Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kitu kama hicho ulichoandika,uhaba wa imani yako usisahabishe utengeneze theories zako ambazo hazipo.

mtaji unaohitakika kwenye maombi ni imani tu,wala sio juhudi zako.
Having faith and taking actions are two different things. You can have faith that moves mountains but that's not enough for God to work miracles in your life. We all know that God will provide according to His will and timing. However, this is not a reason for inactivity on your part.

Let me give you a classical example: if you are in need of a job and pray about it and have faith that God will indeed bless you with a job, do you think God will cause employers to come looking for you at the comfort of your home? Your guess is as good as mine. You will have to go out there are knock on doors, drop your papers to prospective employers, and do everything you can and God will surely help you. Now, haven't you helped yourself first by writing that application letter and knocking on different offices before God helped you?

In your case, you knew the right thing to do so that even as you pray, God will answer your prayers but you didn't do it. You didn't help yourselves first. You didn't take that important initiative
 
Nickel smelter to employ 3,000 from Ngara and Kahama districts​

ippmedia.com/en/news/nickel-smelter-employ-3000-ngara-and-kahama-districts

March 3, 2021
Home

03Mar 2021
Correspondent
Kahama
News
The Guardian
Nickel smelter to employ 3,000 from Ngara and Kahama districts
MORE than 3,000 residents of Ngara and Kahama districts are expected to be employed by the nickel smelting plant to be built at Buzwagi Gold Mine in Kahama District, Shinyanga Region.

MGODI%20WA%20BUZWAGI.jpg

The nickel smelter is expected to be built by Tembo Nickel mining firm in Ngara District, Kagera Region.

This was revealed on Monday by a team of government experts and the investor, Tembo Nickel who visited Kahama District to survey the area for the construction of the smelter that would be mined in Ngara District, Kagera Region.

Kabanga nickel executive officer Chris Showalter said upon completion the smelter will employ over 3,000 people, 2,000 of them from Ngara District.

Tanzania Commissioner for Mining Prof Abdklukarim Mruma who led the team of mining experts from the Minstry of Minerals said the government has provided an investment area at Buzwagi Gold Mine to facilitate transport of the nickel at the smelter.

Shinyanga Regional Commissioner Zainab Telack said the government has allocated four areas for the construction nickel smelting plants and what remains is for the investor to choose one of them.

General manager of Bulyanhulu and Buzwadi Gold Mines Benedict Busunzu praised Tembo Nickel for mining the mineral from Kabanga area in Ngara District in Kagera Region and for the decision to construct the smelting plant.

Powered by PrintFriendly.com
 
Mimi ni Mkristo tena imara ila Bibilia inaniambia kwamba Mungu husaidia mtu anayejisadia. Don't expect God to work miracles in your life if you are not making any effort to better your life. Mungu anataka aone Kwanza unavyojituma na kujikakamua. Hapo ndipo ataanza kutimiza mahitaji yako. Maombi so mbaya but you can't just sit there, not observe any rules with regards to the virus and expect God to exempt you wakati unajiexpose kwa kirusi kila siku by not following the laid down guidelines. It doesn't work that way my brother. It takes personal efforts for God to work miracles in your life. That's where you all went wrong na matokeo yake dunia iliona
Hebu leta kifungu kinachosema Mungu husaidia mtu anayejisaidia.
 
Mississippi mayor resigns, moves to Africa, starts businesses​

ASSOCIATED PRESS | MISSISSIPPI CLARION LEDGER

Tanzania's 50th anniversary: interview with a historian's 50th anniversary: interview with a historian

0:00
0:00

Show Caption
MAGNOLIA, Miss. — The former mayor of a small Mississippi town says he has moved to Africa to run a tourism business, and he is encouraging other Black people to also consider moving to the continent.

Anthony Witherspoon resigned Dec. 31 in Magnolia, population 2,260. He had been mayor since winning a 2014 special election, and he had six months remaining in this four-year term.

Anthony Witherspoon is shown in this 2008 photo.

Anthony Witherspoon is shown in this 2008 photo.

BRIAN ALBERT BROOM, CLARION-LEDGER
The Enterprise-Journal reported that Witherspoon posted a Facebook video Jan. 24, saying he is living in Dar es Salaam, Tanzania.

“I am here in the Motherland, creating business partnerships and networks with my brothers and sisters,” Witherspoon said.

Some of those enterprises include early childhood centers, preschools, private business colleges and “businesses like this, Back to Africa Tours,” he said. He also is running a YouTube channel with testimonies of people who have moved to Africa.

“The minute you step off the plane into Julius Nyerere International Airport and see the state-of-the-art, world class airport here in Dar es Salaam, Tanzania, it will be the beginning of the end of all of the lies that have been fed to you by the Western media about our Mother Africa,” Witherspoon said.

His wife, Democratic state Sen. Tammy Witherspoon of Magnolia, is still living in Mississippi and serving at the Capitol. The former mayor said she and the couple’s two sons recently visited him in Tanzania.

Sen. Tammy Felder Witherspoon, D-Magnolia, during floor debate in Senate chambers at the Capitol in Jackson, Miss., in 2018.

Sen. Tammy Felder Witherspoon, D-Magnolia, during floor debate in Senate chambers at the Capitol in Jackson, Miss., in 2018.
ROGELIO V. SOLIS, AP

Anthony Witherspoon said his vision of helping Americans “repatriate” to Africa is inspired in part by the late Marcus Mosiah Garvey, a Jamaican political activist who proposed that people of African descent return to the continent.

“I come in that spirit and at least want to help you explore Africa for yourself,” he said.

Please dont frustrate them!
 
Me nimekuletea hiki kimoja tu.View attachment 1716186
Hatuna maana tunasaidiana na Mungu kupigana na Corona, sie Corona tumemuachia Mungu aipigr haraka sisi tunaendelea na maisha tu ambayo Mungu ametupa tuishi. Asa kama huna dawa ya Corona unakomaa kutafuta dawa yake huoni kwamba unaweza kujikuta mpaka upate dawa washakufa karibu robotatu ya watu wako, wakati kitu simple hapo ni kumkabidhi Mungu aiondoe chap?

Mtegemee Mungu kwa kila jambo wala usizitegemee akili zako mwenyewe.
 
Look at how self-contradictory you are. Umesahau kwamba ni wiki iliyopita tu Magu kawaambia muanze kuvaa masks na kumantain social distancing baada ya kirusi kupenyeza hadi ikulu? You look stupid by arguing this way.

These guidelines are followed by all the countries in the world except Tanzania that chose prayer and exotic medicines. How you single out just Kenya is laughable to say the least. Ulitaka nasi pia tuache kuchukua tahadhari tuweke maombi mbele?
Tuambie ni lini Magu kasema tuvae barakoa, na mbona yeye na wateuliwa wake hawavai?
 
This is the problem with debating with a conditioned mind na yenye imejaa hasira. My point is, these measures are still in place even though people flaut them. Uvaaji wa mask bado hutiliwa mkazo and people get arrested everyday for not wearing them.

Tofauti yetu na nyinyi Ni kwamba serikali yetu imetuambia the right thing to do, haikutudanganya like your government did to you. As you know it, these measures are meant to prevent infections only up to a certain degree. Suala la watu kukusanyika kwenye mikutano ya kisiasa is an unfortunate one but still utaona watu na barakoa zao midomoni
Wewe c umesema Magu katuambia tuvae barakoa na tuzingatie social distancing? Ss mbn tena unasema serikali inatuongopea au hizo co measures required?
 
Mimi ni Mtanzania ila ukweli ni kwamba Kenya mko mbele zaidi katika vitu vingi kwa mfano ishu ya umeme , ninyi mpo mbele zaidi kwanza mnauza umeme kisasa zaidi mtu unajenga nyumba makampuni ya umeme yanakuwekea umeme yenyewe tena kwa kushindana hiyo kwetu hapa haipo kabisa yaani kuunga umeme ni taabu ile mbaya.Pia wakati watz wanawaza umeme wa maji ninyi mnawaza umeme wa nyuklia ambao ni bora na wa kuaminika zaidi kuliko huu wa maji.

Tatizo watz wengi wana wivu tu na hiyo Kenya hawana jambo zaidi sasa wivu wao badala wawaze kufanya kitaalamu wao mambo yao wanafanya kizamani zaidi.Kenya mpo smart na kamwe mtu smart hatatawaliwa na mtu anayetumia nguvu zaidi kuliko akili.

Keep up Kenya sisi huku tunaburuzwaburuzwa tu
Mimi wanachonifurahisha Wakenya ni ku admit penye upungufu ila mataga sasa ni shida.But kitu kizuri kwao ni ishu ya mipango miji yaani inaonyesha wamestaarabika na wameendelea,Tzn sasa is like no one biznec au shamba la bibi.

Ukiangalia tuu miji yao huhitaji kujiuliza mara mbil mbili kwamba waliendelea kitambo,imagine eti 2021 ndio tunazindua interchange na kujisifu wakati hao jamaa ziko hadi kwenye miji mingi ya kati
 
Having faith and taking actions are two different things. You can have faith that moves mountains but that's not enough for God to work miracles in your life. We all know that God will provide according to His will and timing. However, this is not a reason for inactivity on your part.

Let me give you a classical example: if you are in need of a job and pray about it and have faith that God will indeed bless you with a job, do you think God will cause employers to come looking for you at the comfort of your home? Your guess is as good as mine. You will have to go out there are knock on doors, drop your papers to prospective employers, and do everything you can and God will surely help you. Now, haven't you helped yourself first by writing that application letter and knocking on different offices before God helped you?

In your case, you knew the right thing to do so that even as you pray, God will answer your prayers but you didn't do it. You didn't help yourselves first. You didn't take that important initiative
Wewe ni wa kupuuzwa tu wala sijasoma hii insha yako maana unajichanganya tu hapa.
 
Mimi wanachonifurahisha Wakenya ni ku admit penye upungufu ila mataga sasa ni shida.But kitu kizuri kwao ni ishu ya mipango miji yaani inaonyesha wamestaarabika na wameendelea,Tzn sasa is like no one biznec au shamba la bibi.

Ukiangalia tuu miji yao huhitaji kujiuliza mara mbil mbili kwamba waliendelea kitambo,imagine eti 2021 ndio tunazindua interchange na kujisifu wakati hao jamaa ziko hadi kwenye miji mingi ya kati
Hapo ss tumia ile ID yako nyingine kujijibu kwa mara nyingine, eti unasema kabisa bila aibu "Kenya wako vzr kwenye umeme" alafu hapa unajikoti bila aibu
 
Back
Top Bottom