Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi sana
Screenshot_20210303-191423_Instagram.jpg
 
Magu aliwaambia kwamba "corona haipo Tanzania." Sasa mngeendelea kuvaa mask ya nini? Msemo wake kwamba corona haipo meant the end of face mask wearing, just like it did other measures.

Ni juzi tu aliwaambia muanze kuvaa mask baada ya kirusi kuwashika sehemu nyeti na kufululiza hadi ikulu kule Zanzibar.

Hayo mambo ya chanjo sijayaongelea mie
Kwa hiyo muache ujinga wenu wa kumsingizia kwamba alikataza Barakoa. Kweli Corona ilikwisha Tanzania baada ya " first wave of infections, sasa hivi hili ni "second wave" soon we are going to defeat it like we defeated the first wave, Tanzania sio failed state

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Umenifanya niingie online
Kenya ipi unaizungumzia?

Unadhani wote humu hawaijui Kenya?, hadi wakenya watakushangaa... Kenya wanashifirika moja la umeme kama Tanesco.

Wakenya gani wanajenga nyumba zao. .

Wakenya asilimia 70 na zaidi hawezi kumudu kujenga nyumba zao... Wanakaa kwenye yale magorofa ambayo kodi yake ni 5K.

Kwa taarifa yako gharama ya umeme Tanzania ni nafuu kuliko Kenya.

Pia Umeme Kenya unakatika kuliko Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ona huyu ghasia
 
wakenya muache wizi dah hizi nyumba zipo kigamboni gezaulole huyu mtu komora096 anasema nyumba za kuishi watu wakawaida kenya View attachment 1715914
Enheee!!ilikua wasemaje mzee baba, zote nilizopost umeona hzo tu sio
Kweli mumeshachanganyikiwa, enhee nambie na zile zingine ni za wapi kw sababu hata hzo zilikua zimepachikwa kw majina ya affordable housing kw google search engine kimakosa
 
Screenshot_2021-03-03 BTC - $50,922 95 Robinhood.png


Wanazengo 2010 bitcoin ilikuwa $0.08 leo inacheza kwenye $50K :). Kama ulichelewa kuingia kununua bitcoin usijali, Dogecoin ni crypto inayocheza kwenye $0.05 (Tsh 115). Elon Musk alishaiongelea hivi karibuni, italipuka muda si mrefu.

Mwenye masikio na asikie.
 
Back
Top Bottom