[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]napenda hizi pedestrian reasoning zako[emoji23][emoji23], sasa weka concrete facts chini tuone GDP ya uongo kati ya Kenya na Tz ni ipi?[emoji23][emoji23] hapa naweza kuwaumbua kutokana na propaganda zenyu mtanichukia tu bure nikiweka forensic audit ya sector by sector Tz vs Kenya, Kiswahili mingi ni laana tupu nimegundua[emoji23][emoji23][emoji23], pia DRC is the richest country on earth but practically poorest like Tanzania,[emoji23][emoji23]., na Africa is the richest continent yet with poorest people, Tanzania among the leading kwa kujaza hiyo number ya masikini wa kutupwa[emoji23][emoji23], mzee dogo elewa economics wacha kuropokwa kama mtu wa vijiweni[emoji23][emoji23][emoji23].,