Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Banae, mwanza imefanya ni respect thika even more, yani video imeandikwa wealthy neighborhood lakini ukifungua dah! Ushuzi mtupu, [emoji3596] [emoji3596] [emoji90] [emoji90] View attachment 1706757View attachment 1706758View attachment 1706756
Kiswahili mingi tu, empty rhetorics [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23], drone clips zimeumbua Tz kwa mpigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] pia Dar watch many drone clips keenly.,[emoji1787][emoji23][emoji23]
 
..from the whole videos., zingine nilidownload kitambo sana.,😂😂😂😂😂 bro lala pole pole, wacha kujitesa na kaMwanza😂😂😂
Ulidownload wapi 😄😄😄 ona anavoanza kutoa povu ulidownload wapi siku gani umefungua hzo video ukaleta kasoro
😅😅😅😅😅😅
 
I know Mwanza., nilicheka the first time, ndio ilifanya nikaheshimu Eldoret, wachana na ichoboy01., Eldy is better especially organization na residentials, Mwanza inakaa imechoka tu,., kwanza video ndio zina aibisha Mwanza zaidi, afadhali picha inaweza ficha uhalisia., kama hiyo ndio second city, then outside dar Tz haina cities, ni Uganda kubwa tu 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Naona munajipa matumaini 😅😅😅 munadhani hii ndio ile tanzania ya 90s ilikua ikiwasubiri nyinyi😅😅😅😅
Mkiambiwa mulete street za mombasa munalia mwingine akaja na povu kwamba mombasa hakuna one way street yani anatufanya wajinga kwamba hatuijui mombasa 😃😃😃😃😃😃
 
Najitetea kwa lipi na umeanika uchi wako humu😂😂😂😂😂😂😂😂., kila mtu ameshuhudia., video clips zimemaliza ubishi wewe ni kiswahili tu utamwaga humu.,😂😂😂😂
Fungua basi ulete kasoro kma ushuzi huu🤣🤣🤣👇👇👇👇👇


 
..from the whole videos., zingine nilidownload kitambo sana.,😂😂😂😂😂 bro lala pole pole, wacha kujitesa na kaMwanza😂😂😂
Ulidownload wapi? mbona huleti hzo street za msa tukaziona 😂😂😂😂😂 manake nahamu ya kufurahi leo
Furahia na video upate usingizi vzr
 
Wamepata mama ngina juzi wanaongea kama washamba wakat mwanza ina hzi public kila kona zaidi ya miaka 10🤣🤣🤣🤣
 
Siku mombasa au nairobi au ushuzi wowote itapata dampo la uchafu la kisasa kama hili nitag nifunge acc😀😀😀😀😀 Yosef Festo
Mwanza hio mzeee👇👇👇👇
 
Mwarabu koko unafanya kazi nzuri sana, mwanza kweli ni 💩 💩 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom