Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,026
Sioni cha kushangaza hapo. Ni wazungu haohao wanao-fund na ku-arm hao rebels and millitants. Faida wanayopata ni kubwa kuliko hata ingekuwa loss ya rais wao. Nchi kama Congo ni mashamba yao ya bibi.Some countries are so primitive.
Good, this one.
Nilipoona tu Ufaransa wameonesha nia ya ku-finance ukarabati wa terminal II pale JNIA nikajua ngoma inogile.jamaa yupo Total Headquarters!
Well said mkuu. Ila hawa viongozi wastaafu wawe na discipline japo kidogo. Najua wa hatred kwa Magu lakini waache tujikauli twa kubeza serikali ya sasa. Namuheshimu sana Prof. Mark Mwandosya lakini ukiangalia namna ambavyo huwa anai-adress Air Tanzania kwa mfano kwenye page yake ya twitter. Ukakumbuka pia Air Tanzania ilifanywa nini yeye akiwa waziri wa mawasiliano na uchukuzi, unabaki kusikitika. Kagasheki ndiyo hakuna hata haja ya kumzungumzia.Hatujafika huku mzee kila mwananchi ana haki ya msingi ya kujilinda dhidi ya maradhi na pia ana haki ya Msingi ya kutojilinda na maradhi! Sioni tatizo kwa JK kuvaa barakoa na sidhani kama yeoyote yule anapaswa kushambuliwa! Tuwe na staha!
Najua Magu anacheza karata zake taratibu na kwa umakini. Ujenzi ukianza tusishangae kusikia deal za oil refinery Tanga. Saa hizi mambo ni kimya kimya kama Kabanga. Mnashtukia tu watu wanasaini mega deals.Aisee hicho kiwanda cha coating pipelines kitakuwa wapi? naona kama vile Tanga! Ni investment kubwa sana! The plant will be the first in East and central Africa!
Tony254
View attachment 1709232
Hizi ndio kitu akili yangu inapenda kusikia. Ila naishangia serikali kuzitilia shaka barakoa kutoka nje ya nchi halafu haizipigi marufuku. Kuna sehemu bado tunakwama kwenye national security. Kama tunazo facility za kuzalisha barakoa why not ban those imported compromised "weapons"? We need to do more.
Hii kwetu ni great victory. Hiyo gesi watu walipewa bure enzi za "rais kipenzi". Ndiyo kwanza hao tuliowapa wanatudai. Naskia rais wangu yule naye alisoma uchumi kama mimi!Equinor writes off Tanzania liquefied natural gas project
Equinor, formerly Statoil, has declared impairment of TLNG as a result of approval delays by Tanzania for onshore gas processing plant and export facility.www.theeastafrican.co.ke
View attachment 1709240
Kuna siku niliandika hilo hapa. Bro Magu kawawekea masharti magumu ambayo lazima tu watasanda. Gesi tayari tunaanza kudrill visima vyetu viwili vilivyosalia. Hivyo walivyopewa bure either wakubali tuanze upya negotiation au hawaji kuchimba.Kudadeki, pray for tanzania
Hiyo proposed pipeline ya Tz-Zambia itakuwa ikisafirisha refined fuel. Kwenye bajeti ya wizara ya nishati wameiweka vizuri.Hivi ni vitu wapuuzi wa Humu ndani wa kutoka Kenya hawawezi jua!
CC: Tony254
BTW kuna project ya pipeline nyingine kwenda Zambia on drawing board
Ukiacha TAZAMA
June 2022 inatakiwa umeme uwe unazalishwa tayari. Nchi inakimbia. Kila siku kuna stori inachuja inakuja nyingine. Kama zilivyochuja flyover na mwendokasi. Zilichuja pia dreamliner. Soon SGR nayo itachuja. Post 2030 tutakuwa upande mwingine wa maendeleo. Juzi nimesafiri kidogo tu kuingia mkoa mwingine. Humo njiani it's all about viwanda. Vidogo, vidogo sana, vya kati, vikubwa, they don't care! Vinajengwa tu.Naona ndio maana waziri wa nishati anakomaa sana na bwawa la Nyerere mkandarasi achape kazi usiku na mchana na aongeze man power ili kazi iishe haraka.
Nasikia November wana anza kujaza maji kwenye bwawa, hadi April next year watakuwa wamemaliza kazi ya kulijaza maji.
Kuwafikia bado kidogo. Kuna mambo ya msingi kama haya lazima yafanyike kwanza. Tulibomoa msingi wa industrialization aliojenga Mwalimu. Sasa tumeamka tunaujenga upya. Just stay tuned, tukimaliza tu tunaongeza bakora tunazowachapa.Kwa maoni yako unaona kama baada ya pipeline kuisha, TZ mnaweza kutufikia kiuchumi?
CC Geza Ulole
Issue ya SGR lot ya Dar - Moro inahitaji busara ya hali ya juu. Kwa vyovyote vile huenda mkandarasi keshatumia gharama zaidi ya alizitarajia au anakwepa kuvuka ukomo wa gharama. Acha tuitumie kama learning point. Binafsi sitashangaa kama akipewa lot 3 baada ya kukamilisha lot 1.Mbona msimkimbishe mkandarasi wa SGR? Mbona mnamuwacha Mturuki awachezee kama watoto?
Yaani mkuu unatufananisha na Ethiopia! Wale na nyinyi hakuna tofauti. Hata wao gvt yao haiwezi kufund miradi kama nyinyi. Tofauti ni sababu tu. Nyinyi ni corruption na wao ni weakness ya serikali. Katika kutafuta mikopo na misaada wamejekuta engulfed na masharti magumu ya mikopo. Huwezi tarajia maendeleo kwenye nchi yenye 50/50 gender kwenye baraza la mawaziri. Lazima tu mtaendeshwa na mabeberu wawe wazungu au mchina.Halafu eti wanajenga reli ya kutumia umeme, Ethiopia wameshindwa ije iwe Tz, malazy full kukurupuka.
Sisi huku hatukurupuki ndio maana Tumeanza na mtambo wa gongo na reli yetu ina option ya kuwa electrified in the future. [emoji23][emoji23]
Good, siyo suala la possibility, ndiyo itakuwa hivyo. Ndiyo sababu ya kuwepo mradi wa power transmission from Tz to Ethiopia Via Kenya ambao umeme unaweza kwenda upande wowote ule.I agree that if all your projects are completed then there is a possibility of Tanzania becoming the economic powerhouse of this region.
Hao ni "wasomi" mkuu. Hao hawajui mambo ya tangawizi, vitunguu, malimao na sijui kujifukiza. Hao wanasikiliza WHO wanaosema badakoda (in magu tone) zivaliwe hata kama hazijawahi thibitishwa kukinga au kuzuia maambukizi.Time ya kujidanganya uliisha, saa watu wanavaa barakoa mbili mbili at the same time hili wasipatwe na Corona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]. Saa hii watu wanaogopa Tanzania kama dawa.
View attachment 1709465
Wewe bwana wewe. Si ucheke kidogo tu like [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Arabs are raping some witches in AFCON U-20. [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Do they have a patent?Lionesses ni jina wanalotumia timu ya taifa ya football ya wanawake kule England.
1st wave tuliishinda, hata hii tunaenda kuishinda
Yaani tunacho maanisha ni kama jamaa fukara anayeishi uswahilini sijui wapi...apate pesa kidogo tu halafu aende akanunue TV 80" inches akaiweke Kwa kijunba cha mabati...hivyo ndio mnaonekana yaanani ni ukalulu tu stendi hizosasa ulitegemea stand ihamishwe halafu bus zipack kwenye mazingira gani ulitaka gari zipack juu ya miti....?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38]