Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha tatu kwneye 20min video jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
..from the whole videos., zingine nilidownload kitambo sana.,😂😂😂😂😂 bro lala pole pole, wacha kujitesa na kaMwanza😂😂😂
 
I know Mwanza., nilicheka the first time, ndio ilifanya nikaheshimu Eldoret, wachana na ichoboy01., Eldy is better especially organization na residentials, Mwanza inakaa imechoka tu,., kwanza video ndio zina aibisha Mwanza zaidi, afadhali picha inaweza ficha uhalisia., kama hiyo ndio second city, then outside dar Tz haina cities, ni Uganda kubwa tu 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Banae, mwanza imefanya ni respect thika even more, yani video imeandikwa wealthy neighborhood lakini ukifungua dah! Ushuzi mtupu, ⬇️ ⬇️ 💩 💩
Screenshot_20210219-214021.png
Screenshot_20210219-214051.png
Screenshot_20210219-213907.png
 
Mbona kama nyumba ya mtu? Hebu tupe gharama!
Hizi ni hospitali ndogo zitakazo serve informal settlements za nairobi. In total nms inatengeneza hospitali 24 mpya, kuweka vifaa na kuandika wafanyikazi ndani ya miezi 6. Huu si mradi wa serikali kuu
 
Na hii post basi umeusahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo huu ushuzi munafananisha na mwanza



[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Jamaaee hii ndio mwanza ya 2021[emoji1787][emoji1787]
Yani hata old town ipo na levels zake kuliko huu uozo..
Ndio manake hutuletei humu hii video

 
Kwekwekwekwekwekwekwekwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka raha
Huu ushuzi huuuu hahahahhqap
Hakuna nyumba za full ubati mombasa[emoji1787][emoji1787]rudisha picha za wenywe tafadhali
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] mziki huu hapa tafuta mombasa upate siulikuaga unataka video hzo hapo sasa kazi kwako






Mwanza yote hii hapa[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
 
Back
Top Bottom