Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hoja kwishaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
👇👇👇👇👇👇 itakwisha jibu likipatikana hapa
So anefurahia bei nafuu ya mafuta yanaondesha dunia akiwa hana bandari na anaetoa ushuzi wa mafuta yanayoendesha dunia wakat bandari anayo nani amekufa hapo🤣🤣🤣 hebu lets be frank
 
Unaombea majanga au sio nyinyi mulisema baada ya miezi mitatu watanzania watakufa mass death [emoji3][emoji3][emoji3] sio nyinyi au
Hzo mbinu ni zipi na mnazitumia katika majanga yapi jomba[emoji1787][emoji1787]
 
Mbona hizo mbinu haijazuia viongozi wenu kufa kwa corona? Baada ya nye nye za "sisi hatuna corona" mwishowe mumeaibika [emoji23] [emoji23]
Tanzania hakuna corona, si wenyewe wamesema sisi tumetelekezwa na Mungu
 
Uhehehehe kwa miaka 30 mzee ajira zote kwa wachina mukilipishwa kwa miaka 30 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakat nchi inahemea makalio
Idea ya ppp haijaanzia kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
*****, njoo ulipie kuteleza juu ya expressway..mwaka huu hakuna vya bure
 
Idea ya ppp haijaanzia kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
*****, njoo ulipie kuteleza juu ya expressway..mwaka huu hakuna vya bure
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 miaka 30 mzee mpaka mjukuu atalipa ushuru ila mchina kawakamata pabaya sana
 
Corona ilikuwepo kipindi kile cha first wave na ikaondoka, now imerudi na itaondoka, you know what? We are blessed country na believe me hii second wave inakwenda kutupa utukufu na dunia nzima itaamini kwamba Tz iko sayari ya pekeake, na utalii utaongezeka maradufu.

Corona hapa Tz co nyumbani kwake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mungu hajaribiwi
 
Yani nimekupiga mpaka ukaanza kujitoa ufahamu[emoji1787][emoji1787]
Akili zimeshaenda lumumba
Uheheheh mwenye bandari analia wakat asie na bandari anakula kuku 😅😅😅😅 ama kweli dalili sa yesu kushuka zimewadia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] miaka 30 mzee mpaka mjukuu atalipa ushuru ila mchina kawakamata pabaya sana
Mpka watanzania watalipia[emoji1787][emoji1787]
Unafikiria mtz atapita bure
 
Uheheheh mwenye bandari analia wakat asie na bandari anakula kuku [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ama kweli dalili sa yesu kushuka zimewadia
Umebaki kuhaha[emoji1787][emoji1787]
Hatufanani jomba, matumizi yetu km nchi hta mkiungana bado hamtoweza
 
Kenya haikutoa ilani wewe bongolala. Marekani na nchi nyingi za Ulaya ndizo zilizotoa ilani baada ya wasafiri wengi kutoka Tanzania kugundulika kuwa na kirusi
hao wengi uliowaona.....?

evidence pliiiiiz uwaweke hapa tuwaone
 
This is Battle.
Ikiisha Hii tufanye collabo then tumubattle hata Dubai.
Sina mchezo mimi
 
IMG_1613591056.902837.jpg
 
Back
Top Bottom