Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I agree that if all your projects are completed then there is a possibility of Tanzania becoming the economic powerhouse of this region.
That Tanga kuna mega cement companies zina-invest over $7 bln worthy of Industries walikuwa wanangojea huu mradi na pia kuna wale walinunua ARM cement plant n Maweni Limestone Ltd!

 
Hivi una habari mpaka mwaka wa 3 wa utawala wa jpm alikuwa analipa madeni ya makandarasi wa kikwete.

Shirika la ndege lilikufa kipindi cha kikwete.
Shirika la reli lilikufa kipindi cha kikwete.
Shirika la meli lilikufa kipindi cha kikwete.
Alianzisha wilaya na mikoa isiyokuwa na ofisi, JPM ndio anajenga ofisi za mikoa na wilaya + hospitali za mikoa na wilaya.

Those are just few to mention.
 
Yaani tulifika cup finals in Madrid 7s? I am a die-hard rugby fan lakini this weekend I was busy I was not able to watch it. This is great news.
Tunawapa hongera sana mko vizuri nimeona game zenu Sana pale impala grounds ngong road🙂
 
Tulia basi[emoji16][emoji16][emoji16]
Anaanzishaje ugomvi wakati anaishi kwenye nyumba ya vioo!
Kakimbia kuni block & ignore na aki ni unblock atakutana na tusi pro kwanini katoa block [emoji23][emoji23][emoji23]

Ni takataka ndio...kwani ni uongo? Hapo alipo anatembea na uchafu kwenye trakoo juu hawana utaratibu wa kujisafisha.
 

ile hospitali ya kanda kule mara ilijengwa zaman na haikuwahi kumalizika for over 20+years... yey kajenga fasta tu... that’s one of the biggest indicators of seriousness in utilization of public money
 
Time ya kujidanganya uliisha, saa watu wanavaa barakoa mbili mbili at the same time hili wasipatwe na Corona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]. Saa hii watu wanaogopa Tanzania kama dawa.

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Arabs are raping some witches in AFCON U-20. [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😃😃😃😃😃Tobaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Arabs are raping some witches in AFCON U-20. [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo Mpira ulivo 🙂ni Jambo la kawaida Sana hata timu kubwa huaga zinafungwa🙂
 
Hahaha, huyo Mzungu anaonekana akipata tu kwishney [emoji3]
mshikaji unaweza kunyamaza? Acha kujiaibisha tunapoteza very skilled personel kwa kudharau vitu simple kama kuchukua tahadhari na kujikinga! Ma-professor, ma-lawyer na ma-engineer waliosomeshwa kwa gharamakubwa na serikali wanapukutika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…