Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
usijidanganye na unakosea,nimekutolea mfano halisi chukua mda wako ingia kwenye bongo movies au music video s za kibongo kisha type nyimbo yeyote ya uswazi ,,halafu uniambie ni kipi tumeficha.....?...drone views mingi mumezifinya sana, kwa wale hawaijui Dar hawatafahamu hilo, the bigger part is embarrassing sana, ata kwa mgeni mara ya kwanza akifika Dar hilo liko too visible, hautafuti unaona tu hali ilivyo, Dodoma ikiendelea na miundo mbinu ambazo wanafauta itawaondolea aibu, Kama vile Abuja in Nigeria, iko tofauti sana ukilinganisha na Lagos, Nairobi slums zimejificha ukiingia mara ya kwanza hauwezi jua wazi wazi, lazima utafute ama uulize. Hapa kwetu pia kwenye cinema na mziki Kuna za Kibera na za sehemu uswazi mingi tu., but Dar is on a world of its own.
kuhusu drone hakuna kilichofinywa kila shooter anachukua eneo kulingana na plan na maamuzi yake ndiyo maana unaona kuna drone view zinazoonyesha maeneo mazuri na mchukuaji mwingine drone view yake unakuta inapitia uswazi kwanza Tz hatukuwa na utaratibu wa kuchukua view ya jiji/majiji watu wameanza kuchukua majuzi juzi tu ,tofauti na nyie jiji lenu mlishalichukua view nyingi tokea mda,na isitoshe mpaka hapa tunapochat kuna area kubwa sana ya dar hakuna photo na video view zake....pia mnavyoichukulia dar ni tofauti tembeeni ,,,japo kuna sehemu amvazo zimeharibika kimipango miji si kila sehemu ipo sawa





.,