Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mambo mengine siasa na hisia za kijinga hazifai kuingizwa. This is about human health and involves an invisible enemy. I still ask myself what it benefited Magufuli to lie to his people about the existence of a virus like this one. Kwa kweli hapa alifeli vibaya sana
kamdanganya nani?
 
maskini ‍♂️
IMG_1613580855.531396.jpg
 
They baptized corona and gave it a new name called "changamoto ya kupumua" all in an effort to deny the existence of corona! And "changamoto ya kupumua" kept killing people while the government criminalized the publication of such information to the public! Only a few days ago, Zanzibar's first VP opened up about his covid status and publicly said that he tested positive to the virus. Sadly, he died today!
Tunajua kinachowauma ni utalii, kwa taarifa yenu hatutaacha kuwapiga gap la utalii
 
Mimi naunga mkono IMF 110% kwamba Kenya iwache expansionary budget regime. Lazima tupunguze expenditure. IMF wapo sahihi.
So ile GDP munayosifia hapa iko wapi inanyea debe sasa😁😁😁😁😁 sasa mushaanza kua na akili
 
Mradi wenyewe bado haujaanza. Waganda wenyewe wanalia na kusaga meno kwa majuto. Wanajiuliza mbona waliamua kupitisha pipeline TZ ilhali kama ungepitia Kenya mradi ungekuwa umeshakamilika?
Mradi ushafika 95% kuanza waganda hawawezi kujuta unajua kwann kwasababi ile pipeline yenu ta lokichar imewatoa kamasi na imebaki stori ya alinacha 😅😅😅😅😅
 
Mradi wenyewe bado haujaanza. Waganda wenyewe wanalia na kusaga meno kwa majuto. Wanajiuliza mbona waliamua kupitisha pipeline TZ ilhali kama ungepitia Kenya mradi ungekuwa umeshakamilika?
Ndio maana miradi yenu hua inageuka white elephant si unaona leo SGR imeishia machakani na mchina hamujamlipa bado 😆😆😆 mumeenda kumpa barabara kwa miaka 30 yani taratibu mchina anawachukua
 
Nimefurahi kwamba expenditure hazitaongezeka tena kwa hivyo budget deficit haitaongezeka. Imf watalazimisha serikali kuwa fiscally disciplined maana serikali ya Kenya haiko disciplined kwenye maswala ya kupanga bajeti
Baada ya IMF kuwapa mkopo wa masharti makali 😅😅😅😅 rais mzima aanasimama anasema nchi inaibiwa 2b ksh kila siku alaf nayie munachekelea
 
Back
Top Bottom