Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ mziki huu hapa tafuta mombasa upate siulikuaga unataka video hzo hapo sasa kazi kwako







Hizi zote nime watch bro., Mwanza nimepachambua ukiona naongea kwa ujasiri jua niko na facts., wewe you are merely debating to win with feel good arguments, nothing substantial, ukweli uko wazi tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ mimi ninakuchocha nawe unachemka nakuniletea mapicha na video clips kama zote, yaani wewe ni mpenzi wa Mwanza, ata kama haina muscles to level with Mombasa unajikaza sana., uko na tabia za waNigeria πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kiukweli uwezi linganisha Mwanza na Mombasa kabisaa.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukipata mombasa ina street level hzi nitag plz πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚jitag tu mwenyewe.,
 
Siwezi kukuangusha πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Nimefungua video moja tu kwa masekunde tayari nimepata album nzima ya kutroll.πŸ˜€πŸ˜€ mwanza ni πŸ’©πŸ’©
Screenshot_20210219-212612.png
Screenshot_20210219-212625.png
Screenshot_20210219-212031.png
 
Hili swala tuli discuss hivi juzi Kati wakapingaπŸ™‚
🀣🀣🀣🀣 hua wanapinga lakini wanaumia sana mionyoni mwao
Unajua hakuna kitu mkenya anachukua kama kumjua kiundani hua inawauma sana
 
Mbona kama nyumba ya mtu? Hebu tupe gharama!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚uko na ufala budaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, eti mbona kama nyumba ya mtu.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hiyo tao iko down for a city.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Picha tatu kwneye 20min video jamani πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mbona zingine hujaonesh 20min video umapata picha tatu tu mzee huoni hata aibu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ebu fungua video zake ucheke mwanzo mpaka mwisho🀣🀣
I know Mwanza., nilicheka the first time, ndio ilifanya nikaheshimu Eldoret, wachana na ichoboy01., Eldy is better especially organization na residentials, Mwanza inakaa imechoka tu,., kwanza video ndio zina aibisha Mwanza zaidi, afadhali picha inaweza ficha uhalisia., kama hiyo ndio second city, then outside dar Tz haina cities, ni Uganda kubwa tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Usifkiri hajawah kufungua siunamuona hana hata hoja ya kujitetea 🀣🀣🀣🀣🀣
Najitetea kwa lipi na umeanika uchi wako humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., kila mtu ameshuhudia., video clips zimemaliza ubishi wewe ni kiswahili tu utamwaga humu.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom