Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu port is more active than all the Tanzanian ports on lake Victoria.

FB_IMG_16142839439703847.jpeg
 
Acha ushamba sasa icho kinywaji kwamba kiwanda kimefungwa akiendelei kuzalishwa kimeexpire au unamaanisha nini

Kila mmoja anatafuta ladha aipendayo kama wewe ladha imekushinda mnakunywa kinywaji ya kibera gongo endelea na gongo usitengeneze attention kwamba vinywaji vya gharama vyote unakunywa wewe maliza dunia nzima basi .
Haikuhusu jomba ila ukweli Ni kwamba hicho kinywaji alichopost kilishapitwa na wakati
 
Gaza bwana, unadhani wewe hujapata maambukizi sababu ulichukua Tahadhari? Ulaya na nchi zote za Ulimwengu wa kwanza wana kila facilities na namna ya kuchukua Tahadhari but they've been dying in hundreds if not thousands,
Wewe huna watoto wanaenda shule na kurudi home daily huku wakijichanganya na mamia kwa mamia, kwanini hujafa? Wewe Hukutani na watu? Unavaa mask na kusanitize 24/7 na umejiisolate kwenye chumba chako?
Unadhani if that was the case kwa maisha ya Bongo tunayoishi how many could've died to date?
Honestly, I can assure you 100% of our populations Tz na Kenya has probably contacted Covid-19, na kenya na Tz hakuna tofauti maana naona mikutano ya maelfu kwa maelfu ya Wheelbarrows na bbi madness , na hapa bongo gatherings daily and life goes as normal.
Sawa ila usi-undermine individual efforts!
 
Wow. Mimi nilidhani mradi unaanza kujengwa March. Kumbe ni kusign FID tu. Halafu mobilisation inaanza for 6 months. Duh! Asante kwa kuclarify maana ukiwaacha watu wengine humu pekee yao watatupotosha sana.
Kwahiyo mobilization is not part of construction?
 
Kumbe wewe ni fala kiasi hiki sasa Kampuni ku-write it's project cost off inatuhusu nn? Kwani GoT ni shareholder wa Equinor Tanzania?
Hajui accounting practices za multinational companies huwa wana right off assets kuepuka kulipa kodi nyingi huko kwao hii hufanyika sehemu nyingi tuu duniani.
 
Reuters

THU FEB 25, 2021 / 8:59 AM EST

UPDATE 2-Uganda sees work on oil pipeline with Total starting shortly​

Elias Biryabarema

(Updates with Tanzania comments)
By Elias Biryabarema


Feb 25 (Reuters) - Uganda said on Thursday the construction of a $3.5 billion oil pipeline with France's Total due to run through neighbouring Tanzania was expected to begin shortly.


"They said everything is set," he told reporters in Dar es Salaam. "The construction of the pipeline will begin in the second half of March. This is a great step and the construction will be completed in 2024."


The start of commercial crude production has been repeatedly delayed by a lack of infrastructure needed to export the oil from landlocked Uganda and by disagreements over field development strategy.


The planned crude export pipeline is to run a length of 1,445 km (900 miles), beginning in Hoima in western Uganda and ending at the Indian Ocean seaport town of Tanga in Tanzania.


About two thirds of the pipeline's cost will be financed by debt, and a Ugandan unit of South Africa's Standard Bank Group and Japan's Sumitomo Mitsui Banking Corp are jointly helping to raise the funding.


The government has said that once pipeline construction begins, it would take two-and-a-half to three years to complete.


Uganda is eager to accelerate the plan to begin pumping crude and earning petrodollars, which President Yoweri Museveni hopes will help revive an economy hit hard by the coronavirus pandemicd.


(Reporting by Elias Biryabarema. Additional reporting by Nuzulack Dausen in Dar es Salaam. Writing by Omar Mohammed. Editing by Gareth Jones and Mark Potter)

Our standards: The Thomson Reuters Trust Principles.


CC: Tony254
 
Back
Top Bottom