Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,695
- 107,133
Nice shot. In 10 years the city will have changed. However, there is to much to be done on the ground. Its still dusty and the roads are dilapidated. Hoping NMS will pick up the pace.
Waliopiga kura ni watalii wa dunia nzima sio mm😁😁😁 wewe unanilaumu mm kama vile mm nina makosa nimekwambia nitajie kitu kimoja tu ambacho sychelles kipo na zanzibar hakuna unaanza kulia tena wewe vipi bro unakwama wapi 😆😆😆[emoji23][emoji23][emoji23]I don't subscribe to your 'feel good' argument na reasons uchwara [emoji28][emoji23][emoji23], huwezi linganisha mbingu na jehanamu, ama kuchanganya maji na mafuta[emoji28][emoji23][emoji23], Seychelles the most developed country in Africa with European standards of living utalinganisha na Zanzibar wewe[emoji28][emoji23][emoji23]., Just beach and hotels for holidays, na ni for tourists not locals[emoji28][emoji23][emoji23]
View attachment 1720180
View attachment 1720182
Beaches na hotels means nothing in reality.[emoji28][emoji23]
Part of nairobi wakat upperhill ndani, westland ndani na CBD ndani 🤣🤣🤣🤣
Tanzanite bridge [emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1720256View attachment 1720257View attachment 1720258View attachment 1720259View attachment 1720261View attachment 1720262View attachment 1720263
Hii maneno inakaa mwaka huu itaisha! Tanzania is no doubt the EA's headquarter of quality structures! Kuna watu wanapiga njuru za viaduct ya Express highway!
Ona fikra zako zilizo za kiboya[emoji23][emoji23][emoji28], nikama umelemaa akili, chochote unachofikiria ndio basi, jibambe ba mzee, inakubalika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28],Waliopiga kura ni watalii wa dunia nzima sio mm[emoji16][emoji16][emoji16] wewe unanilaumu mm kama vile mm nina makosa nimekwambia nitajie kitu kimoja tu ambacho sychelles kipo na zanzibar hakuna unaanza kulia tena wewe vipi bro unakwama wapi [emoji38][emoji38][emoji38]
wewe kulichokuumiza kwanini zanzibar ishinde [emoji1][emoji1][emoji116][emoji116][emoji116]
Jiji linaonekana vizuri sana sipati picha litakapoisha kabisaTanzanite bridge [emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1720256View attachment 1720257View attachment 1720258View attachment 1720259View attachment 1720261View attachment 1720262View attachment 1720263
Hii ngoma inakimbizwa si mchezo.Tanzanite bridge [emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1720256View attachment 1720257View attachment 1720258View attachment 1720259View attachment 1720261View attachment 1720262View attachment 1720263
Tena hapo ni mpaka wa Horohoro unaopitisha 30% ya chakula chote kinachopelekwa Kenya, bila Tanzania hakuna KenyaSiku 3 zimepita tani 510 duh, hawa kweli tunawalisha