ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ya thika hio ushuzi wa 50km from nairobi 🤣🤣🤣👇👇👇👇Tuedelee, screenshot ya pi hyo jamaaa anaogopa kushuka kw ground
Ya thika hio ushuzi wa 50km from nairobi 🤣🤣🤣👇👇👇👇Tuedelee, screenshot ya pi hyo jamaaa anaogopa kushuka kw ground
Thèka kw ground[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ya thika hio ushuzi wa 50km from nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mbona unaogopa kwenda chini[emoji1787][emoji1787]Uozo uliopo 50km from nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
View attachment 1701083
labda kama vyombo vyao vya moto vinapaaJana tuliambiwa kenya hakuna ajali [emoji116][emoji116]
Nenda kawapinge waliosema[emoji1787][emoji1787]Hebu leta nyumba za udongo za kariakoo na magomeni tuzione nasubiria hapa bro [emoji1787][emoji1787]
Maisha gani ya kisasa haya hapa[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116] kunguni juu ya kinyesi
View attachment 1701080
Anadhahi hapo ni uswazi Kama wa Mwanza wa kuishi na hio huwa soko😂😂Uozo uliopo 50km from nairobi 🤣🤣👇👇
View attachment 1701083
Duuhh aloo hili shuzi co la nchi hii walai [emoji3][emoji3]Kwani hio nimetoa wapi???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hapo tupo kitaifa zaidi....Kwa wale wanasimba wenzangu mnyama kashatafuna Ac vita ukyuu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wakikuyu ni wabinafsi sana, Rutto anajua alichofanyiwa Raila na Kibaki. Kudili na hawa jamaa ni kulala nao mbele tuu.Ila wana katiba ya kifala sana yaani Rais hawezi kumuondoa naibu wake! Yani jamaa ana namba za kutosha bungeni. Bila umafia wa kumuondoa Ruto kama Saitoti, 2022 ni vita! Jamaa muda huu ana walinzi private na soon atakuwa na militia wake! Jamaa ni hatari kinoma!
Mtambo wa kusafishia dhahabu [emoji1241][emoji1241] Alaf mtu anakwambia umeme utabaki idle
Kushika mwongo ni rahisi sana kuliko mwizi[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28], old town ni residential ya waswahili 80%., (Waislamu wote), no substantial businesses there [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28] only soko la marikiti.,[emoji1787][emoji23][emoji28] eti unaijua Mombasa old town iko kando ya CBD[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28] nilijua wewe ni Mr google, haujui lolote![emoji1787][emoji23]., uchumi uko maeneo ya industrial area, port, na outskirts, kama Bamburi na Nyali centre zina mzunguko wa pesa kushinda old town mara mia[emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28]., nenda kadanganye wapuzi wenzako., Kiswahili mingi kimejaa umwehu ndani., eti Mombasa ni old town[emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28] ata afadhali ungedanganya kwa kusema mwembe tayari, it is a business centre by far than old town[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nimecheka sana leo ananiambia kwann napost za old town wakat hio CBD yao yenyewe iko old town na business yote ya mombasa iko old town [emoji28][emoji28][emoji28]
Absolutely [emoji1787][emoji28], na ni mostly residential [emoji23][emoji1787][emoji28], kuleta clips za Mwanza kumeonyesha standards za Tz na za Uganda ziko sambamba., yaani Mwanza is a serious city[emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28] Thika pia ni city walai kwa hiyo standards.,[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji28]Old town inaikalisha mwanza, anayebisha aje anengue...
Mitaa ya mji wa kale, kwngine ingeliitwa city kivyake[emoji1787][emoji1787]View attachment 1701093View attachment 1701094View attachment 1701095View attachment 1701096View attachment 1701097View attachment 1701099View attachment 1701101View attachment 1701102View attachment 1701103View attachment 1701104
Hiyo clip ata uki tazama yote na you do comparative analysis na ile ya Mwanza bila shabiki za kitoto unaona tu vile Mwanza haifai kuitwa city., Thika imechangamka kuliko Mwanza, utadhani Mwanza ni Malindi ama Lamu, a laid back town, inakaa sehemu ya starehe tu., residential ni mashambani apart from high end yenye ni ndogo ukilinganisha na the whole Mwanza, high end residential ya Thika can only be compared na za Dar(not captured in the clip).., ama uta pinga[emoji23][emoji1787][emoji28].,Ya thika hio ushuzi wa 50km from nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]