Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu mtaa ungelikua tz basi sai pangeliitwa ushuani[emoji1787][emoji1787]
 
Lakini leo tumepigana sana. Tupunguze kichapo pande zote mbili.😂😂🤣🤣
 
Dar haikomboleki karne hii, wachana na Nairobi na shida zake., bado mpo mashambani tu, licha ya kukua na mifereji ya maji, yaani maisha ni yale yale ya vijijini, kama vile watu wanaenda mitoni kuteka maji, yaani pale Dar nyie mnatunga folen mahali hizo taps zimewekwa, kwani hawawezi kuweka mfereji kwa kila nyumba ama ni umasikini umekithiri sana? ama ni ujamaa? sielewi, kaka nifahamishe kikamilifu..,
Mitungi mumejaza kwa nyumba.., licha ya maji maisha inabaki ya kishamba tu.., inaeza kua mko na maji 95% to 100% lakini sasa weka mpangilio mwafaka, Dar ni mashambani tu 😂 😂 😂 😂












 

Attachments

  • 1614164601540.png
    24.9 KB · Views: 22
  • 1614164892749.png
    668.3 KB · Views: 20
Lakini leo tumepigana sana. Tupunguze kichapo pande zote mbili.😂😂🤣🤣
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 wacha watu wajiburudishe bro.,😂😂😂 walianzisha wenyewe kutupa mawe, wamesahau kwao wamejenga kwa glass kwanza kubwa sana.,
 
Mbona unalia!
 
Mbona unapata maumivu kwenye swala la maji naomba mkae kimya asee
 
We
Duh! Kumbe hawa mang'ombe wakisema wana maji 95% ya makaazi ya Dar kumbe wanamaanisha kwamba wamefunga mifereji communal nje ya estate ili kila mtu aje achote? Hahaha. Mimi nilidhani kwamba kila nyumba imefungiwa mfereji wake ndio maana nikashangaa sana na kuwapa kongole maana walikuwa wanakimbizana na Marekani mahali ambapo karibu kila nyumba ina mfereji ndani ya nyumba. Nilikuwa nimeshaanza kuona Dar kwamba imeanza kuwa Ulaya kumbe bado sana. Nilijua tu kuwa nchi masikini za Afrika mashariki hazitafika haraka mahali pa kila nyumba kuwa na mfereji ndani ya nyumba. Hii mifereji communal ambayo ipo nje ili kila mtu aweze kuchota ipo hata hapa Kenya. Na haturingi. Hata slums za Kenya siku hizi zina mifereji za kufungiwa nje.



Cc Geza Ulole Naton Jr
 
Wacha upumbavu last mile connection huwa kwa mteja yaani serikali inaleta maji mpaka mtaani then mwananchi unalipa ku-connect Kwa nyumba yako at a very low cost! Nyie hamna hilo mna water kiosks na pia magari ya ugawaji maji! Usifananishe Nairobi na Dar kwenye hili hata siku moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…