Take it from me people. Viongozi wanaoweza simamia haya ndani ya kipindi kifupi kama hiki siyo wengi kihivyo. Tusijidanganye na stori za sijui democracy.
Kama mtu anaweza ongoza 10 years why not 15? Kwani wapi tuliipata hiyo SI Unit ya 10 years? Tuzudi kumwombea uzima huyu jamaa. I don't care hata Chato ikifanywa kuwa sijui mini-capitol.
Akitoka huyu bwana 2025 ikaja small mind kama kadhaa zilizopita, situation itakuwa mbaya kuliko ilivyokuwa wakati anaingia huyu genius.
Yaani wamechukia Sana 🙂🙂wengine wanatamani wangejua nilipo waje na sime na silaha Aina yote sema basi tu🤣🤣🤣🤣🤣 lengo la kupost ma photos nikuwaonyesha Nairobi sio level ya DSM 🙂Bora!!!!najua mipicha kama yote kaka kuna watu wamekimbia toka walivyojua uko kwa ardhi ya Kenya 😂😂😂😂😆 Battle linakosa ushindani kbs hahahaha noma sana full mitope pavements na udongo huwezi kutofautisha!!! Maeneo mengi ya Kenya kama palipigwa bomu,afu pakaachwa hivyo hivyo,wananchi wakarudi kwny makazi yao kuendelea na maisha 😆😆
Tatizo lako ni ukurupukaji na kuingia google na kuingiza key words zako.. ona sasa umeleta mpk picha ya kwenu nimeshangaa sana pia kuna waandishi waajabu ajabu sana,picha ya Kenya habari ya Tanzania, jaribu kucontrol hisia zako take it easy!!.Nilijua tu nyinyi mburula mtapinga hizo picha kwamba sio Dar.
Inaonekana dawa za Shebby01 zimemuingia vipoa [emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo lako ni ukurupukaji na kuingia google na kuingiza key words zako.. ona sasa umeleta mpk picha ya kwenu nimeshangaa sana pia kuna waandishi waajabu ajabu sana,picha ya Kenya habari ya Tanzania, jaribu kucontrol hisia zako ipo siku utajikuta umekunya sebuleni. Eazy man!!!
Nimeweka picha karibia ishirini. Umekwama na picha moja. Wazimu wewe.Tatizo lako ni ukurupukaji na kuingia google na kuingiza key words zako.. ona sasa umeleta mpk picha ya kwenu nimeshangaa sana pia kuna waandishi waajabu ajabu sana,picha ya Kenya habari ya Tanzania, jaribu kucontrol hisia zako ipo siku utajikuta umekunya sebuleni. Eazy man!!!
What's the passenger numbers for those airports?Kwanza sio five ni seven. Dar, kilimanjaro, zanzibar, mwanza, mbeya, dodoma and chato