tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Nishakuambia iyo ngoma kabla na baada ya kuzaliwa ilikuwa trend acha kutudanganya kwamba wew fundi wa pombe zenye majinaSio maringo ila mimi Jameson siwezi floss nayo mitandaoni
Angetuwekea hata picha ya Kilimanjaro
Sasa izo zenu zinafanya nn Au huzijui zenu ni worseUnajifanya kwamba hujaona hizo zingine?
Sasa izo zenu zinafanya nn Au huzijui zenu ni worse
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Sasa izo zenu zinafanya nn Au huzijui zenu ni worse
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mtakana hizi makazi zenu hadi lini?Mkuu mbona mnatubambika mipicha ambayo si yetu mfano picha ya pili cheki hayo maflat pembeni si kwenu kweli hapo halafu habari imeandwika Tanzania.Dah kweli hasira mbaya mfukuzeni Shebby huko Nai ili amani yenu irudi....maana hamna raha kbs, kujiamini kumepotea.Shebby rudi nyumbani kaka.
haya leta za kibera tuone kama zina mitaa hivi!Mtakana hizi makazi zenu hadi lini? View attachment 1712547View attachment 1712549View attachment 1712552View attachment 1712554View attachment 1712555
Halafu huyu jamaa hajavaa mask amekaa katikati ya madaktari wawili halafu anakohoa sio mchezo. Yaani anaambukiza hao madaktari live na madaktari hawashtuki wala nini. Wanajifanya kwamba mambo yapo sawa ila rohoni wanahofia kwamba wameambukizwa. Hata Tundu Lissu amekashifu kitendo hiki cha CCM
ichoboy01 The best 007 Geza Ulole
Mbona kama ukuta wa mererani? 😂😂🤣🤣🤣🤣Barabara ya juu
Njoo kwa ground usitishwe na hayo mabati yenye kutu jombaa, usifikiri hapo ni sawa na Kibera mwenzako mmoja alikuja akaishia kuhangaika kule jangwani akaondoka huku roho yake kimuuma sana..hakupata kabisa mtaa wa mabanda Dar haina slums sema ina makazi yasiyokuwa kwny mpangilio mzuri!!Full stop!!!Mtakana hizi makazi zenu hadi lini? View attachment 1712547View attachment 1712549View attachment 1712552View attachment 1712554View attachment 1712555
Bora unyamaze ukiendelea na makelele yako ntamwita Shebby01 😂😂😂Mtakana hizi makazi zenu hadi lini? View attachment 1712547View attachment 1712549View attachment 1712552View attachment 1712554View attachment 1712555
Yani huyo jomba nimemshangaa sana. Alihakikisha picha imeshika hiyo lebo vizuri sana kisha akajiambia "baas, acha niringie wakenya."![]()
![]()


we mzee baba umejua kuuwa kabisa yani..wiki hii ni mbaya kwa hawa jamaa! Unafikiri habari ya EACOP wameifurahia?wee jamaa Shebby01 ulichofanya leo sio poa... majamaa wameenda kukesha google kutafuta picha za zaman za mtandaon badala za kuleta za leo in reality
Hii sasa ndo funika bovu,EACOP ilimfanya Mh. Rais aende kulia lia French tena waziwazi ila hakufanikiwa.Hata mimi ningekuwa Mkenya lingeniuma such a big project kama ile kupotea hewani hivi hivi tu dah.wiki hii ni mbaya kwa hawa jamaa! Unafikiri habari ya EACOP wameifurahia?
Yani ww akili yako ni km toilet paper, kuwa na upishano wa mitazamo sio sababu ya chuki za kijinga km mwehuTena Dar usiombe na lile joto Mji unanuka hatari ,maeneo kama ya uswahilini inatakiwa ujifanye nguruwe Ili uishi huko.
Bora miji ya baridi hata kama kuna uchafu ila smell haiwi kubwa kama uvundo wa miji ya joto
Unajua mkuu mimi nipo ground alafu kuna mkaka mmoja pia Yuko huku alienda field korogocho wa kutoka Tunisia sema aliibiwa simu yake humu ndani pangechimbika![]()






Jamaa wachafu sana.


