Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Somalia got independence in 1960 way ahead of u lazy asses! Original map!

kharidad3.jpg

Somalia kupata uhuru 1960 ina uhusiano gani na mgogoro wa bahari uliopo? Acha kutaka kuwa cult leader wa watanzania humu, naona ushanipachika ukenya kwa kutofautiana na wewe.
 
matusi si jadi yetu hapa!!
anyway unaogopa Kenya wakiishtaki tanzania?
Hapana sababu hata wakiishtaki na wakashinda bado Tanzania haiwezi kuliacha hilo eneo sasa wao pia sio wapumbavu waanzishe mgogoro na Tanzania wakati somalia wanammudu. Kumbuka kesi kusikilizwa upande mmoja haina maana kama somalia ameshashinda tayari bado itabidi athibitishe umiliki wake.
 
90% ya nchi duniani zinatumia TIN USA wanatumia SSN kwa wakazi but kwa sio wakazi wanatumia ITIN Canada wanatumia TIN. Nitajie nchi gani inatumia PIN.
PIN reserved word for device or card unlocking.
Badilikeni acheni ushamba.
Wewe ni wazimu sana. Haya mambo ya accounting tuwachie sisi tuliyoisomea. Kuna nchi kadhaa ambazo hazitumii neno TIN. Kama nilivyokuambia haijalishi kama hio unique number itaitwa maembe au TIN au MEZA au NANASI au PIN. Kwa mfano UK hawatumii neno TIN. Wao wanatumia neno UTR maana yake ni (unique taxpayer reference)
 
Wadau nimeshangaa zaidi. Eti Kenya imejitoa kwenye kesi ya Maritime dispute? Nimeshangaa sana ila sina la ziada la kusema.
 
Tony254 hii ni Azam TV app. Jaribu kileta kitu kama hicho toka Kenya.
Tumewaacha mbali mno
View attachment 1725645
Yan hata ukiwa nje ya bongo unalipa kwa paypal,then unapata mambo yote ya TZ kwa simu na kwa tv kama kawa,wakunya tumewaacha mbali sema kelele tu,tena kuna wakenya nawajua wakiwa abroad na wenyewe wanalipia azam tv
 
Attachments

  • 20210314_211228.jpg
    20210314_211228.jpg
    83.8 KB · Views: 6
please Tony254 @@MK254 turusheni na li shaolin temple ata li1 tukumbuke machungu ya enzi hizo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
tuanzie hapo kwanza ,lile la kupanda ngazi na mabegi kupiga picha af unashuka tena kupanda mtungi wa chan'gaa lile naomba iwe kesho
 
Wewe ni wazimu sana. Haya mambo ya accounting tuwachie sisi tuliyoisomea. Kuna nchi kadhaa ambazo hazitumii neno TIN. Kama nilivyokuambia haijalishi kama hio unique number itaitwa maembe au TIN au MEZA au NANASI au PIN. Kwa mfano UK hawatumii neno TIN. Wao wanatumia neno UTR maana yake ni (unique taxpayer reference)
Halafu acha ujinga. Mambo ya account hats kunisogelea huwezi.
Also issue za TIN siyo masuala ya account.
Finally nitajie nchi gani inatumia PIN kwama Tax Identification number!?
Uganda, Rwanda, SA, China, UK, Russia, German etc waanatumia TIN
 
Nimekuambia UK wanatumia UTR na hawatumii TIN. South Africa wanatumia Tax reference number (TRF) na hawatumii TIN. Huwa wanaifupisha na kusema "Tax number." Sisi hatucopy nchi zingine na hatujali nchi zingine zinatumia jina gani. Nyinyi endeleeni kucopy Marekani. Accountant ana kazi nyingi lakini, maojawapo ya kazi muhimu zaidi ya accountant ni kufile tax. Income tax, custom duty,excise duty e.t.c. Halafu usijaribu kujilinganisha na mimi kwenye fani hii maana naweza kukuaibisha vibaya sana. Ukitaka njoo kesho tuone nani anaelewa accounting kushinda mwingine. Kwa sasa nina usingizi. Usiku mwema
 
Wadau nimeshangaa zaidi. Eti Kenya imejitoa kwenye kesi ya Maritime dispute? Nimeshangaa sana ila sina la ziada la kusema.
Ni jambo la busara sana kenya imefanya kukimbia hiyo kesi maana hawawezi kushinda. Somalia sio a push over state, japo wanavurugana wenyewe kwa wenyewe ila when it comes to their country wamo wamoja. Ile kete ya kuitumua jubaland kama buffer zone ya ku control kismayu ime fail.

US fail to tame Somalia so as Italians, what makes you kenyan to think you can succeed to take over somalia?

Ramani iko hivi..
IMG_20210314_212942.jpg
 
Ni jambo la busara sana kenya imefanya kukimbia hiyo kesi maana hawawezi kushinda. Somalia sio a push over state, japo wanavurugana wenyewe kwa wenyewe ila when it comes to their country wamo wamoja. Ile kete ya kuitumua jubaland kama buffer zone ya ku control kismayu ime fail.

US fail to tame Somalia so as Italians, what makes you kenyan to think you can succeed to take over somalia?

Ramani iko hivi..View attachment 1725904
Wacha ujinga. Unamaanisha nini unaposema Kenya haiwezi kushinda hii kesi, kwamba Somalia wana nguvu? Wana nguvu kivipi? Kisheria au kijeshi au kiuchumi? Hii ni Mahakama na the only thing that matters is the law. Ulitakiwa unieleze kisheria ni kwa nini unafikiri Somalia watashinda. Sio kuniambia kwamba Somalia wana nguvu, hata sisi tuna nguvu kuwashinda kijeshi na kiuchumi.
 
Hapana sababu hata wakiishtaki na wakashinda bado Tanzania haiwezi kuliacha hilo eneo sasa wao pia sio wapumbavu waanzishe mgogoro na Tanzania wakati somalia wanammudu. Kumbuka kesi kusikilizwa upande mmoja haina maana kama somalia ameshashinda tayari bado itabidi athibitishe umiliki wake.
do not underestimate Somalia mkuu,hilo eneo kinajulikana ni la Somalia duniani kote
1)Kenya aliweza kuliingilia kufatia somalia kutokua na serkali kwa muda mrefu
2)hakuna beberu anaweza kuwekeza kwe hilo eneo kupitia kenya (hapa ndipo Somalia anapata nguvu)
3)kenya atalitoa hilo eneo haijalishi ni kwa machungu kiasi gani maana usalama wa kenya unategemea Somalia
4)Somalia ishapata raisi so inasikilizika na ina haki zote kama inchi ma inawashirika wake vilevile

▪︎kenya rudisheni eneo la watu,msiwacheleweshee wenzenu maendeleo kwa wivu wenu wa kishamba kutamani mafuta ya wenzenu
 
Statement yako number 1 ni uongo mtupu.
 
Back
Top Bottom