Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbezi Luis Bus Terminal

Phase 1: ujezi wa barabara upo slow kidgo estim inabd wachangamke, Wachina 99% ya finishing za kwenye majengo zimekamilika, kwa Sasa wanajenga daraja la juu la kuingilia magari stendi ( wapo hatua ya kuweka nguzo) na finishing ndogo ndogo za nje

Phase 2: Hawa wako speed kinoma nahisi hii phase wamepewa wengine sio hao wachina

Pedestrian bridge nalo lipo hatua za mwisho nguzo zote washaweka

Hope before March huu mzgo utaanza kufanya kazi

Note: Kenyan hyo ndo stendi Bora kuliko zote Africa, sio East & Central Ni Africa nzima. Na mpaka 2025 tutatoa wazo liongezwe jukwaa la Africa ili uanzishwe uzi wa DSM vs ( Nairobi + Kigali + Kampala + Addis Ababa + Cape Town + Casablanca + Cairo + Lagos etc)
Duh maelezo yote haya bila picha?!
 
_116909860_2a6ceedf-77c9-41ad-8a00-1f580b993e85.jpg
 
hizi mimba anawatungisha uhuru, siku mnajifungua mtatupa tabu sana kaka zenu.

hiki kidaraja ni pesa ndogo sana kwa serikali, yaani ingekabidhiwa hata kampuni moja inayoishi kenya hapo ingetoa pesa.

hao jamaa tayari wameishaiingiza kenya kwenye kirengeo,hiyo barabara inakwenda kugharimu kitu kingine. maana wakenya wataikimbia.
Kodi zetu ndio zitalipia hyo barabara, kuhuru kuhusu kuigharimu acha iigharimu tu kwn iko nn.
Nyie jengeni la kwenu kw kampuni ya ndani ndio msiigharimu nchi
 
Kodi zetu ndio zitalipia hyo barabara, kuhuru kuhusu kuigharimu acha iigharimu tu kwn iko nn.
Nyie jengeni la kwenu kw kampuni ya ndani ndio msiigharimu nchi
basi bana usichukie, usije ukaenda kujiua.

kwavile sio lazima kupita haina tatizo.
 
Hehehehee we wa Mombasa uhusiki na hyo road, nyie vitu km hivyo mtavisikia kwenye bomba tu, kila kitu Nairobi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja uzinduzi wa barabara za mombasa, yani mwaka huu mtasaga meno[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Laiti ungelijua mombasa kw sasa kunafanywa nn wala usingelithubutu kuitaja
Na expressway nikipewa uhai na uzima lazima niitumie yani sio kw hiyari[emoji1787][emoji1787]
Unaumwa sio, na kodi nitalipa we ukitaka kajinyonge
 
Nani alie ?mnapagawa na vitu vya kawaida mno btw tunasubiri kupanda treni ya umeme na sio vinginevyo
 
Nani alie ?mnapagawa na vitu vya kawaida mno btw tunasubiri kupanda treni ya umeme na sio vinginevyo
Subiri msa vitu vikamilike jomba, mombasa projects hazina hype sana yani vitu chini ya maji.
 
Back
Top Bottom