Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamani Jameson iliishiwa ladha kitambo sana. Hii si iliachiwa watoto wa shule! Kumbe kule bongo bado ni big deal sana [emoji23] [emoji23]
Alafu hapo kando naona kitu inafanana na ile kinywaji chao wanachokienzi iitwayo Konyagi. Dah! Huyu jamaa bana!!
Kapiga picha mpka lebo kabisa ili tushtuke, kumbe anasahau km hvyo viroba watoto wa highschool ndio wanajibugia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787] watu mnapovuka JF,,," hebu rudini kwenye battle msijipotezee mda watu tupo kwenye raha zetu,,,,yaani mmepoint kitu ambacho hata usichokijua...

hujui kinywaji au vinywaji navyotumia,
wakati hapo nipo na kikosi cha watu wakutosha family & friends
Mzee wa jameson mbona povu[emoji2960]
 
Mbona basi ukapiga picha kinywaji hutumii? [emoji23] [emoji23]
Kwa jinsi unavyojitetea umeaibika kweli.
Jamaa kisha hujisifu hapa km wanajua kula sheree[emoji2960][emoji2960]
Kumbe ni sheshe za jameson, maskini
 
Unachokipenda kilipitwa na wakati kitambo sana. Nashangaa wewe inakupa goosebumps! [emoji23] [emoji23] Unafaa kwenda na wakati. Alafu cha ajabu unaipost humu ndani!!!
Tena hapo kaona kamaliza kila kitu eti anatupigia picha kabisa ndio tuone km nae pia yuko juu
 
Kapiga picha mpka lebo kabisa ili tushtuke, kumbe anasahau km hvyo viroba watoto wa highschool ndio wanajibugia
Yani huyo jomba nimemshangaa sana. Alihakikisha picha imeshika hiyo lebo vizuri sana kisha akajiambia "baas, acha niringie wakenya." 😂 😂
 
Jamaa kisha hujisifu hapa km wanajua kula sheree[emoji2960][emoji2960]
Kumbe ni sheshe za jameson, maskini
Sio maringo ila mimi Jameson siwezi floss nayo mitandaoni 😂
Angetuwekea hata picha ya Kilimanjaro
 
Shebby01 kwani umefanya nini hawa wakunya humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Shebby anachezea matako ya Nairobi Wakenya wamepanic wengine wamekimbilia mashinani huko hata hamu hawana 😂😂😂 dah.Wanaijua Nairobi yao ilivyo hovyo wameshindwa kukaza kbs amebaki Tony254 kinyonge sana.Shebby ili huu uzi unoge usiendelee kupost picha plz!!!Kuna shida nimekwisha iona.
 
Ntapost kidogo nikianza safari zimebaki chache 😃
 
Nimeweka picha karibia ishirini. Umekwama na picha moja. Wazimu wewe.
Hata hizo zingine si za kwetu kaka sema nakosa tu justification maana hakuna cha kurefer hiyo moja ndo nimeweza sio kwamba kwetu hakuna maskini ila si kwa kiwango mlichofikia nyinyi bro.
 
Back
Top Bottom