingine cha kuangalia ni GDP ya cities za Marekani Vs china. New York na Los Angeles huwa ziko top three siku zote huku nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Tokyo!
 
Wazungu ni nyoko siku zote. US anajua kwamba China amemkaribia kiuchumi na pia China soon atampita US kiuchumi. Lakini US hawezi kukubali China kumpita kijeshi. Hio haitawahi kufanyika. Mzungu anaamini sana kuwa na teknolojia ya vita nzuri kushinda ya adui wake. Infact nchi mbili zenye teknolojia nzuri za kivita ni za wazungu na ni Russsia na USA. Russia pia ni wazungu japo ni Eastern Europeans. Wachina bado wapo nyuma in terms of military technology. Lakini endelea kufanya research yako utapata kufahamu mengi
Russian r Slavik not Caucasian as Europeans! Don't mix the two!
 
Umenipa sababu za msingi ,lakini ntajiridhisha kuhusu uwezo wao (china) wa kijeshi. Je ni kweli wako vizur au ni propaganda tu .Mana wazungu wa siku hiz ni maneno mingi tu ground hamna kinachosemwa, sio kama babu zao
Unamaanisha nini ukisema “kwa ground”? Yaani wewe unachotaka ni kuona nchi za magharibi zikionyesha silaha zao kama wafanyavyo North Korea na China sio? Hakuna propaganda katika nguvu ya kijeshi ya Marekani! Hao wana military tech bora zaidi duniani na China haiwezi fikia kwa sasa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Tony254 nchi imejinyea safari hii mpaka kamasi ziwatoke

Walisema kwamba wamewacha mambo ya Eurobond, wameendea concessional loans from IMF. Wajinga sana hawa watu. Ni kama hawajui wanachofanya. Wamebadilisha msimamo tena.
 
Back
Top Bottom