Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,026
Unafikiri anajua hata sauna ni nini basi!? Mimi nakumbuka mwaka 2014 pale chuo cha kilimo Uyole, kuna jamaa flani wazungu kutoka Sweden walikuja kufanya field. Miongoni mwa stori walitupatia ni hiyo sauna na namna inavyofanyika.Sasa hiyo si kama sauna tu ?? Yani watu wanata kumharibia JPM tu.. lakini watashindwa.. hawajui kupitia Magu, God got us
haven sent huyo.. lkn mta elewa tu
Walituacha midomo wazi walipotwambia kuwa wakiendaga kujifukiza wanakuwa naked na hawajali hata kuchanganyikana na wazazi fresh tu! Na wao wakabaki kutushangaa tulipowashangaa kukaa nakes na wazazi. Tukawaambia huku ni mwiko hata kuona paja la mzazi. Wakatuona kama watu wa ajabu, kwani kitu gani!
Sasa hiyo ni 2014 mimi nimejua kuwa kumbe nao wanajifukiza kama Okonkwo alivyomfukiza mwanae kwenye "Things fall Apart". Hawa majirani zetu "wazungu" wanaona kujifukiza kama uchawi hivi.

haven sent huyo.. lkn mta elewa tu



