Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

usijisumbue haumuwezi ,,,hawezi kudate na chokoraa kama wewe,,,

ni bora uendelee kupost estate na life ya nairobi cbd hapa ,,siku iende tu
Hahahaha hivi huyu boya anawachukulia WCB kama chokoraa wa magengeniton? Huyo dancer alishakua nominated BET na international platforms kibao, anafikiri ni makirikiri 😂😂
 
Kitu pekee Kenya Can offer to the world ni poverty tourism 😅😅😅

images (55).jpeg
 
Kenya is a very beautiful country...Siwezi kuja ishi ardhi ya tz mimi...
labda Kidogo tu nifate yule dada dancer wa zuchu mweupe...huyo tu ndio atanileta upande huo..na baada ya kujirithisha nirudi ardhi ya kenya
Ushawahi Wakenya wanawezana na madada wa Bongo (Tanzanitee)? Nyie kwanza nakskia hamtahiliwi ndo mana huwezi pata Tanzanitee wewe, cc ndio tunachukua dada zenu kuanzia Amani-Ay, mpk icho kidemu cha Mondi japo nao ni circumsized women.
 
aisee watanzania namtaka huyu demu...dancer wa zuchu...huyu pekee ndiye atakaye nileta huko tz....Yuatwa Nani vile...atakaye niubganishia nitamkaribisha Nairobi wiki nzima Kwa gharama yangu...And then I'll take you to the tallest building in East Africa
Kafanye tohara kwnz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahaha hivi huyu boya anawachukulia WCB kama chokoraa wa magengeniton? Huyo dancer alishakua nominated BET na international platforms kibao, anafikiri ni makirikiri [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakenya wengi waliopo humu ni watu wa kuota ndoto wakiwa na bugatt wakija kushtuka in reallity life bado wanajikuta kwenye vibanda wakiwa na hard life nakukurupuka kwa kuingia JF kujifariji
 
Kenya is a very beautiful country...Siwezi kuja ishi ardhi ya tz mimi...
labda Kidogo tu nifate yule dada dancer wa zuchu mweupe...huyo tu ndio atanileta upande huo..na baada ya kujirithisha nirudi ardhi ya kenya
Umuachie akothee nani🙂? Vitu vizuri mtaishiaga kuviona kwa YouTube 🙂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakenya wengi waliopo humu ni watu wa kuota ndoto wakiwa na bugatt wakija kushtuka in reallity life bado wanajikuta kwenye vibanda wakiwa na hard life nakukurupuka kwa kuingia JF kujifariji
Hivi wewe una Bugatti? Kama huna tofauti yako na hao wakenya ni nini?🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom