Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

VISIT TANZANIA
Alietoa hili wazo alionyesha uzalendo wa hali ya juu sana
IMG_1613192174.167842.jpg
 
Kushika mwongo ni rahisi sana kuliko mwizi, old town ni residential ya waswahili 80%., (Waislamu wote), no substantial businesses there only soko la marikiti., eti unaijua Mombasa old town iko kando ya CBD nilijua wewe ni Mr google, haujui lolote!., uchumi uko maeneo ya industrial area, port, na outskirts, kama Bamburi na Nyali centre zina mzunguko wa pesa kushinda old town mara mia., nenda kadanganye wapuzi wenzako., Kiswahili mingi kimejaa umwehu ndani., eti Mombasa ni old town ata afadhali ungedanganya kwa kusema mwembe tayari, it is a business centre by far than old town
Huyo jamaa muongo balaa
Anasema anaijua mombasa lkn mpka leo bado anazidi kuweka kw ukurupukaji, heri wewe umemjibu lkn mm ilkua tayari nimempuuza.

Msamehe kw sababu hajui anachokifanya
 
Kushika mwongo ni rahisi sana kuliko mwizi, old town ni residential ya waswahili 80%., (Waislamu wote), no substantial businesses there only soko la marikiti., eti unaijua Mombasa old town iko kando ya CBD nilijua wewe ni Mr google, haujui lolote!., uchumi uko maeneo ya industrial area, port, na outskirts, kama Bamburi na Nyali centre zina mzunguko wa pesa kushinda old town mara mia., nenda kadanganye wapuzi wenzako., Kiswahili mingi kimejaa umwehu ndani., eti Mombasa ni old town ata afadhali ungedanganya kwa kusema mwembe tayari, it is a business centre by far than old town
Unapomwambia 80% ni waswahili utakua unamchanganya jichoboy
Manake yeye anajua uswahilini ni tandale kw tumbo
 
Wivu utawaua Wakenya kutoka "tuonyeshe hata km moja mnayojenga" mpk kufikia kwny station,by the way mi mtu wa bata sipendi kbs kuboeka,station yetu iko na full entertainment,maduka migahawa,bar...na n.k toka mwanzo tulililenga hili tulitaka iwe multipurpose!!!Itumie advantage ya kuwa katikati ya mji,safi sana liko full utilized,nyie baada ya treni moja sijui mbili,nini kinaendelea pale Nairobi Terminus?!Kama sio wastage of resources,hili jengo litajilipa lenyewe na kutengeneza faida bila hata ya kutegemea reli..Wakenya mmepoteza sana focus yenu na sifa mlizokuwa nazo those days, siku hizi mmekuwa maboga tu.Mboga mboga.
 
Back
Top Bottom