Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwahiyo corona inafanana na hayo uliyoyataja kwa kipi!!!!

mbona hata kutumia akili hamtaki??
Kwn polio na za uzazi zinafanana kw lipi, mbna mkeo anaenda kudunga..
Acheni kubebewa akili nyie, hakuta kitu kibaya km kupuuza bila ya wewe kuwa na mbinu mbadala..

Hapo unapinga alafu kesho uskie jiwe kaangiza utakuja hapa kusifu, bwege ni bwege tu mjomba
 
3E6BB52D-2B38-4B82-95E0-94762FBE63CB.jpeg
 
Kwn polio na za uzazi zinafanana kw lipi, mbna mkeo anaenda kudunga..
Acheni kubebewa akili nyie, hakuta kitu kibaya km kupuuza bila ya wewe kuwa na mbinu mbadala..

Hapo unapinga alafu kesho uskie jiwe kaangiza utakuja hapa kusifu, bwege ni bwege tu mjomba
sikiliza wewe kadem kilaza,unajua side effects za uzazi wa mpango wewe,njia safe ni ya carenda peke yake.

kama kuna mwanamke hapa anajua nilichoandika,kawaulize wenzako wanaopata uvimbe wa kizazi watakwambia.

nimekuuliza polio na corona zinafanana kwa kipi hujajibu,umeparamia kingine.
 
Corona continues to prove how foolish Ubongolalas areView attachment 1717401
Kwa hiyo WHO wakiosema kitu basi kiko sahihi na yeyote anayefanya tofauti na WHO ni foolish. Jana kuna mwenzako nilikuwa nikimwambia namna gani mko brainwashed na wazungu akaona kama namwonea. Sasa wewe umekuja kuthibitisha nilichokuwa nasema.

Kwa kuzingatia idadi ya nyungu au mifukizo niliyofanya kwenye maisha yangu basi inapaswa nifungue mradi wa maji kwenye mapafu yangu!

Amkeni nyie lazy minds, mbona sie tunaojifukiza hatuna nongwa ila nyie ndiyo kila uchao kuangalia wazungu wanasema nini dhidi yetu. By the way hicho kirusi konky cha ajabu ajabu kilichoibuka kuanzia Januari kishachuja na we are now starting to forget about it.
 
Imeanza lini sayansi ya kusema mvuke haufai, mvuke unatumika km home remedies tng enzi na enzi but leo wazungu wamegeuza kibao unataka kuwaamini, waafrika nani aliyewaroga mkawa na matope kichwani namna hii.

Eti jitu linapost kabisa kwamba mvuke haufai, hii minyani tunayo mingi sana Africa
These people are brainwashed my friend. Ukiangalia namna Obama na Marekani yake walivyowatwika mzigo wa Al Shabaab na namna wanavyopambana nao kwa "kuzingatia haki za binadamu", ukiangalia namna wanavyoingia chaka kwenye mega projects, na ukaangalia namna wanavyocheza ngoma ya akina Bill Gates na WHO kwenye corona unabaki kuwasikitikia tu.

They are almost done thinking on their own. Kila kitu ni "wazungu wanasema".
 
Back
Top Bottom