Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Kenya haikutoa ilani wewe bongolala. Marekani na nchi nyingi za Ulaya ndizo zilizotoa ilani baada ya wasafiri wengi kutoka Tanzania kugundulika kuwa na kirusiHuwezi kutoa ilani ya nchi nyingine wakat wewe mwenyewe uharo unakutoka au unafkiri uganda rwanda na nchi zingine kukaa kimya ni wajinga?? Nyie ndio munaakili tatizo lenu nyinyi sisi tunawajua vzr sana

