Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa mna njaa hivi na mnavimba au mnatishia kujamba wakati mnaharisha!!!!

sijui uganda kama watapata maamuzi,ila sisi wacha tuongeze sauti,mpaka nyuma kule mtacheza mziki.na mnatujua.
Always clueless and pointless bongolalas, can't just reason, amka kumekucha, jipange kibinafsi, CCM is a scam
 
Screenshot_2021-03-05 Portfolio Robinhood.png

Kama nilivyosema majuzi hii coin (dogecoin) itakuja kulipuka muda si mrefu. Ona hii ni kama nusu saa iliyopita.
 
kuna mwenzako kakimbia humu baada ya kupost pesa za wenyewe akidai ni za kwake.

nyinyi tumewazoea na kelele mob,ground ni masikini wa kutupwa.
Am not anyone, nasimama kama mwanaume na kuwaambia ukweli hata kama hampendi, mmezoea propaganda, did you read the hunger index report? Yaani mko ovyo why don't you people just sit down one day and try to reason? Mko busy kutetea upuzi humu kila uchao mnatia huruma sana
..just a glimpse of the report, google for full report, well researched..,
Screenshot_20210306-085936.jpg
 
View attachment 1718388
hunger index kama inakufurahisha,mimi nani wa kukuondolea furaha hiyo???

endelea kufurahi ila sisi jukumu letu ni kukupiga spana,usipoelewa leo kwa kutusoma,utakuja kuelewa wakati mwingine hata kwa kujionea.

kama gunia la mahindi kenya mnauziwa 3500ksh,halafu unahoji urahisi wa maisha kati ya mtz na mkenya!!!hapa tz mahindi mpaka elfu 2000ksh.unajisifu kwamba wewe uko vyema
 
Biashara ya mahindi naelewa, wanabiashara wa Tz na Uganda they don't dry maize sufficiently, hata ukinunua from their farmers directly then ukienda kuuza direct kwa millars ama serials board Kenya bila kukausha tena, yakipimwa levels za aflatoxins huwa juu, zaidi ya viwango, people give bribes ili mahindi yachukuliwe, wakenya ndio wanatangeneza pesa zaidi kutoka kwa mahindi ya Tz na Ug, wakulima wao ni fukara wa hand to mouth hawana ability ya kufunya biashara Kenya, hapa sana sana ni middlemen na cartels wa kenya na Tz ndio wamefungiwa, pia ni tactic ya kukomboa mkulima wa Kenya kutokana na wanabiashara wajanja wa Kenya who buys cheap maize from Ug n Tz and sell slightly cheaper than market price, wana angusha bei, not Tanzania, na bado itaingia kimagendo Kama kawaida, especially from Uganda, gunia moja unapata na Ksh 700 to 1k from poor farmers. Kenya market price ni Ksh 2500 to Ksh3500, inategemea na season. Good deal. Ubepari, mwenye nguvu mpishe. Hapa watanzania are reading politics, but ni economics tu, effects za capitalism kwa mnyonge, inabidi serikali imzingire mkulima from aggressiveness ya wanaojituma. Watanzania na Waganda wangekua wajanja wangekua mbali, but unfortunately hawana frame. Mahindi itaingia tu bado, if you've ever been around the borders uone vile biashara inafanywa utaelewa. Naona mitanzania humu wenye blind patriotism wakimwaga povu bila kufikiria ama kuelewa economics behind hii biashara ya mahindi.
Kitu ambacho kinafanya mchukiwe ni huu usenge wenu wa kudharau wengine kwa maneno ya dharau na kejeli wkt nyie ni maskini wa kutupa, kwanini unatumia maneno ya dharau kama "poor farmers from Uganda" ungetumia maneno kama "Cheap maize from Uganda" kwn tusingeelewa? Nyie watu ni wasenge sn na msio na adabu na wenye laana za mababu mlizoachiwa na Kenyatta Sr.

Btw, hizo kelele zenu tunajua hazitofika mbali cz hamna uwezo wa kuhimili vishindo, huwa mnapenda kujitegemea ila ndo hvyo uwezo hamna lazima mtapiga magoti as usual, tunawajua nchi yenu na viongozi wenu mna umalaya malaya fulani ktk DNA zenu kwa kutoa maagizo msiyoweza kuyatimiza, hii ingekuwa Tz ni kweli usingeona importation ya hayo mazao km tulivyowafanyia kwenye bidhaa zenu za maziwa, but nyie hamuwezi cz hamna uwezo huo kiuchumi na kijamii.
 
Am not anyone, nasimama kama mwanaume na kuwaambia ukweli hata kama hampendi, mmezoea propaganda, did you read the hunger index report? Yaani mko ovyo why don't you people just sit down one day and try to reason? Mko busy kutetea upuzi humu kila uchao mnatia huruma sana
..just a glimpse of the report, google for full report, well researched..,
View attachment 1718388
Source by who? Mmebaki kujifurahisha na vi report mnavyotengeneza wenyewe ili kujipa furaha, ukiiangalia tu kwa jicho jepesi utagundua imetengenezwa na mkenya. Kama report inahusu food insecurity ss inakuwaje ianze comparison between Tz and Kenya, alafu eti "despite Kenya being poor but it performed better than Tz"

Yani Wakenya mmepagawa na Tz usiku na mchana mnaiwaza Tz kwa kuichafua mitandaoni mpk mnajisahau kupambania nchi yenu iliyooza.

We uliona wapi nchi isiyohitaji msaada wa chakula ikashindwa na nchi inayoomba chakula kulisha wananchi wake? Does it sound into your big and empty skull ?
 
Kitu ambacho kinafanywa mchukiwe ni huu usenge wenu wa kudharau wengine kwa maneno ya dharau na kejeli wkt nyie ni maskini wa kutupa, kwanini unatumia maneno ya dharau kama "poor farmers from Uganda" ungetumia maneno kama "Cheap maize from Uganda" kwn tusingeelewa? Nyie watu ni wasenge sn na msio na adabu na wenye laana za mababu mlizoachiwa na Kenyatta Sr.

Btw, hizo kelele zenu tunajua hazitofika mbali cz hamna uwezo wa kuhimili vishindo, huwa mnapenda kujitegemea ila ndo hvyo uwezo hamna lazima mtapiga magoti as usual, tunawajua nchi yenu na viongozi wenu mna umalaya malaya fulani ktk DNA zenu kwa kutoa maagizo msiyoweza kuyatimiza, hii ingekuwa Tz ni kweli usingeona importation ya hayo mazao km tulivyowafanyia kwenye bidhaa zenu za maziwa, but nyie hamuwezi cz hamna uwezo huo kiuchumi na kijamii.
Mkunya sio mstaarabu asikwambie mtu nimeshasema mara nyingi amejaaliwa roho ya husuda,ukitaka dharau,majivuno ya kijinga na etc kaa naye utamuelewa tu, huaga wanaona wako special kushinda wote🙂
 
Biashara ya mahindi naelewa, wanabiashara wa Tz na Uganda they don't dry maize sufficiently, hata ukinunua from their farmers directly then ukienda kuuza direct kwa millars ama serials board Kenya bila kukausha tena, yakipimwa levels za aflatoxins huwa juu, zaidi ya viwango, people give bribes ili mahindi yachukuliwe, wakenya ndio wanatangeneza pesa zaidi kutoka kwa mahindi ya Tz na Ug, wakulima wao ni fukara wa hand to mouth hawana ability ya kufunya biashara Kenya, hapa sana sana ni middlemen na cartels wa kenya na Tz ndio wamefungiwa, pia ni tactic ya kukomboa mkulima wa Kenya kutokana na wanabiashara wajanja wa Kenya who buys cheap maize from Ug n Tz and sell slightly cheaper than market price, wana angusha bei, not Tanzania, na bado itaingia kimagendo Kama kawaida, especially from Uganda, gunia moja unapata na Ksh 700 to 1k from poor farmers. Kenya market price ni Ksh 2500 to Ksh3500, inategemea na season. Good deal. Ubepari, mwenye nguvu mpishe. Hapa watanzania are reading politics, but ni economics tu, effects za capitalism kwa mnyonge, inabidi serikali imzingire mkulima from aggressiveness ya wanaojituma. Watanzania na Waganda wangekua wajanja wangekua mbali, but unfortunately hawana frame. Mahindi itaingia tu bado, if you've ever been around the borders uone vile biashara inafanywa utaelewa. Naona mitanzania humu wenye blind patriotism wakimwaga povu bila kufikiria ama kuelewa economics behind hii biashara ya mahindi.
ASA Ku practise utapeli wa kibiashara ni Jambo la kujivunia kweli jirani?🙂
Alafu uko proud kuandika huo upuuzi eti mnanua mahindi bei ya Chini mnauza almost triple price huoni ni laana kubwa mnazidi kujiwekea🙂?mnakandamiza mkulima alafu mdakandamiza na mwanachi ambaye ana nunua final product ambayo ni maize flour kwenye maduka na supermarket zenu?mtazidi kujisifia kwenye mitandao na platforms nyingi Ila kiukweli nyie sio wastaarabu na hamna hofu na mwenyez mungu mtakuja kuishia pabaya 🙂time will tell.
 
Kama phase 2 inaisha Feb 2022 basi huu mwaka kabla haujaisha lazima itangazwe tenda nyingine kuwe kuna mkopo au la.
Tukibanwa sana hata tenda ya tabora - isaka ambayo ni fupi itatangazwa
Mwezi wa 5-6 itatangazwa tenda ya Makutopora-Isaka. Na kwa ile kongole aliyotoa rais wa benki ya Afrika Dr. Adesina bhas karibuni Isaka-Kigali itatangazwa pia maana ilikuwa kwenye mpango wa kuchukua mkopo wa pamoja kati ya Rwanda na Tz. So hadi mwaka huu kuisha kila kitu kitakuwa tayari.
 
Back
Top Bottom