Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unamtangazia nani
Watu wanapiga vitu chini ya maji, we unaanika hapa ndio ili uonekane na wewe unajua ku party..
Au una visenti vinakusumbua ndio ukaamua na wewe leo angalau uteremshe na kutangaza kabis aili watu wajue
kama koo linakuwasha linahitaji vyupa classic na hauna mkwanja ni bora ufumbe macho na ulake tu kuliko kulia lia hapa....

unapopata mda wa kuenjoy unatumia ....usiwe na manung'uniko ,,,,,kuna mkenya mwenzako ila ni demu anakuchora hapa jinsi unavyotokwa na pumba mdomoni
 
Ndio namshangaa mimi
Siku akinywa vitu vya watu wazima si atapost mpka insta huyu
Jamani Jameson iliishiwa ladha kitambo sana. Hii si iliachiwa watoto wa shule! Kumbe kule bongo bado ni big deal sana 😂 😂
Alafu hapo kando naona kitu inafanana na ile kinywaji chao wanachokienzi iitwayo Konyagi. Dah! Huyu jamaa bana!!
 
kuna tungi mbali mbali tena za kutosha zinachukua almost 6 days ndiyo zaweza kuisha,,,kila mtu anakunywa kinywaji akipendacho
The point is, taste yako ndio iko chini. Ingekuwa ni mimi wala hata singepiga picha hadi nipost!
 
Ndio namshangaa mimi
Siku akinywa vitu vya watu wazima si atapost mpka insta huyu
watu mnapovuka JF,,," hebu rudini kwenye battle msijipotezee mda watu tupo kwenye raha zetu,,,,yaani mmepoint kitu ambacho hata usichokijua...

hujui kinywaji au vinywaji navyotumia,
wakati hapo nipo na kikosi cha watu wakutosha family & friends
 
Jamani Jameson iliishiwa ladha kitambo sana. Hii si iliachiwa watoto wa shule! Kumbe kule bongo bado ni big deal sana
Alafu hapo kando naona kitu inafanana na ile kinywaji chao wanachokienzi iitwayo Konyagi. Dah! Huyu jamaa bana!!
ushafel mzee pambana na hali yako......

utaishi lical life mpaka kifo
 
watu mnapovuka JF,,," hebu rudini kwenye battle msijipotezee mda watu tupo kwenye raha zetu,,,,yaani mmepoint kitu ambacho hata usichokijua...

hujui kinywaji au vinywaji navyotumia,
wakati hapo nipo na kikosi cha watu wakutosha family & friends
Mbona basi ukapiga picha kinywaji hutumii? 😂 😂
Kwa jinsi unavyojitetea umeaibika kweli.
 
ni wewe sasa unataka nifanane nawewe,,,,kila mtu anakula ama kunywa kile akipendacho
pole sana mazee
Unachokipenda kilipitwa na wakati kitambo sana. Nashangaa wewe inakupa goosebumps! 😂 😂 Unafaa kwenda na wakati. Alafu cha ajabu unaipost humu ndani!!!
 
Mbona basi ukapiga picha kinywaji hutumii?
Kwa jinsi unavyojitetea umeaibika kweli.
aliyekuambia kuwa picha nimepiga mimi ni nani....?...

hapo hakuna cha kujitetea,,mnachochekesha ni kwamba mnaongea vitu vitu mnavyovijua nyie ,,,,wakati muhusika hata havijui

mnavituko mnajipa maswali na majibu wenyewe pasipo na uhakika..ni matumuzi mabaya ya mda na fikra..
 
Unachokipenda kilipitwa na wakati kitambo sana. Nashangaa wewe inakupa goosebumps! Unafaa kwenda na wakati. Alafu cha ajabu unaipost humu ndani!!!
sasa kama test yake haipandi unanilazimisha.....? ,,unampangua mtu kipi anywe
ni sawa sawa na kumlazimisha mtu anywe tusker wakati bear aipendayo ni kilimanjaro...

usipoteze mda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom