Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz_one Intelligent Electronics Geza Ulole
Kenya inaconsume more than 1900 MW of power na TZ inaproduce 1600 MW and yet bado mnaringa? Hamuoni aibu nchi kubwa kama yenu kuproduce power kidogo kushinda power ambayo Kenya inaconsume? Hata siongei kuhusu power ambayo Kenya inaproduce, naongea kuhusu power ambayo Kenya inaconsume. Tunaconsume more power than what you guyz produce. Hehehe.
Mimi ni Mtanzania ila ukweli ni kwamba Kenya mko mbele zaidi katika vitu vingi kwa mfano ishu ya umeme , ninyi mpo mbele zaidi kwanza mnauza umeme kisasa zaidi mtu unajenga nyumba makampuni ya umeme yanakuwekea umeme yenyewe tena kwa kushindana hiyo kwetu hapa haipo kabisa yaani kuunga umeme ni taabu ile mbaya.Pia wakati watz wanawaza umeme wa maji ninyi mnawaza umeme wa nyuklia ambao ni bora na wa kuaminika zaidi kuliko huu wa maji.

Tatizo watz wengi wana wivu tu na hiyo Kenya hawana jambo zaidi sasa wivu wao badala wawaze kufanya kitaalamu wao mambo yao wanafanya kizamani zaidi.Kenya mpo smart na kamwe mtu smart hatatawaliwa na mtu anayetumia nguvu zaidi kuliko akili.

Keep up Kenya sisi huku tunaburuzwaburuzwa tu
 
Hivi unajua kuna migodi inatengeneza umeme wao yenyewe nje ya Tanesco (offgrid) kwa matumizi yake? Dangote ana-produce 50-75MW alone! Hiyo 1500 MW ni ya Tanesco tu! Pia kuna viwanda vinanunua gas vikiwa na gas to electrical power plants in their premises!
Kwani huko Kenya hakuna makampuni yanayozalisha umeme wake ?
 
Mimi ni Mtanzania ila ukweli ni kwamba Kenya mko mbele zaidi katika vitu vingi kwa mfano ishu ya umeme , ninyi mpo mbele zaidi kwanza mnauza umeme kisasa zaidi mtu unajenga nyumba makampuni ya umeme yanakuwekea umeme yenyewe tena kwa kushindana hiyo kwetu hapa haipo kabisa yaani kuunga umeme ni taabu ile mbaya.Pia wakati watz wanawaza umeme wa maji ninyi mnawaza umeme wa nyuklia ambao ni bora na wa kuaminika zaidi kuliko huu wa maji.

Tatizo watz wengi wana wivu tu na hiyo Kenya hawana jambo zaidi sasa wivu wao badala wawaze kufanya kitaalamu wao mambo yao wanafanya kizamani zaidi.Kenya mpo smart na kamwe mtu smart hatatawaliwa na mtu anayetumia nguvu zaidi kuliko akili.

Keep up Kenya sisi huku tunaburuzwaburuzwa tu
Upupu kwenye ubora wake 🤣🤣🤣🤣🤣 eti umeme wa nyuklia mamaee unafkiri kula githeri hio
 
Guys you know kuna mda unakuta mtu kapost ujumbe na pic yake alafu unakuta the pic ina chelewa ku load, ndo yalio nikuta sasa.. yani kwanza nilikua sitaki kuamini kwamba eldoret kuna Starbucks (coffe) yani i was surprised and eagerly wanted the pictures to load ilinijione kwa macho yangu mwenyewe but instead si nika kutana na mabweni ya Tusime bwana... fu**k 😂😂😂 i was so fkn disappointed and relived at the same time🤣... we shouldn't take kenyans serious at all.. khaa🤣
 
mkaona muje kuiba hadi picha toka tanzania geza ulole mnasema ni kenya nyumba za watu wakawaida
Screenshot_20210302-231543_Instagram.jpg
 
Guys you know kuna mda unakuta mtu kapost ujumbe na pic yake alafu unakuta the pic ina chelewa ku load, ndo yalio nikuta sasa.. yani kwanza nilikua sitaki kuamini kwamba eldoret kuna Starbucks (coffe) yani i was surprised and eagerly wanted the pictures to load ilinijione kwa macho yangu mwenyewe but instead si nika kutana na mabweni ya Tusime bwana... fu**k i was so fkn disappointed and relived at the same time... we shouldn't take kenyans serious at all.. khaa

hata mimi.

IMG_5875.png
 
Mimi ni Mtanzania ila ukweli ni kwamba Kenya mko mbele zaidi katika vitu vingi kwa mfano ishu ya umeme , ninyi mpo mbele zaidi kwanza mnauza umeme kisasa zaidi mtu unajenga nyumba makampuni ya umeme yanakuwekea umeme yenyewe tena kwa kushindana hiyo kwetu hapa haipo kabisa yaani kuunga umeme ni taabu ile mbaya.Pia wakati watz wanawaza umeme wa maji ninyi mnawaza umeme wa nyuklia ambao ni bora na wa kuaminika zaidi kuliko huu wa maji.

Tatizo watz wengi wana wivu tu na hiyo Kenya hawana jambo zaidi sasa wivu wao badala wawaze kufanya kitaalamu wao mambo yao wanafanya kizamani zaidi.Kenya mpo smart na kamwe mtu smart hatatawaliwa na mtu anayetumia nguvu zaidi kuliko akili.

Keep up Kenya sisi huku tunaburuzwaburuzwa tu
www.ufipa.co.tz
 
Mimi ni Mkristo tena imara ila Bibilia inaniambia kwamba Mungu husaidia mtu anayejisadia. Don't expect God to work miracles in your life if you are not making any effort to better your life. Mungu anataka aone Kwanza unavyojituma na kujikakamua. Hapo ndipo ataanza kutimiza mahitaji yako. Maombi so mbaya but you can't just sit there, not observe any rules with regards to the virus and expect God to exempt you wakati unajiexpose kwa kirusi kila siku by not following the laid down guidelines. It doesn't work that way my brother. It takes personal efforts for God to work miracles in your life. That's where you all went wrong na matokeo yake dunia iliona
Hebu tupe hilo andiko linalosema Mungu husaidia mtu anayejisaidia.? 🤣

Ukiupata msitari wa hivi kwenye biblia natoka jf, Biblia inajitegemea usiiwekee maneno ya mtaani.
 
Mimi ni Mtanzania ila ukweli ni kwamba Kenya mko mbele zaidi katika vitu vingi kwa mfano ishu ya umeme , ninyi mpo mbele zaidi kwanza mnauza umeme kisasa zaidi mtu unajenga nyumba makampuni ya umeme yanakuwekea umeme yenyewe tena kwa kushindana hiyo kwetu hapa haipo kabisa yaani kuunga umeme ni taabu ile mbaya.Pia wakati watz wanawaza umeme wa maji ninyi mnawaza umeme wa nyuklia ambao ni bora na wa kuaminika zaidi kuliko huu wa maji.

Tatizo watz wengi wana wivu tu na hiyo Kenya hawana jambo zaidi sasa wivu wao badala wawaze kufanya kitaalamu wao mambo yao wanafanya kizamani zaidi.Kenya mpo smart na kamwe mtu smart hatatawaliwa na mtu anayetumia nguvu zaidi kuliko akili.

Keep up Kenya sisi huku tunaburuzwaburuzwa tu
Amepotea njia anadhani hili ni jukwaa la siasa

Mwelekeo wa siasa ya Tanzania ni hatari kwa siku za usoni kama haitabadilika
 
Hebu tupe hilo andiko linalosema Mungu husaidia mtu anayejisaidia.? 🤣

Ukiupata msitari wa hivi kwenye biblia natoka jf, Biblia inajitegemea usiiwekee maneno ya mtaani.
Bibilia ni kitabu cha mafumbo. Yesu mwenyewe alikuwa akifundisha kutumia mafumbo. If you take it literally, you will have a difficult time understanding the Bible and any of its hidden messages.

Pekua vitabu zinazozungumzia laziness and you'll get my point
 
Guys you know kuna mda unakuta mtu kapost ujumbe na pic yake alafu unakuta the pic ina chelewa ku load, ndo yalio nikuta sasa.. yani kwanza nilikua sitaki kuamini kwamba eldoret kuna Starbucks (coffe) yani i was surprised and eagerly wanted the pictures to load ilinijione kwa macho yangu mwenyewe but instead si nika kutana na mabweni ya Tusime bwana... fu**k 😂😂😂 i was so fkn disappointed and relived at the same time🤣... we shouldn't take kenyans serious at all.. khaa🤣
It's never that serious man. Starbucks haipo Kenya. The owner of that joint just decided to be creative in choosing a name and I don't think there's anything wrong with that as long as he won't run into legal problems with Starbucks for that name. Personally, I have seen a "Serena hotel" somewhere which is a far cry from the Serena you and everybody else knows
 
As I type this, Kenya is still observing covid-19 rules, something that Tanzania is not doing hata kama viongozi wanakufaa hadi ikuluni kutokana na corona. The measures are still in place in Kenya sema tu watu wamelegea kidogo kuzifata. Nyinyi on the other hand, mnafuata maombi ambayo hayajibiwi na haitawahi jibiwa licha ya maafa kila kuchao.
God to exempt you wakati unajiexpose kwa kirusi kila siku by not following the laid down guidelines.

Screenshot_2021-03-02 cdc two masks - Google Search.png

Hao mnaowaaabudu kila siku wanabadilisha magoli ya jinsi ya kujikinga. Sasa wanasema barakoa hazifai, mnazidi kuumbuka.
 
Mimi ni Mtanzania ila ukweli ni kwamba Kenya mko mbele zaidi katika vitu vingi kwa mfano ishu ya umeme , ninyi mpo mbele zaidi kwanza mnauza umeme kisasa zaidi mtu unajenga nyumba makampuni ya umeme yanakuwekea umeme yenyewe tena kwa kushindana hiyo kwetu hapa haipo kabisa yaani kuunga umeme ni taabu ile mbaya.Pia wakati watz wanawaza umeme wa maji ninyi mnawaza umeme wa nyuklia ambao ni bora na wa kuaminika zaidi kuliko huu wa maji.

Tatizo watz wengi wana wivu tu na hiyo Kenya hawana jambo zaidi sasa wivu wao badala wawaze kufanya kitaalamu wao mambo yao wanafanya kizamani zaidi.Kenya mpo smart na kamwe mtu smart hatatawaliwa na mtu anayetumia nguvu zaidi kuliko akili.

Keep up Kenya sisi huku tunaburuzwaburuzwa tu
Umenifanya niingie online
Kenya ipi unaizungumzia?

Unadhani wote humu hawaijui Kenya?, hadi wakenya watakushangaa... Kenya wanashifirika moja la umeme kama Tanesco.

Wakenya gani wanajenga nyumba zao. .

Wakenya asilimia 70 na zaidi hawezi kumudu kujenga nyumba zao... Wanakaa kwenye yale magorofa ambayo kodi yake ni 5K.

Kwa taarifa yako gharama ya umeme Tanzania ni nafuu kuliko Kenya.

Pia Umeme Kenya unakatika kuliko Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom