Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwezi tofautisha mjapanese na mchina? kajinyonge, terminus iko Mombasa na sio Mwanza
unalia!!!!
IMG_20210219_201625.jpg


Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Weka hiyo modern commuter rail network nione., kwa vile najua Ile ya Dar pengine kunazo mmejenga kwa miezi mitatu hivi sijafika kuona.,
And Dar is not the future of public transport in Africa, find out what other cities across the continent are doing.., anzia Rwanda nenda kaskazini mwa Africa teremka kote hadi kusini., Mnapenda kujipiga kifua na bado sana.,ndio mnaanza kuamka hamjaamka bado, macho yenu bado yana sinzia sinzia kutokana na usingizi mlio lala miaka mingi.,
Nikikwambia dar is the future of transport in Africa unatakiwa kukubali sio kupinga blindly 🙂
Nikueleweshe kitu kimoja nitajie most organised na clean brt system in Africa apart from S.A ambao walitutangulia na labda za North Africa 🙂swala la commuter rail ni swala la muda hatuko mbali tuombee uzima🙂
 
Dar haikomboleki kamwe, hiyo population inao ishi katika makazi za ki village ni kubwa sana!!, ata uchumi wa Tz ukikua it will just be like Indian cities., ama Lagos na Kinshasa, mega cities ovyo ovyo tu.,
Hapo kw lagos umepatia kabisa aisee, utaachiaje watu mji wajijengea makaazi kiholela jamani..
Kwn mipango mji walikua wapi mpka ukute watu wengi wanamiliki nyumba za matifali ya mchanga
 
Nikikwambia dar is the future of transport in Africa unatakiwa kukubali sio kupinga blindly
Nikueleweshe kitu kimoja nitajie most organised na clean brt system in Africa apart from S.A ambao walitutangulia na labda za North Africa swala la commuter rail ni swala la muda hatuko mbali tuombee uzima
Emu rudia tena, wala sio kw utopolo ule unaoendelea katika stendi za brt aisee
 
We umefika posta ya wakati wa mkapa
Vichochoro vimepanuka kwhyo, manake mi nilishangaa sana kuona barabara nyingi za cbd hazina mbele wala nyuma..
Posta mlifeli kitalbo sana, yani majengo pia haya mpangilio karibia kila jengo lipo katika direction yake
 
Nikikwambia dar is the future of transport in Africa unatakiwa kukubali sio kupinga blindly
Nikueleweshe kitu kimoja nitajie most organised na clean brt system in Africa apart from S.A ambao walitutangulia na labda za North Africa swala la commuter rail ni swala la muda hatuko mbali tuombee uzima
I just discredited your opinion, it is just an opinion., Africa is not stagnant licha ya challenges.
 
This one makes the whole of Dar to be a slum, save 10% tu around CBD areas, kwingine kwote ni vitongoji😂😂😂, kwa vile Kenya huu mtaa bado ni categorized as ghetto, yaani slum😂😂😂😂😂
View attachment 1706503
View attachment 1706507
View attachment 1706504
View attachment 1706505
View attachment 1706506
Sections of pipeline, view from jogoo road.,
View attachment 1706508
Mumeona utumbo sasa🤣🤣🤣🤣 hzo ndio bed sitter zao mda wowote zinadondoka
 
aanze Magu kutembelea na kusema wamtengenezee pairs kama tano hiv nyeusi afu awe anazivaa kama anavyovaa zile travota zake
Kabisa. Inatakiwa apate pair za kutosha. Ila kwa Magu influence inakuwa ndogo maana ngumu sana watu wengi kuchunguza viatu vyake.

Ila kwa hawa bongofleva na bongo movie ni rahisi sana kuwavuta vijana wengi ambao ndio wengi zaidi kuweza kununua hizo boots.
 
If I go that road in Dar mtaambia mods wani ban humu, mko ovyo yaani aibu yenye haifichiki hata kwa mgeni Dar mara ya kwanza Dar is slum kote kote., in short, technically in Tanzania hakuna standard city kamwe., ni ka squeezed developed area in the CBD na BRT tu ndio zinaficha aibu ya Tanzania
Tuoneshe za dar zinazofanana na huo ushuzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna tofauti ya old town na kwingine., unajua maana ya neno hostorical heritage?., a section preserved., in the first clip hiyo old town is not covered., Mombasa ilivyo kwa sasa.., mwenye wivu ajinyonge


Old town clip; UNESCO world heritage site..,

Na hii post basi umeusahau🤣🤣🤣🤣 ndo huu ushuzi munafananisha na mwanza



🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
 
Back
Top Bottom