Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Stendi ya kisasa, soko la kisasa maisha ya maisha ya kizamani[emoji1787][emoji1787]
Si heri tuishi kisasa kuliko tuishi kizamani alafu ndio stendi na soko ndio vys kisasa
Hebu tuoneshe bus stage ya kisasa hapo thika nifunge acc jamii forum 🤣🤣🤣🤣
 
Shughuli imeanza tunangoja 2022 tuone kivumbi 🤣🤣🤣🤣 wengine wako na BBi wanapoteza pesa za taxpayers

 
Alaf mmoja alisema umeme utabaki idle anafkiri hii ni BBi 🤣🤣🤣🤣

 
Mhimu maisha ya kisasa yawepo, wala hakuna kitu kitakwama[emoji1787][emoji1787]
Maisha gani ya kisasa haya hapa🤣🤣👇👇 kunguni juu ya kinyesi
E7C3CCDF-B282-4FF4-9177-BF38B43B1125.jpeg
 
Back
Top Bottom