ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kwani unesikia Kenya ndio watalii hawaji kisa kuna Corona?
Kwani unesikia Kenya ndio watalii hawaji kisa kuna Corona?
Whether ni wawili au mmoja hauondoa ukweli kwamba kuna corona Kenya. Unafikiri sisi pia Ni vilaza kama nyinyi mnaobebwa ujinga Kuhusu mambo yaliyoyowazi?Wanakuja wakuhesabika kwani waziri wenu balala hua anasema uongo 🤣🤣🤣🤣
Ss mbn mnaumia na Tz?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwani unesikia Kenya ndio watalii hawaji kisa kuna Corona?
Hiki ndicho kinachowauma [emoji115][emoji115][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nani mkweli wewe au waziri wenu??🤣🤣🤣🤣Whether ni wawili au mmoja hauondoa ukweli kwamba kuna corona Kenya. Unafikiri sisi pia Ni vilaza kama nyinyi mnaobebwa ujinga Kuhusu mambo yaliyoyowazi?
Yule mchina aliyewaambia wakunya ni stupid [emoji204] alikuwa sahihi 100%kenya ni fisi, anayetamani nyama za msibani na kwenye harusi kwa pamoja.
hela za aid yanataka, wakati huo huo hayataki uchumi usinyae kwa kupoteza mapato ya utalii.
wakija kugundua wamechanga karata vibaya, wanaamua kununia tz ambayo imagusa karata sahihi.
Idea from Ubungo 3levels fly over
Usitulinganishe na dead state[emoji1787][emoji1787]So uganda wanafurahia cheap fuel wakat wenye bandari kamasi zinawatoka [emoji38][emoji38] alaf utasema nn
Nani mkweli wewe au waziri wenu??🤣🤣🤣🤣
So anefurahia bei nafuu ya mafuta yanaondesha dunia akiwa hana bandari na anaetoa ushuzi wa mafuta yanayoendesha dunia wakat bandari anayo nani amekufa hapo🤣🤣🤣 hebu lets be frankUsitulinganishe na dead state[emoji1787][emoji1787]
Matumizi yetu na yao tofauti kabisa, labda utulinganishe na sauzi..
Unatulinganisha na nchi ambayo wafanyikazi wanalipwa peanuts[emoji1787][emoji1787]
Jibu swali wewe na waziri balala nani tumuamini ??? Maneno mengii ya kazi ganiUzuri ni kwamba sisi tuko wawazi mwenye kila kitu kuhusu corona na athari zake. Sisi hatusemi wala kuambiwa uwongo ndio tuonekane mababe. Leo sijui bado mtaendelea na ule usemi wa "sisi hatuna corona" baada ya tukio ya leo kule Zanzibar ama mtakubali kirusi mnacho na kimewakaba hadi kooni
How do you compare a 27 kilometer expressway with a 200 meter interchange?Idea from Ubungo 3levels fly over
Subutu, sai hko jf fb ni mwendo wa kupeana tahadhari kiuwoga uwogaUzuri ni kwamba sisi tuko wawazi mwenye kila kitu kuhusu corona na athari zake. Sisi hatusemi wala kuambiwa uwongo ndio tuonekane mababe. Leo sijui bado mtaendelea na ule usemi wa "sisi hatuna corona" baada ya tukio ya leo kule Zanzibar ama mtakubali kirusi mnacho na kimewakaba hadi kooni
Say again three level interchange 🤣🤣🤣How do you compare a 27 kilometer expressway with a 200 meter interchange?
Are they buidling 27km or 9km Kwanza ??How do you compare a 27 kilometer expressway with a 200 meter interchange?
Hehehehe!!usitulinganishe na upuuzi[emoji1787][emoji1787]So anefurahia bei nafuu ya mafuta yanaondesha dunia akiwa hana bandari na anaetoa ushuzi wa mafuta yanayoendesha dunia wakat bandari anayo nani amekufa hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hebu lets be frank