Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya kwa sasa hawana sera wameishiwa kilichobaki ni kutapa tapa,,,

miaka yote hiyo mlikuwa mnangojea nini,mpaka leo hii ndiyo mseme kuwa mahindi yana sumu

kwisha habari yenuView attachment 1718268
Wivu wa bomba la mafuta toka Hoima-Ugand hadi Tanga _Tz bado unawatesa wakenya hasa hawa wezi waliojaa katika serikali ya Kenya. Na bado mwaka huu lazima wachuchumae choo cha kike! 😃 😃 😃 😃
 
These people are brainwashed my friend. Ukiangalia namna Obama na Marekani yake walivyowatwika mzigo wa Al Shabaab na namna wanavyopambana nao kwa "kuzingatia haki za binadamu", ukiangalia namna wanavyoingia chaka kwenye mega projects, na ukaangalia namna wanavyocheza ngoma ya akina Bill Gates na WHO kwenye corona unabaki kuwasikitikia tu.

They are almost done thinking on their own. Kila kitu ni "wazungu wanasema".
Ndio maana huwa tunasema hapa kwamba mkoloni aliondoka na akili ya Wakenya. Maana yake ndio hii kwamba wanaamnini kila anachokisema mzungu hata kama ni cha kipuuzi tu. Yaani yapo kama maroboti hayatumii akili zao za kuzaliwa kwenye mambo nyeti ya nchi yao utadhani wapo programmed kama robots.
 
Mlishachelewa

Screenshot_20210306-020612.jpg
 
Akili hizi, kweli kila mtu ana zake. Unasema atleast 20m Tanzanians are extremely poor because they spend less than a dollar per day. But the same people are peasants who produce their own food so they just need to spend mostly on manufactured consumables and services which are less than 25% of their daily expenditures.

Hapo hapo una Kenyans unaowaita middle class. Uzalishaji kwao unafanywa na watu wachache hivyo hata food products ambazo kwa tz ni cheap almost bure kwao ni expensive.

That way una "rich" Kenyans wanaoishi maisha magumu kuliko "poor" Tanzanians who are just living their natural and simple life. You guys must be brainwashed, siyo bure.
👍 👍 👍 Mkuu umefufua point muhimu sana, na kwa hii sababu ndio wajiulize how come mtu anapata mlo sahihi throughout the year lakini bado anaitwa maskini. Na hiki chakula kilichotoka shambani ndio kinachotufanya tuwe na kinga ya kutosha dhidi ya covid
 
sikiliza wewe kadem kilaza,unajua side effects za uzazi wa mpango wewe,njia safe ni ya carenda peke yake.

kama kuna mwanamke hapa anajua nilichoandika,kawaulize wenzako wanaopata uvimbe wa kizazi watakwambia.

nimekuuliza polio na corona zinafanana kwa kipi hujajibu,umeparamia kingine.
Na mie nakuuliza polio na femi plan zinaendana kivipi
Mkeo anadunga bana acha kutulisha matango hapo kw kisingizio cha kalenda

We sema hutaki kukubali km unafuata ya jiwe, haya mwezi ujao ataagiza utakuja kunengua..
 
Kwa hiyo WHO wakiosema kitu basi kiko sahihi na yeyote anayefanya tofauti na WHO ni foolish. Jana kuna mwenzako nilikuwa nikimwambia namna gani mko brainwashed na wazungu akaona kama namwonea. Sasa wewe umekuja kuthibitisha nilichokuwa nasema.

Kwa kuzingatia idadi ya nyungu au mifukizo niliyofanya kwenye maisha yangu basi inapaswa nifungue mradi wa maji kwenye mapafu yangu!

Amkeni nyie lazy minds, mbona sie tunaojifukiza hatuna nongwa ila nyie ndiyo kila uchao kuangalia wazungu wanasema nini dhidi yetu. By the way hicho kirusi konky cha ajabu ajabu kilichoibuka kuanzia Januari kishachuja na we are now starting to forget about it.
Kikwete Ana mapungufu yake ila kale kamsemo kake ka za kuambiwa changanya na za kwako kenya hautumiki.
 
Akili hizi, kweli kila mtu ana zake. Unasema atleast 20m Tanzanians are extremely poor because they spend less than a dollar per day. But the same people are peasants who produce their own food so they just need to spend mostly on manufactured consumables and services which are less than 25% of their daily expenditures.

Hapo hapo una Kenyans unaowaita middle class. Uzalishaji kwao unafanywa na watu wachache hivyo hata food products ambazo kwa tz ni cheap almost bure kwao ni expensive.

That way una "rich" Kenyans wanaoishi maisha magumu kuliko "poor" Tanzanians who are just living their natural and simple life. You guys must be brainwashed, siyo bure.
Pedestrian argument, off as always. Your reasoning about Tz applies almost to all Sub Saharan Africa, where people live a natural simple life, but hawana frame to meet several key obligations in the contemporary world they live in, ona ulivyo fukara kimawazo, you are deprived in reasoning. A fallacy for complacency and laziness, a deception that gives a false hope. Ability to eat, (imbalanced diet mostly, where mulnutrition in Tz is highest in the region) isn't a measure of economic ability or success you idiot , a feel good argument or reason won't change the truth and facts glaring at you kwa ground; maisha duni kote kote. Same as Nigeria, lots of food but number one extreme poverty in the whole world. Reasoning uchwara sana, idiots wanashangilia, get the defining factors clearly, sio kukurupuka kifalafala, the world has changed, individual economic ability and output is key which gives ability to maneuver in the current conditions and meet underlying obligations, not merely eating and fucking, giving birth ovyo ovyo., Ona fikra zenyu sasa
 
Hakuna kuingiza mahindi kenya kwa sasaView attachment 1718212
Biashara ya mahindi naelewa, wanabiashara wa Tz na Uganda they don't dry maize sufficiently, hata ukinunua from their farmers directly then ukienda kuuza direct kwa millars ama serials board Kenya bila kukausha tena, yakipimwa levels za aflatoxins huwa juu, zaidi ya viwango, people give bribes ili mahindi yachukuliwe, wakenya ndio wanatangeneza pesa zaidi kutoka kwa mahindi ya Tz na Ug, wakulima wao ni fukara wa hand to mouth hawana ability ya kufunya biashara Kenya, hapa sana sana ni middlemen na cartels wa kenya na Tz ndio wamefungiwa, pia ni tactic ya kukomboa mkulima wa Kenya kutokana na wanabiashara wajanja wa Kenya who buys cheap maize from Ug n Tz and sell slightly cheaper than market price, wana angusha bei, not Tanzania, na bado itaingia kimagendo Kama kawaida, especially from Uganda, gunia moja unapata na Ksh 700 to 1k from poor farmers. Kenya market price ni Ksh 2500 to Ksh3500, inategemea na season. Good deal. Ubepari, mwenye nguvu mpishe. Hapa watanzania are reading politics, but ni economics tu, effects za capitalism kwa mnyonge, inabidi serikali imzingire mkulima from aggressiveness ya wanaojituma. Watanzania na Waganda wangekua wajanja wangekua mbali, but unfortunately hawana frame. Mahindi itaingia tu bado, if you've ever been around the borders uone vile biashara inafanywa utaelewa. Naona mitanzania humu wenye blind patriotism wakimwaga povu bila kufikiria ama kuelewa economics behind hii biashara ya mahindi.
 
sasa mna njaa hivi na mnavimba au mnatishia kujamba wakati mnaharisha!!!!

sijui uganda kama watapata maamuzi,ila sisi wacha tuongeze sauti,mpaka nyuma kule mtacheza mziki.na mnatujua.
 
Hawa ni satanic country na cku zote huwa nasema tuna bahati mby sn kuwa karibu na jirani mshenzi na mwenye roho mby km huyu.
Katika watu ambao nimefanya nao kazi na ni hatari anytime anaweza aka kuchonganisha na boss wako Yupo mkunya🙂, wa pili msudan ndugu yake mmkenya wa Tatu mnigeria huyu naye wakishirikiana na mkenya kwa njia yoyote Ile utakubali🙄..
 
Back
Top Bottom