Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani watu wanavotangaza as if kifo kimeeanza leo wamekufa majemedali wangapi ??? Yani wanatangaza kusudi zaidi ni kuchafua as if kifo kimeanza leo 😊😊😊
 
so tuambie media ya kenya ndio iliompima corona?? Kwann sisi wahusika hatukutangaza hvo
Kwani BBC ni media ya Kenya? Halafu mtatangaziwa vipi wakati mkulu hataki watanzania wajue ukweli kuhusu uwepo wa kovidi? 😂
 
Hata kama sio ya kenya kwann nyinyi mutangaze munauhakika gani sisi tunazungumzia kenya mbona uganda au rwanda hatujawaskia wakitangaza na kuingilia vitu haviwahusu, kwani kuna mtu hajui kua covid hakuna kwani rais anaposema tuchukue tahadhari anakua namaanisha nn? Au kichwa chako boga
 
So wewe ulitaka vp kwamba magu afunge nchi au aweke curfew?? Kila nchi inapambana na corona kwa njia yake musilazmishe tanzania ifate ujinga wenu ndio maana leo munashangaa kurudi nyuma zaidi kwa ajili ya lockdown
Sawa sisi tuko na ujinga. Mbona huo uerevu wenu haihazuia moja wa makamu kuangushwa na corona. Na pia mbona haijazuia mataifa za kigeni kutoa Ilana dhidi ya Tanzania?
 
Kwani vifo vya corona kwenu vimeanza leo au tuseme yusuf haji kafa na corona?? Kwann munaimgilia vitu haviwahusu wakat vya kwenu vinawatoa kamasi masikioni
 
Hata kama sio ya kenya kwann nyinyi mutangaze munauhakika gani sisi tunazungumzia kenya mbona uganda au rwanda hatujawaskia wakitangaza na kuingilia vitu haviwahusu, kwani kuna mtu hajui kua covid hakuna kwani rais anaposema tuchukue tahadhari anakua namaanisha nn? Au kichwa chako boga
Wewe ukileta hapa taarifaa za matukio Kenya usiku na mchana inakuhusu nini?
 
Sawa sisi tuko na ujinga. Mbona huo uerevu wenu haihazuia moja wa makamu kuangushwa na corona. Na pia mbona haijazuia mataifa za kigeni kutoa Ilana dhidi ya Tanzania?
Huwezi kutoa ilani na huna uhakika wa jambo kwani vifo vimeanza leo??? Mbona kuna maradhi yanaua watu kila siku hamusemi??
 
Kwani vifo vya corona kwenu vimeanza leo au tuseme yusuf haji kafa na corona?? Kwann munaimgilia vitu haviwahusu wakat vya kwenu vinawatoa kamasi masikioni
Huyu alikiri na kinywa chake kwamba alipimwa na akapatinana na corona. Mbona ubabisha?
 
Huwezi kutoa ilani na huna uhakika wa jambo kwani vifo vimeanza leo??? Mbona kuna maradhi yanaua watu kila siku hamusemi??
Ilani iliyotolewa na nchi husika dhidi ya Tanzania ilikuwa ni kuhusu maambukizi ya corona wala sio ugonjwa wowote ile
 
Huwezi kutoa ilani ya nchi nyingine wakat wewe mwenyewe uharo unakutoka au unafkiri uganda rwanda na nchi zingine kukaa kimya ni wajinga?? Nyie ndio munaakili tatizo lenu nyinyi sisi tunawajua vzr sana
 
Alipona na akaendelea na kzi za serekali mpaka akaenda chato kuonana na rais na kukagua miradi mwanza ?? So angekua hajapona wangemruhusu kuzunguka?? Hebu tupe majibu
Kwa hivyo ni kweli kuna corona Tanzania?? 😂 😂
Cha pili, wewe unajuaje alipona wakati hakuna taarifa kuu iliyotolewa kudhibitisha hayo?
 
Back
Top Bottom